Waandaji wa Rock City Marathon Mwaka jana 2023 walitangaza kuandaa mbio za Rocky City Marathon na kuanza kukusanya ada za ushiriki ambao zilitakiwa kufanyika tarehe 2 November 2023.
Baadaye...
Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake...
Kumekuwa na wizi wa pesa zinazokusanywa kwenye Shule za Sekondari, Tsh. 50,400/-. Wakuu wa shule wamekuwa wakikusanya pesa hizo lakini hawawapatii bima Wanafunzi hadi wanamaliza masomo yao hasa...
Kijiji cha Busolwa eneo la Nyalugusu Mkoani Geita kuna Wachimbaji Wadogo na Wanachama cha Chama cha Ushirika cha Wachimbaji Wadogo cha Ifugandi wametishia kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za...
Tanzania imeweka lengo la kupunguza utoaji wa gesi chafu kwa asilimia 10 hadi 20 ifikapo Mwaka 2030. Hii ni sehemu ya jitihada za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Taarifa...
Habari,
Kuna mdau namfahamu alikuwa amepata nafasi ya kazi kwa kampuni tajwa apo juu, alitumiwa meseji ya maelekezo kuwa wataanza kufanya training ambayo ina shift, kuna asubuhi na usiku, uyo...
Sintofahamu ya ununuzi wa majenereta katika Kampuni ya Uendeshaji na Uendelezwaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KADCO), imetatuliwa baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
Mkandarasi Mkuu wa Reli ya Kisasa (SGR), Kampuni ya Yapi Merkezi anatarajiwa kufikishwa Mahakamani kwa kile kinachodaiwa kutowasilisha fedha za michango ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ya...
Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu...
Nina ombi kwa RPC wa Dodoma, msaidie huyu Katibu Mkuu wa Kanisa la Pentekoste atafilisika na kuuawa. Tatizo hili lilianza mwaka 2021, Baada ya Kiongozi huyo wa dhehebu la Pentekoste kuingia...
Uhitaji wa Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi ni mkubwa sana, lakini wananchi wanakumbana na changamoto nyingi, hasa kupitia idara ya uhamiaji. Kama iliyokawaida, Wananchi wanapaswa kufika katika...
Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa...
Si vibaya kuuliza
Wakazi wa kigamboni kibada na mjimwema hadi cheka nadhani mnajionea sehemu ya barabara imevunjwa vunjwa alafu imechwa hivyo hivyo full vumbi mpaka sasa sijapata jibu kama...
Wiki iliyopita mida ya jioni nilikuwa maeneo ya Msufini Manispaa ya Singida ambapo rafiki yangu niliyemfata ni Bodaboda, hivyo nikakaa kijiweni kwao kwa muda. Tukiwa hapo akaja boda mwenzao ambaye...
Ufisadi wa Kutisha Halmashauri ya (W) Rorya
Waziri wa Tamisemi Mhe Mchengerwa
Kamanda Mkuu wa kupambana na Kuzuhia Rushwa (PCCB)
Mkurugenzi Mkuu Idara ya Usalama wa Taifa
Tunawaomba mtume...
Wahusika.
Hakuna asiyependa maendeleo, lakini kinachofanyika kwenye barabara hii kutoka mzunguko wa kwenda feri hadi Daraja la Mwalimu Nyerere ni kero.
Kama hakukuwa na fedha za kutosha...
Meli ya MV. Victoria iliyo chini ya Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) inayofanya safari zake kati ya Mwanza na Bukoba, kwa miezi kadhaa sasa “crane machine” haifanyi kazi baada ya kuharibika...
Waziri wa TAMISEMI na Taasizi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) tumeni kikosi kazi kuchunguza Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kuna ufisadi wa kutisha.
Kampuni ya Ongujo Invesment...
Mimi ni Mkazi wa Gongo la Mboto Majohe, Dar es Salaam, huku kwetu kuna tatizo la uchimbaji mchanga sana, sisi Wananchi tunahofia Bonde linaweza kutanuka kutokana na uchimbaji huu
Wanaofanya hiyo...
Mumba ni shule iliyoko Manispaa ya Kigamboni na ikiwa na darasa la awali hadi Darasa la 4 na ikiwa na Walimu wanne na mmoja wa kujitolea ila Mwalimu Mkuu na Mwalimu wa kujitolea ambae ana takriban...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.