Hali ni mbaya sana yule ya msingi Mkululu watoto wanasomea chini ya miti kwasababu ya kukosa madarasa.
Shule ipo kata ya Mkululu wilaya Masasi mkoa wa Mtwara.
Raisi tunaomba msaada wako.
Katika mwaka 2024, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es Salaam kimekumbwa na changamoto kadhaa ambazo zimeleta malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wadau mbalimbali.
Makosa haya...
Habari yenu Jamii Forums, naona wadau wengi wamekuwa wakisaidika kupitia jukwaa hili, naomba unipazie sauti
Mimi ni muhitimu wa Diploma (ambaye nasubiria kufanya Graduation mwezi December 2024)...
Wanafanyisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhulumiwa na hawana pa kulalamika.
Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu...
Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya...
Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Unaweza kusoma UDSM hall 2 na 5 zenye...
HIvi karibuni katika hekaheka za kutafuta mashamba kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo nilifika katika kijiji kimoja kinaitwa Mandimu kilichopo Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida...
Chuo cha City College kimewaaacha njia panda wanafunzi waliohitimu masomo yao Mwaka huu 2024 baada ya kutangaza kuwa mahafali( graduation) yatafanyika tarehe 22/11/2024 na kuwahimiza wanafunzi...
Watumiaji wa barabara iliyopo Kata ya Oldonyowasi, Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha, wamedai kuwa wakiwa wanapita na usafiri wa magari na pikipiki katika barabara hiyo wamekuwa wakitozwa shilingi...
Kero: Tamisemi Utumishi wameshindwa kuhamisha taarifa za mishahara ya watumishi waliohama.
Watumishi wanahangaika Huko na huku bila msaada ,ikiwa mtu amepata UHAMISHO halali kwa Nini zoezi tena...
Hii tabia ya Askari wa Barabarani especially Mkoa wa Dar es Salaam maeneo mengi likiwemo eneo la Kamata Kariakoo, Ilala Boma na maeneo mengineyo, kutafuta vijana machawa wa kukamata Bodaboda ambao...
Wilaya ya Kasulu Vijijini, Kata ya Rungwe mpya, Vijana waliopewa jukumu la kufanya survey na wanaofunga Umeme wanatengeneza mazingira ya Rushwa
Nilifanyiwa usajili wa Meter, taarifa zangu...
Wanajamvi Kata ya Uyui inapatikana kwenye Manispaa na Mkoa wa Tabora ambapo maajabu ya kata hiyo imekuwa ikikosa huduma muhimu kama Shule ya Kata, Zahanati, barabara pamoja na umeme kwa muda mrefu...
Halmashauri ya Babati mji iliyoko wilayani Babati mkoani Manyara ni moja ya halmashauri zinazoendelea na tukio la ufanyikaji wa mtihani wa taifa kidato cha 4 huku wasimamizi wakiwa ni moja ya...
Mimi ni Mkazi wa Arusha, nimekuwa Mdau wa muda mrefu wa platform yetu hii ya JamiiForums kwa muda mrefu, kero yangu mimi ni kuhusu Daladala kukatisha ruti na kuongeza nauli kinyume cha Sheria...
Ukipita kariakoo mitaa mingi majenereta yanawaka umeme mchana haupo usiku wakishafunga maduka ndio unarejea kama sio mchezo huu ni nini
Kariakoo ni moja ya sehem ambayo inayochangia kodi ya Taifa...
Mwalimu huyu wa Shule ya Msingi Mungu Maji aangalizwe, ananyanyasa Wanafunzi
Shule ya Msingi Mungu Maji iliyopo Tarafa ya Mungu Maji, Kata Unyamikumbi, Wilaya ya Singida Mjini, kuna changamoto...
Biashara ya kuuza mwili ni moja ya biashara ambayo inapigwa vita na Jamii ikiwemo Mamlaka mbalimbali lakini pamoja na hivyo imeendelea kufanyika kwa njia tofauti maeneo mbalimbali Nchini.
Jijini...
Katika mizunguko yangu, nilipita katika eneo la Kigamboni, Kata ya Vijibweni, Mtaa wa Mkwajuni ambapo nilikutana na shimo kubwa lililozungukwa na makazi ya watu, eneo hilo ambalo limejaa takataka...
Machinjio ya Manispaa ya Morogoro unaweza kuhisi ni sehemu iliyotelekezwa, uchakavu, uchafu na harufu mbaya
Harufu ya machinjio iliyopo katika Manispaa ya Morogoro imekuwa kero kwa wakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.