Eneo la Kawe katika Kituo cha Daladala cha Maringo kuna hali ambayo imekuwa ikinikera kwa muda mrefu, mitaro inayopotisha maji inazibwa kwa makusudu kwa kutumia viroba na vijana wanaofanya...
Ni kipindi cha miaka karibu 23 hivi tathmini ya kwa ajili ya uhamisho wa Kipunguni imekuwa ikifanyika bila mafanikio, hivi karibuni imefanyika tena na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akathibitisha...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Ofisa Utumishi mmoja ambaye alihudumu katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu kwa kushirikiana na Afisa kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii PSSF wanaida...
Habari Wakuu?
Nimepita Mitaa ya Mikocheni leo na kukuta Kituo cha Mafuta cha Barrel kilichopo Mikocheni kinaendelea kufanya kazi ikiwa ni takriban mwezi mmoja tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na...
Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu.
Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu...
Mimi ni mdau niliye ndani ya Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (FDC SAME)
Kumekuwa na changamoto ya Mkuu wa Chuo kutopenda kuhojiwa kuhusiana na masuala ya matumizi ya fedha.
Hali hiyo imesababisha...
Kwa mara nyingine tena, Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu linatuhumiwa kuhusika katika kifo cha Mwananchi aliyekamatwa na Askari Polisi kisha kudaiwa kumpiga na kumsababishia maumivu makali na...
Ni mara nyingi nimeona haya magari ya wanaokusanya taka mitaani, na wale wanaopitia taka majumbani wakifanya kazi zao katika mazingira hatarishi yasiyojali afya ya ya watu wale.
Wamekuwa wakizoa...
Mikopo inayotolewa na hazina katika mkoa wa Tabora imejaaa rushwa na ukilitimba. Hii ipo zaidi katika Tabora manispaaa pamoja wilaya ya Uyui ambapo maafisa utumishi wako wazi kabisa...
TANGAZO KWA WAKUU WOTE WA SHULE MOSHI MANISPAA:
Wakuu wa Shule za msingi Moshi Manispaa, Mkoa wa Kilimanjaro ,tafadhali wasilisheni michango kwa ajili ya chakula cha walimu watakaohudhuria semina...
Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya...
Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7.
Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco.
Mwenye namba ya simu...
Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi...
Kuna utaratibu umezoeleka kwa Askari wa Usalama Barabarani (Trafiki) kusimamisha Magari na kutaka Madereva au kama ni Daladala basi Kondakta amfuate alipo bila hata kukagua Gari.
Huu utaratibu...
Benki kuu ya Tanzania ni taasisi kubwa na yenye heshima kubwa. Kuna jambo silielewi, sisi tuna madai yetu ya pesa za likizo za mwezi wa 12 mwaka jana. Hatujalipwa mpaka leo. Tukifuatilia kwa...
Dampo lililopo kwenye soko la Stereo hapa Tekeme, Dar es Salaam ambapo ni sehemu kwa Wauzaji wa soko hili kuhifadhi takataka baada ya wao kufanya usafi kwenye maeneo yao, limekuwa ni kero kubwa...
Habari wadau. Kumekuwa na wimbi la wafanyakazi wa NHIF waliopo mahospitali kuwataka wazazi wabadilishe vitambulisho vya watoto kwakuwa picha zilizopo kwenye vitambulisho hazifanani na watoto...
Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM.
Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani.
Vyoo vimejaa balaa na hivyo...
Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto kubwa ya mizigo kuchelewa, hii ni kero ambayo imekuwepo kwa miezi kadhaa sasa na Serikali na mamlaka zipo kimya, kiasi kwamba imefikia hatua baadhi ya watu...
Mimi ni Mkazi wa Arusha, nina kero kuhusu Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA), hapa Lemara kuhusu suala la kuunganishiwa maji.
Awali, tulivyofanya maombi ya kuunganishiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.