Wafanyakazi wa Hospitali ya Mtakatifu Joseph Peramiho iliyopo Songea mkoani Ruvuma wakiwemo wauguzi na wafamasia wametishia kuishtaki hospitali hiyo kwa madai ya kutokulipwa mishahara yao ya mwezi...
Ni siku chache zimepita tangu Huduma za Usafi wa Treni ya SGR uanze na juzi tulishuhudia Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza zoezi la uzinduzi.
Usafiri huo umekuwa kimbilio kwa Watu wengi, sababu...
Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao.
Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na...
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu tathmini na uthamini ufanyike lakini bado malipo ya fidia hayajafanyika na hakuna taarifa yoyote.
Wakazi wanashindwa kufanya maendeleo yoyote kwenye maeneo yao...
Fikiria unatafuta ajira ili upate pesa, mwingine anakwambia utoe pesa ili upate ajira.
Kwa wale wenzangu na mimi mtakuwa mnaelewa machungu ya kuambiwa hivyo ili hali mfukoni huna hata mia na...
Hapa Halmashauri ya Wilaya Karagwe, Mkoa wa Kagera kuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa uadilifu na uwajibikaji unaofanywa hasa na Walimu Wakuu wa Shule pamoja na Ma-Afisa Elimu katika ngazi ya...
Hizi leseni mbona zinatolewa kwa upendeleo na maombi yetu yanaambiwa hayasikilizwi kwa kuwa hakuna board, wote wamestaafu huku wachimbaji wengine wakipewa leseni
Waziri Mavunde hebu tusaidie na...
Soko hili linakadiliwa kujengwa kwa zaidi ya Milioni 500Tsh. Lina muda sasa vibanda vyake havifanyi kazi iliyokusudiwa kutokana na kuwa na miundombinu isiyo rafiki kwa ufanyaji biashara, hivyo...
Mfanyabiashara maarufu katika mikoa ya Arusha, Dar na Dodoma Joseph Kalugendo mkazi wa Moshoni jijini Arusha, ameibiwa fedha zake zaidi ya milioni 100 katika benki ya NMB tawi la Clock Tower...
Mimi ni mkazi wa mtaa unaitwa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani.
Hapa jirani yangu kimejengwa kiwanda kikubwa cha kuten geza Ethanol na vingine vinavyotokana na molasses...
Sisi wakazi wa Dodoma tumechoshwa na mmiliki wa kampunı ya ukopeshaji Fedha ya Imarika, imekuwa ikitoa mikopo umiza kwa riba kubwa ya asilimia 40, imekuwa akidhulumu dhamana zetu kwa kubadilisha...
Habari zenu, kwanza nianze kwa kuwapa hongera wale wote walio kwenye mfungo wa KWARESMA na RAMADHANI, MUNGU WA MBINGUNI awaongoze salama hadi mwisho.
Leo nimekuja mbele yenu nataka ushauri...
Leo nina ujumbe ambao nataka unawahusu baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Maji Buzuruga - Mwanza ambayo ndio Ofisi ya Maji Ilemela, kwa ufupi ni kama inanuka Rushwa ya waziwazi.
Imekuwa kawaida...
Hali ya soko la Kijichi lililopo kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam (DMDP).
Soko la Kijichi...
Wanajukwaa nimeona nilite jambo hapa jukwaani nikiamini kuna macho ya Serikali yanaweza kuwepo yakaliona wakalichukua kwa maslahi zaidi na kulifanyia kazi au wakawa nao na mtazamo tofauti wenye...
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu.
Mkurugezi kwa kushirikiana na afisa elimu halmashauri ya Kibaha mji wamewasimamisha kazi walimu wapatao watano wa shule moja ya Mwambisi sekondari...
Hapo vip!
Kipindi hichi imekuwa ni kipindi hatari sana kuliko nyakati zote. Kipindi hichi jambazi anakamatwa asubuhi, jioni yupo kitaa.
Hapa Ngulelo Arusha, majambazi wamekuwa ni kero, wanavunja...
Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.