DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO
Mimi ni mkazi wa Tanga, hapa kwetu kuna kero moja kubwa ambao binafsi naona inaweza kuwa inawagusa watu wengi kwa maana ambao wanaumia au wanakwazwa na kinachofanyika. Ni kuhusu Hospitali ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi nikiwa mfanyakazi wa Taasisi hii tangu kipindi ikiwa NBC Bank nasikitishwa sana na yanayoendelea humu ndani, Kwa kuwa haya mambo tumekuwa tukishauri kwa nyakati tofauti na kupuuzwa nimeona ni...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ngoja niwasanue wananchi wenzangu Siku hizi wilaya Bagamoyo (Mapinga, Kerege, Kiaraka), ambapo wengi wetu wafugaji wa kuku ndiyo tunafanyia ufugaji mkubwa) Nimekuwa naona makundi ya wakina mama...
40 Reactions
119 Replies
9K Views
Siku chache baada ya baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wanaodai kuporwa maeneo yao ya mashamba kuamua kurejea katika mashamba...
1 Reactions
5 Replies
977 Views
Kutokana na mgogoro wa ardhi unaoendelea Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo inadaiwa wamekamatwa na Polisi na wamewekwa ndani...
0 Reactions
5 Replies
729 Views
Anonymous
DOKEZO
Mimi ni mwenyeji na mkali za Dodoma, niende moja kwa moja kwenye mada yangu, kama inawezekana Waziri wa Maji aivunje Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kutokana na...
1 Reactions
1 Replies
650 Views
Anonymous
DOKEZO
Askari wa Lukobe, Morogoro wameshindwa kulinda Usalama wa raia, IGP Wambura tusaidie Mimi ni Mkazi wa Kata ya Lukobe Mkoani Morogoro, miezi miwili iliyopita nivamiwa nyumbani kwangu nikaibiwa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Leo tarehe 21 mwezi wa 11 kumefanyika Kikao cha Wafanyakazi wanaojenga Mradi wa SGR na Maafisa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Yapi Merkezi ambaye ni Mkandarasi Mkuu wa Mradi huo, hakuna muafaka...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili. Nimeenda...
42 Reactions
259 Replies
12K Views
Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati, Ngabolo na Olboloti Wilayani Kiteto Mkoani Manyara waliodai kuporwa maeneo yao ya mashamba wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimehitimu chuo kikuu cha Dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha. Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na...
35 Reactions
240 Replies
9K Views
Anonymous
DOKEZO
Katika pitapitia yangu ya mambo tofauti mtandaoni, nikakutana na post ya JF iliyokuwa na kichwa cha habari “Umewahi kuata Changamoto ya Mazingira ya Rushwa wakati wa Kujifungua? Nikapata wazo na...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Ninaandika haya kwa sababu nakupenda nchi yangu Tanzania kwa sababu na wewe unanipenda pia. Ninaandika haya kwa sababu sitamani hata siku moja kuona machafuko ndani ya nchi yetu nzuri ya kupendeza...
31 Reactions
164 Replies
11K Views
Note. Huu ni uhalisia wa kinachoendelea bandarini na sio habari za kuchafuana. Mimi kama mmoja wa wadau wa kubwa wa sekta ya bandari nachukizwa sana na matendo yanayofanywa na maafisa wa TRA...
12 Reactions
17 Replies
1K Views
Mradi wa Maji huko Arusha unaelezea madudu yote yanayofanywa na serikali na wachina wanaowapendelea sana kuwapa tenda. Isingekuwa mvua kubwa iliyonyesha hivi karibuni, ingekuwa kama waswahili...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Baadhi ya sisi Wakazi wa Mtaa wa Kibugumo Wilaya ya Kigamboni pembezoni na ilipo Sheli ya Puma hapa Dar es Salaam kuna mwekezaji ameziba njia ya maji hali ambayo imetufanya tunaoishi maeneo ya...
2 Reactions
11 Replies
927 Views
Anonymous
DOKEZO
Mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nikifanya kazi kwa ukaribu na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), sina nafasi hiyo ya juu lakini nipo katika sehemu ambayo NHIF wakitimiza wajibu wao...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Nimeamua kuandika hapa kwa kuwa JamiiForums inafuatiliwa na watu wengi ndani na je ya Nchi, mtandao huu unafuatiliwa na watu wa kawaida, Viongozi na Watu wengine mashuhuri. Ningependa kuwaomba kwa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Mimi ni dereva Bodaboda napatikana Kata ya Mbezi Msumi hapahapa Dar es Salaam, tulijichanga tukanunua eneo la ardhi katika Kijiji kinaitwa Zumba kipo Boko Mnemela, Kibaha Mkoani Pwani...
17 Reactions
46 Replies
5K Views
Back
Top Bottom