Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya inachafua hali ya hewa na kuhatarisha afya za Wananchi hospitalini na wanaoizunguka kwa kukosekana Incinerator (mashine maalum ya kuchomea taka).
Incinerator...
Bila shaka huyu ni kigogo mzito sana, anajenga frem kwenye hifadhi ya barabara, ndani ya kituo cha mwendokasi Mbagala, kibali amepata wapi? Ilikuja Tanroad ikasimamisha ujenzi na kupiga X jamaa...
Nadhani mnakumbuka Hospitali ya Amana ilishiriki kuhudumia Wagonjwa wa COVID-19 hiyo ilikuwa kuanzia Mwaka 2020, sasa katika ile kazi kulikuwa kuna posho ambayo Watumishi na Vibarua ilitakiwa...
Wilaya ya Kigamboni, Kata ya Kisarawe 2, Mitaa ya Mwasonga, Sharrif na Madege wamelipwa fidia isiyo stahiki na Mwekezaji ambaye ni Kampuni ya Nyati Sand Resources Ltd inayomilikiwa na Strandline...
Mimi ni dereva wa malori yanayobeba simenti katika Kiwanda cha Simenti cha Rhino (kwa Mchina) kipo Kange Mkoani Tanga.
Vyoo ni vibovu havina miundombinu ya maji wala taa, hivyo kusababisha watu...
Nilisafiri October 2023 ambapo escalator za terminal two zilikuwa hazifanyi kazi. Mwaka huu nasafiri tena nakuta escalator hazijatengenezwa.
Kimisingi nimeumia kuona wamama ambao kutumia ngazi...
Wenye mamlaka leo naomba kufikisha kero yangu kuhusu ubovu wa Mifumo ya Malipo ya Ada na Utoaji Matokeo ya Mitihani ambayo imekuwa na usumbufu kwa Wanafunzi kutokana na Matokeo kutowekwa kwenye...
Kituo cha Afya kilichojengwa Kata ya Mkumbi, Halmashauri ya Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma kimechukua muda mrefu kukamilika, tatizo ni siasa na mizunguko kibao.
Kwanza tangu mradi uanze aliyekuwa...
Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu.
Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kuna mtu anauwawa kwa kuchomwa na visu.
Kunakikundi...
Wakuu heshima mbele, niende moja kwa moja kwenye mada.
Pengine inaweza kuonekana kama jambo la ajabu kwangu mimi naweza kuchukua hatua je wangapi wasiojua hili?
Ipo hivi majuzi nilitinga katika...
Sisi wakazi wa Sombetini Jijini Arusha tuna changamoto ya kupata maji yasiyo salama kutoka kwenye mabomba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA).
Hii hali ilikuwepo miezi...
Nipo moshi mitaa ya.rombo.pombe asilimia 80 nilizohakiki kwa kutumia program ya ya.hakiki stemp ya tra.zinaonyesha ni feki.hivi wahusika wako wapi?.₩atu wanauziwa sumu.biashara...
Wakazi wa Mtaa wa Kawe Jijini Dar es Salaam, wameliomba Jeshi la Polisi Nchini kuongeza ulinzi hasa nyakati za jioni katika maeneo ya Tanganyika Packers ikidaiwa kuongezeka kwa vitendo vya ukabaji...
Kuna Mwalimu (jina linahifadhiwa) anayefundisha Shule ya Nanhyanga Sekondari iliyopo Tandahimba Mkoani Mtwara, anaweza kudhuriwa na jamii inayomzunguka kwa kuwa wanamtuhumu kwa mambo mbalimbali...
Nilisikia siku nyingi kwamba Kanisa la KKKT Kimara Korogwe tunaloliamini kwa mambo ya kiroho, kijamii na ustawi bora ukiacha ile ahadi ya kutuandaa kwa ajili ya ulimwengu ujao kwamba unatiririsha...
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani limeingia kwenye kashfa kubwa ya utapeli baada ya makanisa yake ya Kijitonyama, Salasala, Mwenge, Ubungo na Mbezi Beach kuwauzià...
Mimi ni mkazi wa Mkoa wa Tabora, Wilaya ya Kaliua, kero yetu huku ni kuhusu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuchelewa kutoa kadi za Uanachama baada ya kutuma maombi.
Inauma na inakera kwani...
Ni mambo ya ajabu sana huku tulipofikishana. Septemba 21 mwaka huu DAWASA iliuhakikishia umma wa Tabata kuwa kutakuwa na uhakika wa maji, lakini mpaka leo navyopandisha mnakasha huu kuna baadhi ya...
Ni kwa miaka mitatu sasa bodi ya filamu nchini Tanzania imekuwa ikiandaa tamasha la filamu nchini. Na kila mwaka kumekuwa na maneno ya kukatisha tamaa kwa waandaaji filamu nchini kutokana na hisia...
Watumishi wa afya Hanang tumesainishwa karatasi za malipo ambazo hazioneshi kiasi tutakacholipwa matokeo yake wengine wamelipwa half per diem na wengine wamelipwa kwa extra duties na wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.