Imekuwa ikinitoea mara kwa mara kila nikila nanasi na kisha kunywa maji nahisi uchungu mdomoni, Je hii ni kwangu tu au watu wote mnapata hali kama hii?
Kama ni wote, Kwanini baada ya kumaliza...
JamiiCheck imefuatilia hotuba iliyotolewa na Stephen Wasira akiwa kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa mkoani Mwanza tarehe 26-11-2024 ambapo mbali na mambo mengine alisema...
Salaam wakuu,
Leo nimekutana na hiikuhusu jua naomba kupata uhalisia wake.
Je ni kweli kwamba jua lina rangi nyeupe ilihali asubuhi tunaweza kuona rangi kama ya njano, chungwa, nyekundu na kadhalika.
Salaam wana JamiiCheck
Hii picha inanipa ukakasi kuitofautisha kama imetengenezwa na Akili mnemba au ni ya kweli, wataalamu wa masuala haya naomba msaada wa kupata uhalisia wa picha hii tafadhali.
Wakuu katika pitapita zangu huko mitandaoni leo nimekutana na hii video ambayo inasemekana kuwa ni ya Uganda na mwanamke mmoja anaonekana kumpiga kofi polisi, je kuna uhalia upi hapa wakuu?
Inasemekana kuwa Emmanuel Nwude, mmoja wa matapeli maarufu zaidi katika historia ya uhalifu wa kifedha nchini Nigeria ambaye kati ya miaka ya 1995 na 1998, aliwahi kumuuzia mtu uwanja wa ndege wa...
Nimekuwa ni mtumiaji wa panadol katika kusafisha pasi yangu inapochafuka, lakini nimepigwa na butwaa na kupata wasiwasi baada ya kukutana na post mtandaoni kuwa matumizi hayo ya panadol ni hatari...
Nimekutana na hii video jamaa akielezea kuwa ulaji wa maembe na maganda yake ni tiba ya asili ya Bawasiri. Msimu wa maembe ndio huu, kabla sijaenda nunua lumbesa ya maembe naomba kupata uhalisia...
Natumaini mko njema kabisa,katika pita pita zangu kwenye makitaba za kimataifa nimekutana na hii kwamba mtu alie vumbua ndege wakwanza kabisa ni mwafrika amerika 1906 alikuwa anaitwa Charles...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.