SI KWELI Threads

  • Article Article
Kumezuka tetesi ya kujitoa kwa uwakilishi wa wakili Peter Kibatala katika kesi ya ugaidi iliyokuwa ikimkabili mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani CHADEMA, ambapo taarifa hizo ziandai kuwa...
0 Reactions
2 Replies
970 Views
  • Article Article
Wiki mbili zilizopita kwenye mitandao mbalimbali ilionekana mwendesha bodaboda asiye na woga akiwaacha wengi katika mshangao baada ya kupita kwa utulivu katikati ya kundi simba wenye njaa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Article Article
Jamani kichwa kinajieleza. Kwanza ni kweli mende anazalisha maziwa? Mende hawa hawa tunaowaona chooni? Sasa maziwa yenye yanakaa wapi na wanakamuaje? Halafu eti inasemekana maziwa ya mende...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Article Article
Kumekuwepo na picha zinazosambaa mtandaoni zikionesha wanadiplomasia nchini Kenya wakiondoa kurejea makwao kwenye uwanja wa Jomo Kenyatta. Inasemekana wamefanya hivyo baada ya kupewa notisi ya...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
  • Article Article
Wajumbe, Hili dude la mkataba wa DP World na Serikali ya Tanzania ina makando-kando mengi. Katika kufukunyua nimekutana na wavaa miwani mieusi tena ni PSU. Huyu Bwana amenidokeza kwamba katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Hivi kuna ukweli ndani yake kuwa wanaume wanaonyonya lips za wanawake waliopaka lipshine, hupelekea kupatwa na Hepatisis B?
2 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Article Article
Julai 12, 2023, Balozi mstaafu wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari alitoa kauli inayotuhumu waandishi wa habari kwa kufanya upotoshaji wa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Article Article
Wakuu, Nimekutana na ujumbe unasambaa kwenye mitandao ya kijamii Twitter, Instagram na hata humu JF nimeona mtu kaweka uzi kuwa wanafunzi tena wakike kutoka shule ya wasichana ya Lucas Malia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Article Article
Kuna mahala nimesikia kuwa mlevi huyumba yumba kwa kuwa kasi ya mzunguko wa damu yake huwa kubwa. Hii ni kwa sababu pombe hiyo husababisha mabadiliko hayo Je, ni kweli kuwa hali ya mlevi...
5 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Article Article
Mdau wa JamiiForums ameweka Chapisho lenye kichwa cha habari "CCM kimeanza kuumana" akimaanisha kuwa hali imeanza kubadilika kwenye Chama cha Mapinduzi baada ya Serikali inayoongozwa na Chama...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Article Article
Mtumiaji wa Mtandao wa TikTok anayetumia jina la Leonard Clasic (User4692412178624), Julai 3, 2023 mchana, aliweka video moja kwenye ukurasa wake pasipo kufafanua chochote. Video hiyo inamuonesha...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Article Article
Juni 15, 2023, Mdau wa JamiiForums aliweka chapisho linaloelezea jinsi alivyokwenda kupata chanjo ya COVID-19 na kupatiwa cheti ya chanjo husika. Mdau huyu anaeleza kuwa alitishwa sana kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
  • Article Article
Kumekuwa na debate kubwa kuhusu uchezaji wa Michael Jackson kwenye wimbo wa Smooth Criminal, kuna ile dance aliinama digrii 45 akiwa sakafuni mgongo ukiwa umenyooka, alikaa sekunde kadhaa kabla ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Article Article
Salaam Wandugu, Nimepata taarifa mtandaoni kuwa ndege ya Malaysia iliyopotea miaka tisa iliyopita imekutwa kwenye maji ikiwa haina abiria. Habari hiyo ilichapishwa kwenye mitandao mbalimbali ya...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
  • Article Article
Wakuu, Nimekuwa nikifuatilia suala la leseni ya udereva tangu April hadi leo sijapata. Naambiwa Hazitolewi, kuna ukaguzi sijui wa vyeti. Naomba kujua kama ni kweli zoezi limesimamishwa au la...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
  • Article Article
Hii imekaa vipi kitaalam, Mwenye Selimundu (Sickle Cell Disease) hawezi kuishi kwa zaidi ya miaka 30?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Article Article
Kumekuwepo na nadharia inayoaminika sana Mtaani kuwa mtu asiye na Bandama hawezi kucheka. Binafsi kwanza sielewi bandama ni nini na linahusikaje na kucheka kwa binadamu. Naomba kufahamu undani...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
  • Article Article
Naomba kuuliza wataalamu wa jamii check. Maisha yangu yote naamini kuwa nyongo ya mamba ni sumu, lakini kuna bosi wangu mmoja tumebishana vikali akidai kuwa si sumu bali ni nyongo tu kama ya...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
  • Article Article
Salaam Ndugu zangu, Nimekutana na taarifa kutokea twitter zikidai kwamba Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amelazwa kwenye chumba cha uangalizi maalumu. Je, kuna ukweli wa taarifa hii?
0 Reactions
10 Replies
4K Views
  • Article Article
Juni 7, 2023, Mtumiaji Mmoja wa Mtandao wa Twita aliweka chapisho linaloonesha kuwa Umoja wa Mataifa umeruhusu watu kushiriki Mapenzi na watoto. Andiko hilo limezua sintofahamu kubwa kwenye...
1 Reactions
2 Replies
852 Views
Back
Top Bottom