SI KWELI Threads

  • Article Article
Je, ni kweli ugonjwa wa macho mekundu (Red eyes) huambikizwa kwa kutazamana?
7 Reactions
16 Replies
6K Views
  • Article Article
Hatua za ukuaji wa mtoto huambatana na mabadiliko mengi ya kimwili. Mojawapo ya mabadiliko hayo ni kung’oka kwa meno ya awali na kuota kwa meno ya kudumu. Mdau wa JamiiForums ametoa hoja kuwa...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
  • Article Article
Inadaiwa kuwa kuna mawingu yamedondoka huko Morogoro kutokana na mvua kubwa zinazonyesha. Wataalam, imekaaje hii? Video ikionesha kile kinachodaiwa kuwa ni Mawingu yaliyodondoka, Morogoro
5 Reactions
16 Replies
4K Views
  • Article Article
Arsenal inashikilia rekodi ya kuichapa Man U kichapo kikubwa zaidi kwenye ligi ya Uingereza cha Magoli 39-0 mwaka 1920. Habari hii inasambaa sana mtandaoni, JamiiCheck tunaomba mtusaidie kuifuatilia.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
  • Article Article
Salaam ndugu zangu, Kuna hii habari nimekutana nayo kwenye mitandao ya kijamii ikieleza Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amebeti pesa za simba. Je, ina ukweli?
3 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Article Article
Nimekuwa nasikia tangu zamani kuwa ukipata ajali ya bodaboda kisha ukapelekwa MOI ni lazima ukatwe miguu yako. Hii ni kweli?
1 Reactions
1 Replies
509 Views
  • Article Article
Kuna mwanamama aliwahi nipa ushuhuda kuwa matiti yake yalianza kuanguka akiwa na miaka 23 kutokana na mitomaso aliyokuwa anafanyiwa na mpenzi wake wa kwanza. Aliendelea kwa kusema kuwa, kabla ya...
15 Reactions
60 Replies
13K Views
  • Article Article
Madai: Yapo madai kutoka katika jamii mbalimbali yakihusisha rangi nyekundu na radi. Baadhi ya jamii zinaamini kwamba kuvaa mavazi yenye rangi nyekundu wakati wa mvua ni hatari kwa sababu yanaweza...
5 Reactions
30 Replies
8K Views
  • Article Article
ATTENTION! Medical research authority of the US have found new cancer in human being caused by silver nitro oxide. Whenever you buy recharge cards dont scratch with nails as it contains silver...
0 Reactions
55 Replies
13K Views
  • Article Article
Here it is, kwanza 1. Kadanganya Miaka yake kwa wikipedia today changed his age 32 To 26 2. Anatafutwa as an international fugitive. 3. Out of all players, wameenda kwa mtu ana history ya...
8 Reactions
53 Replies
11K Views
  • Article Article
Inasemekana kuwa Rais wa awamu ya Pili wa Afrika Kusini Thabo Mbeki amefariki dunia. Hii ni kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi.
5 Reactions
9 Replies
4K Views
  • Article Article
Mlioko hapo Karibu embu mtujuze iwapo hizi habari ni za kweli. Wengine wanasema kuna kikundi kimepewa kazi maalum ya kushughulikia legacy. Kimeona umati mwingi wa wageni unafika hapo Toka mikoa...
12 Reactions
134 Replies
14K Views
  • Article Article
Salaam Wakuu, Nimekutana na Video ikimuonesha mchezaji wa PSG Kylian Mbappe akicheza mpira na Roboti. Kuna ukweli kuhusu video hii? Tunaombeni ufafanuzi. Video iliyosambaa mtandaoni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Article Article
Salaam Wakuu, Nimeona taarifa imepostiwa na Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa X ikiambatana na video inayoonesha maji mengi ya mvua yakitiririka katika barabara ya Mlima Kitonga. Video hii...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
  • Article Article
Salaam Wakuu, Kupitia WhatsApp yangu nimetumiwa ujumbe wa tahadhari kuhusu kuwepo kwa Mvua katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Ujumbe huo unaeleza: Shinyanga, Dar, Pwani, Mafia,Tanga...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Article Article
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii video ya kijana akitapika damu wakidai kuwa tatizo ilo limemkuta baada ya kutumia dawa inayo itwa carbotoux je, taarifa hizi niza kweli?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Nimekuwa nikisikia kuwa Rais wa zamani wa Malawi, Dkt. Hastings Kamuzu Banda aliwahi kuwa Daktari wa Malkia wa Uingereza na alihasiwa asije akatembea na Malkia Elizabeth na kuzaa naye. Kuhasiwa...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Article Article
Wataalamu wa afya huelezea umuhimu na faida za kufanyika kwa tendo hili kwa wanaume. Baadhi ya sehemu wanaume huwa hawatahiriwi kabisa, na wengine wanaotahiri husubiri hadi mtoto afikishe walau...
6 Reactions
31 Replies
9K Views
  • Article Article
Wakuu kwema? Niko na swali hili, nilisikia watu wakizungumza kuwa mtoto akianza kubeba vyuma vya mazoezi anadumaa, yaani anaacha kurefuka na kuishia kuwa na umbo lile lile la mtoto (anadumaa)...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Article Article
Beki wa Simba Che Malome,siku ya tarehe 05.11.2023 wakati wanakandwa kichapo cha mbwa mwizi kutoka kwaa watani zao Yanga, alionyeshwa kadi mbili za manjano. Kitu ambacho kilipaswa kupewa card...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom