Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Kitengo cha utafiti KILIMANJARO CLINICAL RESEARCH INSTITUTE (KCRI).
Katika kitengo hiki Waajiriwa wengi ni wale wa mkataba, kwani...
Tarehe 24/01/2024 Ndugu Hamis Athumani Mkazi wa eneo la Mashamba Pori, Kibaha Mkoani Pwani aliuliwa kwa kupigwa na machepe.
Siku ya tukio Marehemu alikuwa nyumbani kwake eneo la Mashamba Pori...
Habari Wana JF,
Hali ni Tete sana Mradi wa reli ya SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza ambao upo chini ya ujenzi wa Kampuni CCECC.
Kwa sasa Mradi umesimama ujenzi sababu hela hakuna ya uendeshaji...
Profesa Esther William Dungumaro ni Mkuu (Principal) wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa (MUCE). Kwa namna anavyoendesha chuo hiki cha umma, inaleta mashaka juu ya uadilifu wa uongozi wake katika...
Sehemu ya kula wasafiri pale Morogoro Msamvu njia ya kwenda Iringa ni chafu, vyakula vinavyouzwa vimelala siku mbili, chips ni nyeusiii sijui ni mafuta au ndio tunauziwa vyakula vya kulala!
Na...
Serikali pamoja na watu wa Nyamongo njoo I hapa mtueleze shida ni ni ipi kati yenu na wawekezaji wa mgodi wa North Mara Kiasi kwamba vurugu Kila mara?
Vurugu hizi zimekuwa zinachukua maisha ya...
Sisi Wananchi wa Mkoa wa Kigoma, Wilaya ya Buhigwe, Kijiji cha Mwayaya kwa sasa tunaishi kwa hofu na manyanyaso makubwa, tunafanyiwa ukatili mkubwa ambao hauvumiliki na hawa matapeli wanaojiita...
Baada ya Maktech kukosa tenda ya kituo cha usimamizi wa mtandao (NOC) Cha kampuni ya Vodacom, imetokea sintofahamu baada ya uongozi wa Maktech na Nokia kuwalazimisha wafanyakazi kuandika barua Ya...
Treni ya Mwakyembe imesitisha ratiba yake ndani ya wiki mbili sasa, Treni hiyo ambayo safari zake huwa ni kuanzia Tazara kuelekea Kigogo sokoni Jijini Dar es Salaam imekuwa msaada mkubwa kwetu...
Mtandao ya simu imerahisisha huduma ya kulipa vitu mbalimbali ikiwemo malipo ya serikali na biashara binafsi. Ni kawaida kwa sasa kukuta biashara ina LIPA NAMBA ambapo mtu anaweza kulipa kwa namba...
Habari Wakuu!
Kampuni ya China inayotengeneza SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza CCECC, inakaribia kuacha kuendelea na ujenzi huo wa reli sababu wanadai fedha nyingi serikali wanasema hawajalipwa...
Kivuko cha MV KOME II kinachofanya safari zake kati ya Nyakarilo na Kome Kisiwani katika Halmashauri ya Buchosa, Wilayani Sengerema naweza kusema kinawafanyia ukatili abiria wanao tumia usafiri...
Nimejiuliza hivi Wakandarasi wanaojenga vituo vya mabasi huwa wanachaguliwa kwa kuangalia vigezo gani?
Nasema hivyo kwa kuwa vituo vingi huwa vizuri vikiwa vipya tu baada ya muda changamoto...
Vyoo vya Umma vya eneo la Mapokezi ya Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya ni vichafu havifai kuwa eneo kama la Hospitali kubwa ya umma. Huku ni kurudisha nyuma jitihada za Rais Samia anayekosa...
Ukweli kwa sasa ni huu,
Kutokana na dunia kuwa na mvua chache, na ukanda wa Afrika pia kuathiriwa ni vyema sasa mazao yafuatayo yawekewe zuio la kuuzwa nje ya nchi ili kujihakikishia usalama wa...
Madereva wa mabasi ya mikoani pamoja na Costa hasa zile zinazofanya safari zake Moshi - Arusha wametishia kugoma kwa kile kinachodaiwa ni miundombinu mibovu iliyopo Stendi ya Bomang'ombe hasa...
Wilaya ya Pangani, Kijiji cha Ushongo Mtoni kumekuwa na taka hatarishi za hospitali zinazoonekana ufukweni.
Wanakijiji wameshuhudia Drip, Sindano na chupa za dawa mbalimbali ufukweni.
Kuna...
Kwa msiofahamu tumbaku hununuliwa na makampuni tofauti. Makampunj yaliyopewa leseni ya kununua tumbaku mkoani Tabora ni pamoja na Voedsel, Alliance One, TLTC, GTI, Mkwawa na mengine nimeyasahau...
Hospitali ya Malolo (Reginal level) Wafanyakazi hawajalipwa mishahara tokea December 2023(Majority) huku wachache hawajakamilishiwa mishahara ya mwezi November.
Uongozi wanasema NHIF hawajalipa...
Kuna mazingira ambayo ni kama utapeli unaofanywa na Vijana wanaoendesha Bodaboda wakati wa usiku maeneo mengi ya Dar es Salaam wakati wa kurudisha chenji.
Kuna siku nilitoa Tsh. 10,000 baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.