Habari!
Tunaomba serikali ya Wilaya, mkoa na hata Wizara inayohusika kuingilia kati sintofahamu iliyopo soko la matunda na mbogamboga Msufini - Singida, kati ya wajasiriamali na wenye eneo...
Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto...
Habari Wana Jamiiforums wenzangu, ndugu yenu Mwanongwa katika pilika zangu nikakutana na Stori za kwamba kuna Wafanyabiashara wa Ndizi pamoja na Maparachichi ndani ya Mkoa wa Mbeya wamekuwa siyo...
Kwa Kiswahili kinajulikana kama CHOMBO CHA KUSIMAMIA UBORA TANZANIA (TBS)
Jina zuri lakini la kizungu.. Sio tatizo sana
Jengo zuri la viwango
Mazingira mazuri ya Kazi
Vitendea Kazi bora
Maslahi...
Serikali inapambana sana kusaidia wananchi wapate HATI zao kwa wakati. Wizara ya Ardhi imekuwa mstari wa mbele sana kuhakikisha kilio cha HATI kinaisha, na tumekuwa mashahidi kwa sasa serikali...
Hapa mkoani Singida, Afisa Habari mmoja mwanaume anatuchezea michezo ya nyumba mbele. Waandishi wa Habari Mkoa wa Singida tunateswa sana na huyu Afisa Habari anayekata posho zetu juu kwa juu na...
Chuo cha SAUT kina wakufunzi baadhi wananyanyasa sana wanafunzi, wanawafelisha makusudi na bado hata wanafunzi wakirudia mitihani hawawajazii kwa kudai wao wako busy hawawezi kushughulikia...
Tunaomba wahusika wafuatilie kuhusu vitendo vinavyofanywa na hawa watu wa ushirika kwenye malipo ya korosho huku Mtwara na Lindi. Umefanyika mnada wa kwanza wa korosho wiki 4 zilizopita na bei...
Baraza Liliendesha mthiani ya uandikishaji na leseni ya UUGUZI NA UKUNGA kwa NGAZI ya Cheti, Diploma na Degree ya kwanza tarehe 23 august/2024 lakini mpaka muda huu ni zaidi ya MIEZI miwili na...
Kuna kitu kimejificha kwenye hili kati ya Pharmacy Council na wamiliki wa DLDM (Maduka ya Dawa Muhimu), Kwa nini mpaka leo dawa za antibiotics zinauzwa tu kwenye DLDM licha ya katazo?
Wenye...
Huku mkoani Geita, Mtaa wa NMC kumekuwa na udanganyifu mkubwa sana wakati zoezi la uandikishaji likiwa linaendelea.
Kumekuwepo na suala la uandikishwaji hewa wa Wapiga Kura huku idadi ya Watu...
Waziri Mchengerwa nimesikia maagizo yako kwa TARURA kuhusu ubora na viwango vya barabara wanazozijenga.
Ombi langu usiishie kutoa maagizo ingia site ujionee vituko mwenyewe.
Anzia na barabara za...
Zoezi la kujiandikisha limeishia Sasa ni mwendo wa kuhakiki taarifa zako kama ziko sawa.
Leo ndugu zangu nimekuja na jambo hili kutoka Kwa hawa watumishi wa Dampo kuu Jiji la Mbeya lililopo kata...
Wakuu habari zenu!
Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na...
Hello habari,
Malalamiko yamekuwa mengi kwa wanafunzi wa clinical officer kwa vyuo vingi hapa Tanzania, wanafunzi wanafelishwa makusudi, vyuo vingi wanaopata pass hata robo ya darasa hawafiki...
Bodi ya mikopo (HESLB) kwa hili mnataka kuvuka mipaka kwa kutaka kukata pesa za posho kwa intern (watarajali) doctors, nurses etc.
Kwanza intern sio muajiriwa anakuwa katika mafunzo kwa njia ya...
Habari za wakati huu ndugu zanguni.
Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii...
Wakuu salama!
Kwa masikitiko makubwa na baada ya kujishauri kwa muda mrefu nimeamua hili kulileta hapa jukwaani pengine hili suala laweza patiwa ufumbuzi.
Ni Hivi Kuna mtu alikuwa anamiliki...
Ukiwa unatokea riverside kuna daraja kubwa la mto chini ya mto utakuta kuna kundi kubwa la kina mama wanafua kupitia bomba kubwa la dawasco lililopasuka.
Kupasuka bomba sio ajabu ila...
Hivi karibuni nimeshuhudia kitendo kikubwa sana cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukatili aliofanyiwa Mwanamke mmoja jirani na kwangu dhidi ya mwenye nyumba wake, nikaona si vyema kulikalia kimya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.