DOKEZO Threads

Hali ya masoko kwa kweli ni mbaya sana, yaani unaweza kununua bidhaa ukaharibu viatu na ukapata magonjwa mazingira ya masoko yetu. Kila mfanya biashara analipa ushuru wa kuwepo sokoni, hata hivyo...
10 Reactions
53 Replies
7K Views
BRELA wamekuwa sababu ya wafanyabiashara wengi kushindwa kurasimisha biashara zao kwani ukitaka kufungua kampuni utapitia machungu na mwisho utaacha kabisa. Brela wamekuwa wanafanya masahihisho...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Mlembea, ni moja ya Shule ya Serikali iliyopo Wilaya ya Rombo katika Tarafa ya Mashati Mkoani Kilimanjaro ambapo kwa Mwaka huu wa 2024 imeandikisha Wanafunzi watatu tu (3) kuingia darasa la kwanza...
10 Reactions
35 Replies
4K Views
Anonymous
DOKEZO
Kuna tatizo tunaomba Serikali, Jamii na hasa mamlaka husika zifahamu ili hatua zichukuliwe, ni kuhusu kero ya joto kutokana na msongamano wa watu Kivukoni Jijini Dar es Salaam. Abiria tunaotumia...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali. Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu...
11 Reactions
72 Replies
7K Views
Mvua zimeleta majanga na kuacha majanga. Lakini Mvua zisingekuwa na maafa makubwa kama tungekuwa na mifumo mizuri ya maji taka. Kwa kuwa na mifumo mibovu maji yamejitengenezea njia zake na...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Wakazi wa Sinza tunawaomba uongozi wa juu kuchukua hatuola stahiki kwa uongozi ulipo sasa kuanzia ngazi ya Diwani kuja hadi serikali za mitaa kwakuwa wameshindwa kusimamia zoezi la uzoaji taka...
0 Reactions
1 Replies
300 Views
Anonymous
DOKEZO
Mimi ni mkazi wa Mkoa wa Pwani, napatikana Kijiji kinaitwa Mipeko ambacho kipo Wilayani Mkuranga karibu na Mbande ya Mbagala ya Dar es Salaam, hali yetu ya usalama wa Barabara ni mbaya. Barabara...
1 Reactions
4 Replies
758 Views
Nimepanda Happy Nation( BUSINESS CLASS) la saa 10:00 kutoka Bukoba to Dsm kwa NAULI ya 120,000/. Hilo basi halina AC na pia CHOO chake haki flush tunalazimishwa kuchimba dawa kwa KUJILIPIA hiyo...
10 Reactions
126 Replies
10K Views
Anonymous
DOKEZO
Kuna baadhi ya Maafisa wa TRA, TAA upande wa Airport Export wanasumbua wateja. Bila ya kuwatoa hupati release ya mzigo wako na watu wale Security wa TAA ndo kabisa usipowapa hela wanaweza ficha...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wafanyakazi wa mgodi wa Dhahabu CATA MINING uilioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara, wameanza mgomo wa kutofanya kazi na kuamua kulala katika ofisi za mgodi huo, wakishinikiza uongozi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau! Hivi kweli nchi inayopigia kelele kukuza utalii iko gizani Kwa kiwango hiki Jiji la Arusha tangu asubuhi Hakuna umeme hadi sasa hivi. Jitafakarini enyi wenye dhamana
2 Reactions
10 Replies
620 Views
Mradi wa REA uliopo TANGA, LUSHOTO BUMBULI, kata ya FUNTA kijiji cha MANGA. Ni mwaka wa 3 mradi haujakamilika. Tulifika mpaka TANESCO wilaya kuwaeleza hawajafanya chochote (kama pesa za mradi...
1 Reactions
2 Replies
438 Views
Anonymous
DOKEZO
Hii Barabara ina Kibao cha ujenzi wa Lami tangu enzi za JPM. Lakini mpaka sasa haieleweki lini litafanyika zoezi hilo. Barabara inaendelea kuharibika kila kukicha kutokana na mvua za kila siku...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Anonymous
DOKEZO
Wakaazi wa Unguja, Zanzibar tuna kero kuhusu hawa wahusika wa ukusanyaji taka, wanaziweka karibu na makazi ya watu, taka zinanuka sana na zinakaa zaidi ya mwezi pasipo kuzolewa na wahusika...
1 Reactions
3 Replies
435 Views
Anonymous
DOKEZO
Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa. Rais na mbunge wa Ubungo...
1 Reactions
4 Replies
377 Views
Anonymous
DOKEZO
Katika wilaya ya Malinyi mkoa wa Morogoro tulioajiriwa mwezi wa 6, 2023 idara ya afya hatujalipwa pesa yetu kamili ya kujikimu, DMO, katibu wa afya na chashier wa wilaya wamekuwa watu wa kutupiga...
0 Reactions
4 Replies
549 Views
Viongozi wa jiji la DAR tunafahamu mnatembelea magari yenye tinted. Lakini watu wa Dar nao kila kitu kwao poa tu. Mimi nitoe wito kwenu watu wa dar hasa watumiaji wa soko la Kisutu kwamba siyo...
3 Reactions
4 Replies
723 Views
Anonymous
DOKEZO
Sisi tunaokaa Stendi ya Daladala ya Mbezi Luis kila siku tumelalamika vya kutosha kuhusu changamoto ya ulinzi unaofanywa na walinzi wa Suma JKT hapa. Changamoto zao kubwa hazijulikani kwa mamlaka...
1 Reactions
12 Replies
895 Views
Kichwa cha habari cha jitosheleza. Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali. Mwanzo walitakiwa...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Back
Top Bottom