Salaam Wakuu,
Nimekutana na stori mtaani zinadai kwamba mnamo mwaka 1990 Bondia Maarufu Muhamedi Ali alienda nchini Iraq kuzungumza na rais wa nchi hiyo wakati huo Sadam Hussein kuwaachia mateka...
Habari Wakuu,
Nimekutana na video hii TikTok inayodai hii pande kubwa la theluji lipo Mlima Kilimanjaro na lilikuja kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Kuna ukweli hapa?
Naombeni mtusaidie
---
Wakuu,
Nimekutana na video huko duniani, kahawa hii wanapewa tembo wale na tembo hao wakijisaidia inaenda kusafishwa kisha kuuzwa, wanadai eti ikipita kwenye mwili wa tembo inapunguza ladha ya...
"Mama kuwa na umri zaidi ya miaka 35 au Baba kuwa na miaka zaidi ya 40 kunaweza kupelekea kupata mtoto mwenye mtindio wa ubongo, kupata infection wakati wa ujauzito, Mama mjamzito kuumia sababu...
Tumefanikiwa kuipata picha hii ambayo inaaminika huyu ndio Gustave. Kuna Mamba katika Ziwa Tanganyika anayeitwa "Gustave" ambaye inadaiwa ameua zaidi ya watu 300 katika miongo kadhaa iliyopita...
Nimeona kuna taarifa zinadai kuwa kumlaza mtoto katika mitindo tofauti na chali kunawesza kumletea madhara ikiwemo vifo vya ghafla, hili jambo limekaaje?
Nimesikia na kuona vipande vya video fupi vikidai Mafinga ilinyesha Mvua iliyosababisha barafu kuzagaa mitaani hadi baadhi ya maeneo barabara zikawa nyeupe, nimeona video hizo ila nikapata ukakasi...
Nimesikia sehemu kuwa binadamu anaweza kupata usugu wa vimelea kutokana na kutumia mazao yatokanayo na wanyama mbalimbali, mfano wa mazao hayo ni nyama nk.
Hofu yangu ni kuwa wafugaji wengi siku...
Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!
Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani...
Kuna hili suala la Kuwa Mpanzu amesajaliwa Simba tayari japo bado haijaw wazi ila jambo linalonipa utata ni tarifa z kuwa atacheza kuanzia hatua ya makundi kwa kuwa dirisha dogo litakuwa...
Kuna video inayomuonesha Edna Cintron akipunga mkono akiwa ghorofani baada ya shambulizi la septemba 11, 2001 nchini Marekani je aliokolewa au alifariki pale pale?
Nimeona mjadala kuhusu mihula anayoruhusiwa kugombea makamu aliyeshika madaraka ya Urais kutokana na kuchukua kiti katikati ya muhula baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kuendelea aidha...
Nimeona taarifa ikionesha kuwa unywaji wa maziwa mabichi husababisha ugojwa wa brucellosis na mimi kwa upande wangu nimekuwa nikinywa maziwa mabichi kwa muda kidogo japo sijawahi kuona changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.