Habari,
Kwa yeyote anaeifahamu kampuni ya kuchukua tenda na kuingia ubia na baadhi ya makampuni hapa nchini kwa lengo la kuwa recruit na kuwapatia hayo makampuni wafanyakazi yakiwemo Tigo...
Nawasalimu Wakuu,
Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?
Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata...
Mimi ni mkazi wa Wami Dakawa, Wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro
Lalamiko langu kwa Ofisi ya Maendeleo ya Jamii Mvomero na Mkurugenzi Mtendaji kwani hadi sasa hatujapata mrejesho wa maombi ya...
Ni wiki sasa imepita tangu nipitie njiapanda ya Segera
askari wengi wakishirikiana na baadhi ya maofisa wa T.R.A hapo wanapokea rushwa wazi wazi bila woga .
Wakati wa usiku unapofika hapo askari...
Changamoto za Wanafunzi Walionufaika na Samia Scholarship – Ombi la Msaada
Tunapenda kuwasilisha changamoto zinazowakumba baadhi ya wanafunzi walionufaika na Samia Scholarship katika Chuo Kikuu...
Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote...
Wilaya ya Mvomero haijishugulishi na mji wake
Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro ni kama haipo.
Wilaya hii eneo lake la centre (uso wa mji wa Mvomero) ni eneo moja linaitwa Wami Dakawa dakika 05...
Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina...
Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Mbeya Vijijini, kata ya Iwiji baadhi ya vitongoji tuna tuna umeme wa REA, ambao umekuwa kero kubwa kwetu kwani hukatika mara kwa mara.
Muda mwingine hata ndani ya dakika...
Kuna changamoto ya Mfumo wa Employee Self Service (ESS), Watumishi wa Serikali tunateseka.
Nimeanza kutumia Mfumo kwa ajili ya kuomba Uhamisho wa kuhama kutoka ‘Taasisi A’ kwenda ‘Taasisi B’ kwa...
Soko la Keko Mwanga lilipo Temeke Jijini Dar es Salaam lina umri wa takribani Miaka 48, tangu lijengwe Mwaka 1976 Wafanyabiashara katika soko hilo wanasema halijawahi kukarabatiwa hata mara moja...
Wafanyabishara Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili hapa jijini Mwanza wameendelea kufanya shughuli zetu katika mazingira yasiyo rafiki.
Soko hill lipo kando ya Ziwa Victoria ambapo...
Leo hii, Watanzania katika mikoa mingi wamejikuta wakikumbwa na tatizo kubwa la kukosekana kwa nishati ya umeme. Hali hii imeleta usumbufu mkubwa kwa shughuli za kila siku, kuanzia viwandani...
Ndg.Mhariri,
Naomba kutoa malalamiko yangu nikiwatuhumu Afisa Madini Mkoa wa Simiyu na Afisa Mtendaji wa Kata ya Dutwa kwa kushindwa kusimamia kikamilifu kwa namna moja au nyingine madai ya...
Mh. Msajiri wa Mahakama kuu ya Morogoro, napenda kukutaarifu kuwa katika mahakama ya Mwanzo Nunge kuna Rushwa iliyokithiri.
Mahakimu wengi hapo ni changamoto sana kwa wananchi ambao ni wateja wa...
Idara ya maji mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard Hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka mda huo huo na kutumika
Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana...
Mkuu,
Kama ulikuwa unabet basi umelenga palepale.
Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Pia soma...
Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.