Serikali na vyombo husika vinapaswa kuliangalia hili tatizo la kukwama kwa maombi ya passport/hati za kusafiria ni mwaka sasa wananchi hawajapa passport za umeme na server zikidaiwa kuwa ni sababu...
Ndugu zangu Watanzania,
Ifike mahali kama Taifa tusikubali kila kifo kipite hivi hivi au kuacha mambo yaende hivihivi kana kwamba hakuna kilichotokea vile au kusema ni Mapenzi ya Mungu au kuona...
Hili jambo limenikuta maana kuna ndugu yangu amefariki tangu Alhamisi iliyopita, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa...
Wakati Shule zikiwa zinafungwa kwa kumaliza mwaka wa masomo lakini kuna baadhi ya Shule za msingi zinaratibu utaratibu wa Wanafunzi kutokwenda likizo badala yake wanashinikiza kuendelea na masomo...
Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024
Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007.
Mbali na hapo uamuzi wa Hayati...
Likizo inatoa nafasi kwa wanafunzi kupumzika na kujiandaa kwa muhula unaofuata, lakini pia inatoa nafasi kwa wanafunzi kukaa na familia na wazazi wao kwa pamoja. Lakini kuna baadhi ya shule...
Kuna utaratibu mpya wamekuja nao binafsi naona kwa sisi wananchi wengi wa kitanzania 70% ambao tuna uchumi mdogo naona hawatufanyii fair kwa kutokutusikiliza tunakuwa kama tupo ugenini kumbe ni...
Wananchi wa kata ya Osunyai mtaa wa Ngusero wilaya ya Arusha jijini hapa wameungana kwa pamoja na kuchapisha vipeperushi mtaani vinavyoeleza kuchoshwa na uuzwaji wa madawa ya kulevya aina ya...
Picha: Ubungo Manispaa
Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya.
Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za...
Nianze tu kwa kumuomba yyte mwenye uwezo wa kumfikishia Rais Samia hili na amfikishie.
Hali ya Muhimbili inasikitisha. Na mkono wake wahitajika.
Rais Samia chochote atachofanyia Muhimbili...
Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo.
Wanawake hawa, wanaojishughulisha...
Katika pitapita za kila siku mtaani, hivi karibuni nilikatiza maeneo ya Vingunguti pembezoni mwa Bonde la Mto Msimbazi na kukutana na hali ya hatari kwa afya. Kiukweli mambo si shwari katika eneo...
Uamuzi wa Serikali kupeleka Mradi wa Kusaidia Kaya Masikini (TASAF) katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea ni uamuzi mzuri, wamefanya vizuri kupeleka mpango huo kwenye Halmashauri ila kuna...
Imeelezwa Kemikali ya Zebaki inayotumika kukamatisha dhahabu ambapo inaelezwa ni kemikali 10 ambayo Shirika la Afya Duniani (WHO) inasababisha athari za kibinadamu na mazingira.
Kemikali ya...
Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata...
"AGRICULTURAL SEED AGENCY"
Hii taasisi imekuwa na ukiritimba sana kuhusu posho za wafanyakazi, Baadhi ya wafanyakazi huwa wanajigharamia wenyewe kwa safari zinazohusu taasisi wakijua kuwa baada ya...
Habari, mimi na wenzangu kadhaa ni mwanafunzi wa shahada za juu shule kuu ya elimu UDSM.
Tulisimamia mitihani ya chuo (UE) ya kufunga muhula wa kwanza 2023/24 baada ya Ndaki ya Sayansi za jamii...
Pamoja na sheria ya mikopo ya mitandaoni kusainiwa, lakini bado kuna baadhi ya vijikampuni vinatoa siri za wateja wanapochelewa kulipa kwa kutuma msg za kumdhalilisha mkopaji, kwa watu ambao wapo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wakazi wa kata tajwa hapo juu wanaishi kwa mateso makubwa toka mwaka 2023 mpaka leo baada ya kufanyika tathmini ya uwanja wa ndege Kigoma na kutokulipwa...
Kuna sintofahamu inaendelea kuhusu Kampuni ya Mapembelo Cargo ambayo najihusisha na usafishaji wa mizigo, wamekuwa kimya sana kuhusu mizigo ya wateja wao.
Kuna Wafanyabiashara na Watu wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.