Habari,
Naomba mtusaidie kuizungumzia kero yetu hii ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hususani Idara ya Elimu.
Na hii imekuwa kama kero sugu. Afisa Elimu amekuwa na kawaida ya kuwahamisha walimu...
Hivi karibuni Jeshi la Polisi lilitangaza nafasi za ajira katika mikoa tofauti, kilichokuwa kinafanyika ni wale tunaohitaji kuomba tulitakiwa kufanya hivyo kupitia ngazi ya Mkoa.
Mkishafanya...
Ningependa kuwauliza wizara ya Uchukuzi kupitia Waziri Bashungwa ni lini Kituo cha ukaguzi wa mizigo kilichopo kata ya Misugusugu mkoani Pwani kitahamia Vigwaza kuliko jengwa kituo kikubwa cha...
Kutokana na Hospitali ya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kupokea idadi kubwa ya wagonjwa, iliamua kuanzisha kitengo maalumu (dawati) la 'NIULIZE MIMI' kama ambavyo baadhi ya hospitali nyingine...
Tunamuomba kamishna wa mamlaka ya mapato akae na hawa vijana na kuwakumbusha maadili ya kazi.
Kabla hatujachukua hatua kali zaidi za kuwavua ngua na adhabu nyingine, meneja na watumishi wake...
Ingawa viongozi wa Mkoa na Wilaya hawataki kutoa taarifa kwa jamii juu ya uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa kipindu pindu.
Ni kuwa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu imekubwa na visa wa...
Juzi watumishi Kada ya ualimu na Afya katika Wilaya za Rombo na Sikonge walilalamika kutolipwa stahiki zao ambazo ni fedha za kujikimu.
Hivyo hivyo kadhia hiyo imetukumba sisi watumishi katika...
Kiwango Cha uvuvi haramu katika ziwa Victoria kimefikia hatua ya kuvua vifaranga vya Sangara. Hivi ni vifaranga vya Sangara vikiuzwa soko la Bugashani Bukoba.
Je, wataalamu pamoja na kitengo cha...
Mradi wa hostel za wasichana katika shule ya sekondari Langiro umetelekezwa, mradi huu ulivyoanzishwa ni zaidi ya miaka 4 sasa haujakamilika hivyo kusababisha athari kubwa sana kwa watoto wa kike...
Vitambulisho vya ulowezi wanavyopewa baadhi ya wakazi wa Biharamulo mkoan Kagera (na Familia zao) kwa kuwa na asili ya Rwanda ,je Ni sahihi naomba pia vigezo vya mtu kuitwa mlowezi.
Hii...
Ametoa daivesion bila kueka kibao kua kuna daivesion wageni wakija wanapitiliza na kudondokea kwenye vifusi pia divesion imechimbika mashimo na mkandarasi ashahamisha mitambo yake
SIsi watumishi walimu tuliwasilisha fomu zetu za likizo tangia mwezi wa 11 mwanzoni, ila mpaka tarehe ya leo hatujalipwa wakati likizo imeshafikia nusu.
Tunaomba mkurugenzi atueleze likizo...
Tunapitia wakati mgumu sana tunaofika Kitengo cha TRA Ofisi Kuu Mwanza ili kupata Control Number za kulipia Capital Gain Tax.
Kufanya Uhamisho wa viwanja Sheria imebadilishwa, ni Asilimia 3 sasa...
Leo alfajiri saa 10 usiku nilikuwa Stendi ya Magufuli kupanda basi nasafiri kuelekea Mkoa fulani. Nilisikia harufu mbaya kama chemba inayovuja eneo wanaposimama Abiria wanaosubiri basi la...
Habari wanabodi
Naomba niingie kwenye mada, kama ni mtumiaji wa barabara ya Mandela na mfuatiliaji wa mambo nyakati za jioni utagundua kuna jambo la kutengeneza.
Iko hivi, wakati unatoka Ubungo...
Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekana kama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa.
Salam
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu , Wakazi na watumiaji wa barabara kuu itokayo kimara kuelekea bonyokwa na vitongoji vya karibu kama Baa mpya,Mavurunza,Kwa Mringo na Golani wamekuwa...
Mkurugenzi mtendaji wa Mbinga mji hali ya vyoo vya shule ya sekondari Ngwilizi ni mbaya sana.
Imefika wakati wanafunzi walio wengi wanaenda kujisaidia vichakani.
Hebu wasaidieni Hawa wanafunzi...
Kumekuwa na changamoto ya kukatika Kwa umeme ovyo au umeme kuwa mdogo sana kipindi cha msimu wa senene. Hali hii inatokea sana wakati wa usiku ambapo muda huo ndo wakazi wengi wa Muleba...
Unaweza kuongea leo ukapuuziwa ila ni mbinu zinazotumiwa na taasisi za dini na ili kupitia makanisa wengi wamepatia mwanywa kutakatishia pesa zao.
Kwenye kutakatisha fedha kuna njia nyingi, ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.