Baadhi ya watu hushauri matumizi ya pombe kali ili kutibu mafua na kikohozi. Madai yao yamebeba nadharia nyingi zinazohitaji uthibitisho wa kisayansi ili kuondoa sintohamu kubwa iliyopo...
Kumekuwepo na picha inayozunguka mitandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akizungumza na Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo yakiwa...
Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nasikia ukila maharage sana unapata uoni hafifu na mpaka sasa kuna watu wanaamini hivyo.
Mimi ni daktari lakini mpaka sasa sijafundishwa hicho kitu.
Mdau mmoja wa Jamiiforums ameonesha wasiwasi wake baada ya kwenda hospitalini kupima VVU ambapo tofauti na namna alivyotarajia, daktari wake alimpima kwa kutumia mate yaliyotolewa kwenye fizi ya...
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit alitokwa na mkojo iliyolowesha suruali yake wakati wa kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuzindua mradi mpya wa barabara, Jumanne Desemba 13, 2022.
Video ya...
Kuna Taarifa zilizosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii, zinazodai Tarehe 31 Januari 2023 wakati Tundu Lissu akifanya Mahojiano ya channel ya YouTube ya Jambo TV, kwamba alimpongeza Rais Samia kwa...
MADAI
Kumekuwepo na picha inayozunguka mtandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo kukiwa na chombo chenye asali...
Kumekuwepo na madai kuwa Serikali imesitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya Kushindwana na mwekezaji.
Hapo awali Serikali ilifufua mazungumzo na mwekezaji kuhusu ujenzi wa Bandari hiyo...
Inadaiwa kuwa mabehewa 30 na vichwa 2 vya treni za SGR mali ya TRC vinapigwa mnada 25/11/2022, nchini Germany kufuatia mgogoro wa TRC na EUROWAGON Railways Limited (Turkey), iliyopewa kazi ya...
Kulikuwa na uvumi kuwa kiungo wa Real Madrid, Eduardo Bamavinga ana umri wa miaka 19 na mwanaye ana miaka 8. Hali inayooonesha kuwa alimpata mtoto huyo akiwa na miaka 11.
Picha1: Camavinga akiwa...
Naona mambo ni moto kweli kweli, inasemekana Ndugai aliwekwa kizuizini na barua yake ya kujiuzulu Uspika hakuiandika yeye ni kwa mujibu wa hii tweet.
Sisi yetu mambo, maana malipo ni hapa hapa...
Chips ni chakula maarufu sana kinachotumiwa na watu wengi, hasa vijana. Baadhi ya watu huamini kuwa chakula hiki husababisha ugonjwa wa macho hasa kutoa machozi, maumivu ya mishipa ya macho pamoja...
Nanasi ni tunda lenye faida lukuki kwa afya. Miongoni mwa faida za tunda hili ni kuongeza kinga ya mwili, kutibu mafua, kupambana na saratani, kuondoa maumivu pamoja na kulinda moyo.
Pamoja na...
Kumekuwa na mtazamo kuwa maziwa ya kwanza ambayo mama huyapata mara baada ya kujifungua si maziwa yafaayo kwa mtoto. kutokana na mtazamo huu wanawake wengine huyakamua na kuyamwaga mpaka...
Kuna taarifa inadai kwamba IPTL imewasha mitambo na ishazalisha umeme na kuiuzia Kampuni ya kusambaza Umeme nchini (TANESCO). Aidha, taarifa hii inadai kuwa huu ni uhaba wa umeme ulikuwa...
UVUMI
Hivi karibuni baada ya Elon Musk kuununua mtandao wa Twitter kuliibuka uvumi kwamba bilionea huyo amepanga kurejesha akaunti zote za Twitter zilizofungiwa, kasoro ile ya aliyekuwa Rais wa...
Siku chache baada ya kufariki nywele za mtu pamoja na kucha zake huonekana zikiwa zimeongezeka urefu.
Jambo hili huonekana mara nyingi sana, linaweza pia kuthibitika kwa kutazama masalia ya...
Gazeti la The Star limechapisha taarifa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya, Wafula Chebukati na wenzake walihongwa Dola Milioni 3 ( Takriban Tsh bilioni 7) ili kuwaba zabuni kampuni ya...
Tovuti moja inadai kutangaza nafasi za ufadhili wa masomo katika chuo kikuu nchini Norway na kusambaa katika mitandao ya kijamii.
Tovuti hiyo ina ujumbe wa Kiingereza ulioandikwa vibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.