Naandika andiko hili nikiwa ni mmoja wa watumishi wa Serikalini, na nimelazimika kuleta andiko hapa kwa kuwa nguvu kubwa inayotumiwa na wanaofanya mambo kwa mlango wa nyuma wana nguvu kuliko...
SERIKALI IANGALIE VIZURI MFUMO WA AJIRA PORTAL, KUNA DALILI ZA WAHUNI KUSIMAMIA MFUMO HUU WA AJIRA.
Tarehe 13 Desemba, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya...
Habari za asubuhi.
Mvua kubwa iliyonyesha jana usiku wa tarehe 15.12.2024 wilayani Kilindi Tanga imesababisha daraja linalounganisha vitongoji viwili muhimu katika Kijiji cha Mgera kata ya...
Wakulima wa korosho wa chama cha msingi kweli kilichopo kijiji cha msilili wilaya ya Newala mkoani Mtwara chawafanyia hujuma.
Wakulima wa korosho kwani wakulima wamepima mazao yao mwezi wa kumi...
Kwa muda sasa, makampuni ya utalii nchini Tanzania yamekuwa yakikumbana na changamoto kubwa kutokana na tofauti za viwango vya kubadilisha fedha vinavyotumika na taasisi za serikali kama TANAPA na...
Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X.
Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na...
1. Mwalimu Mkuu asipotoa mchango wowote anatishiwa kuvuliwa madaraka au kunyanyaswa kwa jambo lolote lile.
2. DEO wa Halmashauri hii ni mtu wa kuwatishia tu walimu na kuwalazimisha kutoa michango...
Kwa muda sasa, waendeshaji wa safari (waongoza watalii) nchini Tanzania wamekuwa wakikumbana na changamoto kubwa kutokana na tofauti za viwango vya kubadilisha fedha vinavyotumika na taasisi za...
Nimepenyezewa taarifa zenye uhakika kwamba tarehe 10 Desemba 2024 kumefanyika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi almaarufu TAFCA ambalo ofisi zake zipo Magomeni Kagera
Narudi...
Sisi Wahitimu wa ngazi ya Diploma katika Chuo cha DIT tuna changamoto ya kutopatiwa Award Verification Number (AVN) mpaka sasa hali ambayo inatufanya tushindwe kufanya maombi ya mkopo wa Chuo...
Wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Njelela iliyopo Kata ya Mundindi, Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe wamekuwa wakilalamikia michango inayochangishwa shuleni hapo kuwa imekuwa ni kero kutokana...
Habari wana JF wenzangu, ni kwa zaidi ya mwaka sasa nimekuwa nikifika kwenye Hospitali ya Bugando kwa ajili ya huduma za matibabu lakini nimebaini changamoto ambayo mimi kama mtu mzima siwezi...
Hizi habari za jana,
Mama mmoja Pemba analalamika kwamba mtoto wake, Hamida, anayesoma darasa la kwanza amebakwa na Askari Polisi, Godfrey huko Pemba
Anasema yeye anakaa Police Quarter huko...
Habari za wakati huu.
Mimi ni mkazi wa Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, na ni Mfanyabiashara wa hapa mjini Bariadi ambako ni makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, lakini makazi yangu yapo hapa hapa Mjini...
Nakumbuka hivi karibuni Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilitangaza kufungia jumla ya Application 69 zilizokuwa zinatoa mikopo kidijitali bila leseni.
Hatua hii ilikuwa ni muhimu katika kudhibiti...
Nichukue fursa hii kwanza kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kushika nafasi ya Waziri wa Ujenzi. Ni imani yangu kuwa Mhe. Rais kakuamini katika utendaji wako wa kazi na nina imani kuwa utamsaidia...
Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale.
SOKO...
Nimepita leo kwenye soko la vyakula la Ilala Boma maarufu kama Ilala Sokoni, jamani tunalishwa uchafu hili jiji kwanza nashangaa kwa hali hii kama kweli Dar haina wagonjwa wa Kipindupindu. Wauza...
Mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu katika Mkoa wa Simiyu, umeendelea kushika kasi, eneo la Wilaya ya Meatu ndilo limeathirika na linaendelea kuathirika zaidi.
Jimbo la Kisesa katika Wilaya hiyo...
Tunaomba mtusaidie kufuatilia na kupaza sauti. Shule ya sekondari Ntare, iliyopo Kyerwa Ina michango mingi sana ya nje ya utaratibu.
Mtoto wa kidato cha nne, wanapeleka debe 8 za mahindi, na debe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.