Masaa kadhaa yaliyopita baada ya Mdude kutoa taarifa za kufuatiliwa akiwa aa Wakili Mwabukusi Mkoani Arusha, kwa takribani lisaa sasa wote wawili hawapatikani kwenye simu zao na haijulikani...
Inasemekana huko mitandaoni kuwa Serikali ya China imepitisha Sheria ya kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja(ushoga), na Adhabu kali kwa yeyote atakaye jihusisha na na Mapenzi ya Jinsia Moja ndani ya...
Hili sakata la dola linanivuruga sana, ukifuatia kulikuwa na taarifa mtandaoni kuwa Tanzania kuna uhaba wa dola Za kimarekani.
Sasa naona tena kuna taarifa inazagaa mtandaoni kuwa BoT akiba hiyo...
Salaam ndugu zangu,
Nimekutana na video fupi ikieleza kwamba kukata mauno ni hatari, kunaweza kuwa kisababishi cha ganzi kwa mwilini.
Tazama Video hapa chini:
Je, kuna ukweli hapa?
---
Kuna tafiti za hivi karibuni zimethibitisha kwamba hata wanaume hupata hedhi, ingawa wanaume hawana alama za nje za kuwaonesha kwamba wako kwenye hedhi, kama walivyo wanawake ambao hutoka damu...
Kwa taarifa za uhakika ni kuwa tangu January hadi sasa sio chini ya askari 20 walikwisha uwawa ila serkali Inafanya siri hata sisi hatukuruhusiwa kufika KIBITI kwa kuambiwa kuwa mkuu wa wilaya na...
Salaam,
Ndugu zangu kuna habari nimeona inasambaa kwa kasi Twitter ikidai kwamba Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited...
Inadaiwa kuwa Prof. Palamagamba Kabudi amenukuliwa kwenye Mtandao wa Clubhouse akisema alievujisha huu Mkataba wa Bandari ametuvua Nguo, tumeweka Ujinga wetu wote hadharani.
Ni kwei Prof...
Nimekutana na hii stori mtaani kuwa ukiweka Maji ya Nyanya kwenye Kipimo cha Mimba kinatoa majibu yanayoonesha Ujauzito upo.
Kuna ukweli hapa na kwanini iwe Positive, Kwanini isisome negative au...
Sijawahi jaribu kufuatilia historia ya maisha yake, lakini nilisikia eti alikufa kwa kufungiwa chumbani kwa siku 12.
Mke wake siku ya 8 harufu ndani ikazidi na alipofungua mlango akakutana na...
Nimecheka sana, tuna Askari wa ajabu sana sana.
Waliruhusu gari bovu likazunguka kote likaenda kuungulia Chato baada ya vitisho vya Wasira na uvccm.
Such a pathetic statement!
Wakuu mko vyede?
Kuna kipindi fulani hili suala lilizuka sana kuwa wanaoishi na HIV hasa matajiri walikuwa wanaenda South Afrika kubadilisha damu ili kupunguza makali ya ugonjwa huo.
Hii...
Ni kipindi nakumbuka Mwamba aliibatiza jina nchi kuwa donor country (nchi inayotoa misaada) na kuna usemi kwamba Tanzania tulijihudumia bila misaada ya wazungu tulijibana bana tule kwa urefu wa...
Wakuu kwema?
Kuna sehemu nilisikia wana wanasema hili kuhusu Mbowe kuwa na uhusiano wa damu na Hayati Mwl. Julius Nyerere, wakawa wanasema hata jinsi Mbowe alivyofanana na Nyerere kwamba kuna...
Habari ndio hiyo wakuu,
Mpaka Tanganyika inapata uhuru wake mwaka 1961, ni wananchi wawili tu walikuwa wamesoma kwa kiwango cha shahada ya kwanza(Degree).
Wa kwanza alikuwa ni Hayati Mwalimu...
Jamii inaamini kuwa kila Mtu anayeugua ugonjwa wa Kifua Kikuu huwa ana maambukizi ya VVU jambo ambalo limekuwa chanzo cha unyanyapaa kwa waathirika
Je, ni kweli kila Mtu mwenye kifua kikuu ana...
Miongoni mwa Wabunge wa Tanzania waliobahatika kuteuliwa kufanya ziara ya siri huko Dubai, yumo mbunge wa Jimbo la Msalala la Mkoani Shinyanga.
Taarifa zinaonesha kwamba Mbunge huyu alivyorudi...
Hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazohusisha taasisi na watu maarufu duniani kuwa na mpango wa kupunguza idadi ya watu duniani. Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na Bill Gates kuelezwa kuandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.