DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO
Waziri wa fedha na mipango Dk. Mwigulu Lameck Nchemba amewaita vijana mbalimbali toka Kanda ya Ziwa na kukutana nao mkoa wa Singida mnamo tarehe 22.02.2023 kwa kile alichodai kuwa ni kumsemea mama...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Habarini, Haya mambo ya Umungu mtu ndani ya mahakama yamepitiliza kiasi kwamba watumishi wanafanyiwa mambo ya ajabu hasa kwenye maslahi yao kukatwa ovyo bila ridhaa zao. Ni hivi majuzi tu Jaji...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha, wananchi kijiji cha misufini wilaya ya kibaha wamezuiwa na RUWASA kutumia maji ya kisima walichochimba kwa nguvu zao wenyewe kisa RUWASA kutaka kuingiza...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO
Chuo cha DMI (Dar es Salaam maritime institute) kuna changamoto wanafunzi tunapitia. Watu wanalipa ada na pesa ya usajili ambayo kwenye iyo pesa ya usajili wamechanganua kua kuna kupatiwa ID...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Anonymous
DOKEZO
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Chamwenda, Kata ya Nyasaka, Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza tunaomba hii kero yetu iwafikie TANESCO. Hili Shirika letu la Umeme tumeshtoa taarifa kwao kuhusu changamoto...
2 Reactions
7 Replies
595 Views
Anonymous
DOKEZO
Upunguzwaji wa Mabebewa kiholela kwenye Treni ya Mwakyembe (Tazara - Mwakanga) ni kero kubwa kwa abiria, inajaza kupita kiasi na kuhatarisha Usalama wa abiria. Imekuwa hatari pia kwa magonjwa ya...
0 Reactions
2 Replies
455 Views
Desemba 24, 2010: Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TANESCO, Badra Masoud, alitangaza kuanza kwa Mgawo Mkali wa Siku 30 nchi nzima na kuahidi utaisha Januari 2011 Machi 2011: Aliyekuwa Meneja Uhusiano...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Kuna tukio limetokea kwenye familia yetu hivi karibuni (Februari hii 2024), baada ya kufikiria nikaona ni vema nishee na watu ili pengine inaweza kuwa sehemu ya kuiamsha Serikali na Jamii kwa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Nikiwa mmoja ya vijana walio katika program ya BBT LIFE iliyo chini ya wizara ya Mifugo na uvuvi napenda kusema haya nikiwa na uchungu wenye kuumiza, Vijana wenu mnawatumia kisiasa. Kwanini...
1 Reactions
3 Replies
774 Views
Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO
Sisi wakazi wa Isyesye iliyoko mkoa wa Mbeya tunashida moja na TANESCO, hatukatai kuna mgawo wa umeme lakini kuna kero moja inayotukwaza sana wananchi: Umeme umewekwa kwa zamu lakini cha...
1 Reactions
10 Replies
448 Views
Anonymous
DOKEZO
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na viashiria vya wauzaji wa nyama wengi mkoani Kagera hususani Manispaa ya Bukoba kutumia dawa mbalimbali kupulizia nyama ili kuepusha nzi wasisogelee pamoja...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Siku chache baada ya kutitia kwa Mgodi ya dhahabu wa Ikinabushu, Wilaya ya Bariadi Mkoani na kusababisha vifo vya wachimbaji 22, kuna mapya yameibuka ambayo ni nyuma ya pazia ya kilichotokea kabla...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwanza Kabisa nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya ya kuwaletea Maendeleo wananchi wako wewe Binafsi Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bila kujali ni kwa kiasi gani unaangushwa na baadhi ya...
0 Reactions
2 Replies
637 Views
Mamlaka husika waje walitazame usalama wa daraja dogo linalounganisha mawasiliano kutoka Boko Magengeni na Bulumawe linalopatika Kata ya Bunju ambalo lipo hatarini kubomoka kutokana na mvua kubwa...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Habari za muda tena, heri ya siku ya mapinduzi. Moja kwa moja kwenye mada, jana nikiwa katika harakati za kutafuta mkate wa siku muda wa saa 4 asubuhi nilianza kuhisi maumivu jicho la kulia kadri...
7 Reactions
91 Replies
45K Views
Leo ninatuma namba ya gari nikijiamini kuwa gari hiyo inamilikiwa na Tume ya madini. Huko gari liliko Kila siku linatumika kukusanya rushwa na kusumbua wachimbaji wadogo. Gari Hilo linafanya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba tufikishie kilio chetu sisi maagent wafanyakazi wa TRA ukienda floor namba 10 utakuta foleni kama wanangoja mwendokasi kupata huduma, wakati kuna mfumo upo kwa system ingesaidia kumaliza...
0 Reactions
9 Replies
511 Views
Kuna kampuni inaitwa SUMA JKT ni wababaishaji sana. Katika Bandari ya Tanga wanalipa vibarua kwa mateso, vibarua hawalipwi kwa wakati pesa zao. Kingine pesa za PSSSF; mtu pesa alioingiza kwa...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Nimeona hili habari, isome kisha nami nitatoa maoni yangu... Zahanati ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro, iliyotajwa kujengwa zaidi ya miaka tisini iliyopita ipo hatarini kuanguka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom