SI KWELI Threads

  • Article Article
Wakuu hasa wale Wataalamu Wa Chemical na Hata Physics Kwa Ujumla nataka kupata Ufafanuzi hapa Kidogo! Chupa zetu za Kuhifadhi Joto La Vinywaji au Vimiminika Kama Chai, Kahawa au Maji Moto Ndani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Article Article
Kuna madai kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 taslimu baada ya kusimamishwa kazi jana! Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni...
0 Reactions
0 Replies
530 Views
  • Redirect
Inasemekana kuwa ATCL imefuta safari zake kuelekea Chato kutokana na ukosefu wa Abiria wa Kutosha.
0 Reactions
Replies
Views
  • Article Article
Picha ambayo baadhi ya watu wanadai kuwa inamuonyesha raisi wa Urusi Vladimir Putin akitoa mafunzo kwa wapigania uhuru kusini mwa Afrika ilisambaa na kutumiwa na baadhi ya watu kuhalalisha kuwa...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
  • Article Article
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo.
0 Reactions
0 Replies
780 Views
  • Article Article
Kumekuwa na madai ya kwamba wasanii walioambatana na Rais Samia Suluhu katika safari ya Royal Tour walikuwa wakilipwa Tsh. Milioni 3 ya kitanzania kama pesa yao ya kujikumu kwa siku nzima kwa siku...
0 Reactions
0 Replies
476 Views
  • Article Article
Watumiaji mitandao ya kijamii bado wanauliza kama Rihana na Asap Rocky huenda wameachana baada ya chapisho la mmoja wa mashabiki wa muziki kuchapisha kuwa Rihana na Asap wameachana na kupelekea...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
  • Article Article
Kumeibuka dondoo kuwa Viongozi wa CHADEMA walio nje ya nchi Tundu Lissu na Godbless Lema wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
403 Views
  • Article Article
MADAI Taarifa zinaenea mitandaoni kuwa CHADEMA watapeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Zaidi ya hayo...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
  • Article Article
Kumekuwa na uvumi kuwa watu wenye kundi la damu O+ hawawezi kupata maambukizi ya VVU/ UKIMWI. Hata hivyo, wanasayansi wanasema kundi la damu halina uhusiano wowote na kutopata maambukizi ya...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
  • Article Article
CEO wa Simba sports club Barbara Gonzalez kuna tetesi akafungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na michezo haswa football Hii imetokea baada ya yanga kupeleka malalamiko TFF kuhusu tuhuma...
0 Reactions
0 Replies
468 Views
  • Article Article
Baadhi ya watu wamekuwa na nadharia kuwa utumiaji wa maziwa ya unga unasababisha upungufu wa nguvu za kiume
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Article Article
Aliyekuwa Gwiji wa utakatishaji fedha aliyejipatia umaarufu mitandaoni hasa Instagram, anayejulikana Kwa jina la Hushpuppi amefunguliwa mashtaka mapya na waendesha mashitaka wa Marekani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Rais wa Urusi Vladimir Putin, amelitaka Taifa la Kenya kumaliza kwanza njaa nchi Kenya badala ya kuifunza Urusi namna ya kumaliza migogoro ya Kimataifa. Putin amemfananisha Balozi wa Kenya Umoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Mwishoni mwa mwaka 2021 kuliibuka taarifa kuwa Serikali ya Uganda imeshindwa kulipa deni kiasi cha dola milioni 207 na kusababisha kutaifishwa uwanja wake wa nddege wa Entebbe. Taarifa hizo...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
  • Article Article
Wakati Rais Samia akimpolea Rais wa uganda Yoweri Mseveni uwanja wa ndege jijini Dar kuna taharuki ya kuwepo mgonjwa wa kwanza wa kirusi kipya kilichogunduliwa Afrika ya Kusini siku tatu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Agosti 5, 2022 kuna uvumi ulivuma sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari vikionesha kuwa Elon Musk anataka kununua Facebook kisha kuifuta.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Article Article
Kulikuwa na uvumi kuwa klabu ya Simba kuachana na kocha wa klabu hiyo, Pablo Franco Martín kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu ya timu na kufungwa na Yanga katika nusu fainali la kombe la FA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Hivi karibuni kulizuka uvumi wa watu kulipa hela nyingi kununua vidole vya miguu nchini Zimbabwe. Je, Ukweli ukoje?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom