Tunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe...
Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa...
Kumekuwa na simtofaham kuhusiana na pesa zinatolewa na serikali kwa ajili ya kuinua uchumi wa vijana, akina mama , wazee na walemavu katika halmashaur ya wilaya ya Sengerema.
Awali kulikuwa na...
Mara nyingi nimeona akina dada wakikataliwa kuhudumiwa katika ofisi za uhamiaji kwakuwa aidha wamevaa nguo zinazoelezwa maafisa kuwa ni fupi au za kubana. Nani anaweka vigezo hivi? Mbona neno uchi...
Hili ambalo kiongozi ACT wazalendo, amelizungumzia akribani mwaka sasa umepita BADO LIPO LINAENDELEA MAENEO YALE YALE mwenyewe ni muathirika na swala hili.
Jamani eeh hii bado Inaendelea na Ni...
Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wa huku tumezoea kukiita Hospitali ya Sokoine, kilichopo katika Manispaa ya Singida ni taasisi kongwe Mkoani hapa
Kwa ukongwe wake Hospitali hiyo...
Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya...
Wakati napita katika eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, nilikumbuka kampeni kubwa ya Ng’arisha Katavi Tunza Mazingira iliyolenga kupanda miti...
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu, siku za hivi karibuni imeendelea kuibuka tabia ya baadhi ya Watu ambao ujitambulisha kama waamini wa dini mbalimbali wameufanya kama utaratibu rasmi kuingia...
Hapa kwenye nyumba za Shirika la Nyumba NHC maeneo ya Urafiki karibia na Shekilango inasikitisha kuona kuna vibanda na makontena yamezagaa na kuzunguka nyumba za shirika hilo huku baadhi...
Mimi ni mmoja wa Wakulima wa mahindi, kwa kawaida baada ya kuvuna Wakulima wengi huwa tunauza mazao hayo kwa Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA).
Tangu Wakulima tuuze...
Baadhi ya walimu wa shule ya msingi waliohamishwa katika shule mbali mbali katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamesikitishwa na kauli iliyotolewa na Afisa elimu wa wilaya hiyo kuwa hata...
➤ Sisi ni Watumishi wa Umma Wastaafu tuliokuwa tunafanyia kazi vikosi mbalimbali vya Jeshi, tuliajiriwa kila mtu na CV namba yake na kila mtu alipewa barua ya kuajiriwa pia kila Mwajiriwa alikuwa...
Tunaomba mtusaidie kupaza sauti, Serikali ijue madudu yanayofanyika Mpanda, watoza ushuru wanaotoza ushuru wa magari makubwa kushusha mizigo na kupakia mizigo ndani ya mji sio waaminifu.
Baadhi...
1. Kumekuwa na utaratibu wa kusitishwa likizo za Watumishi wanapokuwa likizo na Afisa Mhifadhi II Fundi kwa kigezo cha uhaba wa Watumishi, pia kukataa kutoa ruhusa mbalimbali kwa Watumishi wakiwa...
Mimi kazi zangu zinahusisha biashara chuma, bati n.k kwa ufupi vitu vinavyoendana na material hayo, ujumbe wangu huu uwafikie wahusika wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Wakala wa Vipimo...
Ujenzi Holela Ndani ya Manispaa ya Moshi
Moshi imekuwa mfano wa usafi na mpangilio mzuri wa makazi katika nchi yetu.
Hata hivyo, tangu mwaka 2024, hali imebadilika kutokana na usimamizi hafifu...
Wakuu
Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na...
Baadhi ya maduka ya bidhaa za chakula Biharamulo ni machafu sana kiasi kwamba yamekuwa ni makazi ya panya.
Wauzaji kwa makusudi pasipo kujali usalama wa walaji wanauza bidhaa zilizoliwa na panya...
Kitongoji cha Njoka kinapatikana katika Kijiji cha Kizuka wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma. Wanafunzi hawa wanakumbana na hadha kubwa sana ya kutembea takribani zaidi ya km 10 kuzifuata shule ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.