Video credit: EATV
Familia yaomba Serikali kuwasaidia kupata haki ya mtoto wao ambae wanadai amelawitiwa shuleni. Wazazi wadai Serikali ya Mtaa na kituo cha polisi hakiwapi ushirikiano...
Moja ya mujukumu ya Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, imekuwa ni kutoa vitambulisho kwa waandishi wa Habari (PRESS CARD).
Kwa muda mrefu sasa, ili Mwandishi wa Habari hasa wale wa Mikoa tofauti...
Natambua kuwa nia ya serikali kuanzisha mfuko huu ilikuwa ni kuwapunguzia makali ya umasikini baadhi ya wananchi wasio na vipato kabisa. Kundi hili ni la wazee, yatima, walemavu, nk.
Utafiti...
Hospitali ya Ekenywa wanalazimisha wateja wa Bima hasa NHIF kununua dawa kwao.
Ukienda kutibiwa wanakwambia hii dawa haipo kwenye bima; ukienda Kwa mfamasia ukimuomba akuandikie jina la dawa...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Kwenda kwa:
Makamu Mkuu wa Chuo
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO
Husika na kichwa cha habari
Sisi ni...
Ni ajabu ila ni kweli. Bohari ya Dawa (MSD) ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya ambayo Waziri wake ni Ummy Mwalimu ilikabidhiwa uendeshaji wa Kiwanda cha Dawa cha Keko na Msajili wa Hazina mwaka...
Kwa niaba ya wanafunzi waliohitimu kozi zote za afya ngazi ya cheti na diploma nchini toka kwenye vyuo vilivyosajiliwa ambavyo vipo chini ya baraza la elimu na mafunzo ya ufundi(NACTVET) hadi leo...
Naitwa Janeth Shayo, mkazi wa Uru, Moshi. Naomba unisaidie kupaza sauti mwanangu Jonathan Makanyaga (07) mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi Mrupanga, ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu...
Hapa gari ndogo haiwezi kupita maana itaharibika kabisa. Mkandarasi kama huyu inakuwaje anapewaa kazi na kuharibu barabara.
Any way mzee baba alishaondoka acha mjipigie tu.
Naandika kwa uchungu mkubwa baada ya Mke wangu kufanyiwa udhalilishaji na huyu kijana mhuni anayeitwa MALIMA ambaye ni Polisi Jamii hapa Kata ya Nala.
Ni kijana ambaye anajiona yeye ni zaidi ya...
Kumekuwa na tabia ya hovyo sana inayofanywa na madereva pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa mabasi ya Mwendokasi, hasa katika vituo vikuu vya Kivukoni na Gerezani nyakati za jioni ambapo foleni ya...
Mimi ni mmoja wa Madaktari Wanafunzi ambao tulikuwa tunajifunza kwa vitendo kwa muda wa mwaka mmoja katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa (Kitete) iliyopo Tabora.
Moja ya changamoto ambayo tulikutana...
Mimi ni mmoja wa Wafanyakazi katika Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN) inayojihusisha na uchapaji wa magazeti ya Habari Leo, Daily News na Spoti Leo, bila kuzunguka sana utaratibu...
Sisi Wananchi wa Mbezi Msumi Shina Namba 7 kuna Mjumbe anaitwa Michael Meshack Mnyeke, asilimia kubwa ya Wananchi wa huku hatumtaki kutokana na tabia yake ya kuonea watu na kutumia madaraka yake...
Nikiwa kama raia mwema na mtumishi wa Kanisa Katoliki lililopo Sinza nimeona sio vema nami nikae kimya wakati kila wiki naenda Kanisani kumuomba Mungu kisha niache familia iteseke wakati nina...
Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma mazingira yake ni machafu na yanatoa hasira kwa sisi tunaotumia eneo hilo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kila siku.
Licha ya kuwa wanakusanya fedha zetu kwa maana...
Sijui shida ni nini. Huku south Africa, botwasana, Námibia huwezi oná bodaboda. Zimejaa zile toyota hiace Kila mahali.
Sisi tuliondoa hiace mjini miaka hiyo. Sasa tumesajili bodaboda na bajaji...
Huku mtaani kwetu kuna mlipuko wa magonjwa ya tumbo ambayo wataalamu wa mambo wanadai ni mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu.
Nina ndugu zangu kadhaa hapa Mkoani Manyara, Wilaya ya Babati, Kata ya...
Nilipokea taarifa ya kifo cha baba baada ya kupata ajali ya pikipiki Februari 2024.
Nililazimika kuahirisha mitihani ya chuo iliyokuwa imeanza siku mbili kabla ya kupata taarifa ya kifo cha baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.