Mapema jana(Novemba 30, 2023), wagonjwa tuliokuja hapa hospitalini kutibiwa tulikutana na kadhia ya kutukanwa na muhudumu aliyekuwa chumba cha wagonjwa wa nje(OPD) wanaotibiwa kwa bima.
Mhudumu...
Hivi karibuni kulitokea nafasi ya ajira za Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi ambapo zaidi ya Wananchi 1,000 walituma maombi ya ajira.
Lakini wakati mchakato unaendelea, sisi tuliopata...
Wananchi tulioathiriwa na Mradi wa Umeme wa Rusumo Hydroelectric Power Project baada ya busting bado hatujapewa fedha za kuhama ili kupisha mchakato huo wa umeme.
Maafis wa Serikali wanaendelea...
Mimi ni Mkazi wa Muheza, Kijiji cha Ngomeni, Kambi ya Mikoroshini Mkoani Tanga, tunaomba Serikali Kuu na Mamlaka zenye nafasi ya kutusaidia kufikisha salamu kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan...
Mimi ni jirani ninayeishi Kata ya Matevezi au Ngaramtoni ya chini, Arusha Manispaa.
Nimekuwa nikisikia kelele za yowe mara nyingi Waraibu wakiadhibiwa katika Kituo hiki kinachomilikiwa na Kijana...
Hii ni Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera.
Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu...
Wanafunzi wa UDOM college ya informatics wamekua na changamoto kadha wa kadha.
1. Ubovu wa miundombinu hasa choo kwa baadhi ya blocks(1 and 3) hali inayopelekea kushindwa kujisaidia na kupata...
2. Ofisi ya Rais • TAMISEMl tmcpokea barua yenye Kumb. Na. SAD 429/546/11/6 ya tarebe 13 Novemba. 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi (IKULU) kuhusu somo ta/wa hapo juu.
3 Ktrtokana na kuwepo...
Ratiba ya mabasi hayo yanaanza kutoka Rombo saa 9 usiku na basi la mwisho saa 11 alfajiri. Jambo hili licha ya kuleta usumbufu kwa abiria lakini pia linahatarisha usalama wa abiria kutokana na...
Kwa kipindi kirefu sasa rais wetu, mama Samia Suluhu Hassan amekuwa akihangaika kubuni mbinu mbalimbali kwa lengo la kutatua kero za wananchi.
Sisi wananchi wa kata ya Lukobe, Morogoro...
Wadau kulingana na taswira ya jiji la Dar es Salaam kwa sasa, eneo la Mbezi Luis, ni eneo ambalo limekaa kimkakati katika kukuza uchumi wa Dar es Salaam na nchi kwa ujumla, cha kushangaza...
Nimetazama list hii nimebaini majina kadhaa ya watu wenye hadi zao Mjini ambao nao wamenyang’anywa mashamba ya Kilimo cha Korosho baada ya kutoyaendeleza, kwanza kabisa namba mmoja ni Waziri Mkuu...
Kuanzia mapokezi, Dirisha la Malipo - hapa ndo pana shida mnooo😭😭, unayezilipa shida ni kurudi tena ili risiti iingizwe kwenye mfumo. Unaeza kaa hata masaa ma tatu hafi 10.na ukirudi tena siku...
Naandika uzi huu kwa uchungu na majonzi makubwa.
Siku za hivi karibuni nikiwa mkoa wa ugenini mishale ya usiku nilianza kujisikia hovyo sana kwa ghafla tu. Hali ilianza kubadilika mida ya saa...
Wakazi wa kulwa pande tuna kero kubwa juu ya barabara hii.
Kila siku tunapigwa kalenda tu kwamba itajengwa kwa kiwango cha lami lakini hakuna utekelezaji.
Serikali itambue wajibu wake, sio...
Huu ndio muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde iliyopo katika Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro.
Shule hii ya Serikali haina miundombinu inayoridhisha...
Siku kadhaa nyuma nilipata kutembelea eneo la leaders club aisee uchafu niliokuta na miundombinu chakavu ni Ile Ile ambayo niliiacha miaka ya 90 Hadi mwanzoni mwa 2000 kuendelea mpaka 2013-2015...
Kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba huku Mkoani Kagera kinatoa huduma mbovu sana upande wa afya, hasa kwa Wanawake Wajawazito.
Haijalishi kama una kadi ya Bima au la, bado huduma...
Sisi baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo Wilayani Kiteto Mkoani Manyara tunapenda kujibu na kutoa ufafanuzi juu ya kinachoendelea kuhusu wenzetu kadhaa...
Kuna jipu kubwa ambalo likiiva litaleta hatari kubwa sana pale mkoa wa kagera wilaya ya kyerwa.
Kuna jamii ya wasukuma imeenda wilayani humo inawahonga viongozi ngazi ya vijiji na viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.