Wakuu nmeona video ikielezea kuwa miongoni mwana ukoo wa mwanzilishi wa Whiskey alimnunua binti wa miaka kumi huko Congo miaka ya 1880 na kisha kumtizama akiuliwa na kuliwa.
Mchekeshaji maarufu aliyejipatia umaarufu wake kupitia mitandao ya kijamii, Pierre Liquid amelazwa Hospitali ya Muhimbili Mwaisela wodi namba 6 iko ghorofa ya pili.
Aidha inaelezwa kuwa...
Video inayoonesha gari inayotembea kwenye barabara iliyopo mlimani huku likiwa na mawe mawili juu yake.
Mdau Shiriki kuthibitisha, je, video hii ni halisi au imetengenezwa?
Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo katika jukwaa la JamiiForums.com, kumekuwa na majadiliano na masuali yanahoji au kutoa taarifa ambazo wengi hawana uthibitisho nazo kuhusu dawa za...
HABARI WANA JAMII FORUM
Nasikia kitaalamu samaki aina ya papa na jamii za samaki wa aina hii huwa wana kiwango kikubwa Cha kemikali ya madini ya mercury na ni hatari kwa afya ya mwanadam
Je swala...
𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗷𝗶𝘄𝗲 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗹𝗶𝘁𝗮𝘀𝗵𝘂𝗸𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟯𝟮
Watafiti kutoka Nasa wameshaanza kutoa ripoti kuhusu jiwe kubwa litakalo weza shuka duniani ambalo linaitwa asteroid 2024 YR4, na kuibua...
Wakuu nimekutana na hii video inayoonesha familia ikiwa juu ya Mamba na vitu vyao kwenye mto, pia inadaiwa ni huko Goma, DRC. JamiiCheck naomba mtusaidie kupata uhalisia wa video hii.
Wakuu wa JamiiCheck naomba kufahamu uhalisia wa hili kwamba ukungu unaweza kuathiri mazao na kupunguza kiwango cha uzalishaji. Huwa naona shambani majani ya mimea inaungua nikuliza wenzangu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61
Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia...
Waungwana kuna ukweli gani hapa kuwa Kule Marekani kuna mji unaitwa Centralia, uko Pennsylvania. Mji huo umekuwa ukiteketea kwa moto tangu mwaka 1962, na inasemekana moto huo utaendelea kuwaka...
Nmeona mtu ametuma picha zikionesha kama moshi mrefu juu ya maji huku akiyaita ni maajabu lakini watu wamekuwa wakisema hiyo ni hali ya kawaida kwa kuwa hiko ni kimbuga cha maji, Je uhalisia upoje?
Wakuu naomba msaada wa taarifa hii kuwa Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti imefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw...
Mwanamke asipo mnyonyesha mtoto kwa zaidi ya siku moja maziwa yake huchacha na kuharibika.
Wanawake hushauriwa kumwachisha mtoto ziwa ili asidhurike kwa sababu maziwa hayo hukosa tena sifa ya...
Inadaiwa huyu jamaa bhana enzi za utumwa, alitumika na masta wake kama mbegu ya kuzalisha watumwa wenye nguvu. Inadaiwa kutokana na kuwa na nguvu, umbo maridadi na urefu wa futi 7 hivyo masta wake...
Kumekuwa na maswali Mengi kuhusu safari za Ndege kwanini hazisafiri kufuata straight line kutoka bara moja kwenda jingine?
Na hivyo wataalamu wa mambo kuja na theory ya dunia ni flat( kama sarafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.