Nimesoma habari huko mtandaoni nimepata mtatiziko kidogo baada ya mwandishi kuandika watu wenye group B msile kuku, na wakati mimi kuku ndio moja ya kitoweo changu pendwa sana.
Msaada hapo wa...
Nani asiyemjua mbabe Simba mfalme wa nyika? Yaani ukutane naye paaah! Utamzame machoni aone aibu na kuondoka? Bado siamini hili jambo naona hawa vijana wa ovyo wanataka kuniingiza chaka siku...
Salaam ndugu zangu,
Nimekutana na video ya kusikitisha ikimuonesha raia anayesemekana kuwa ni raia wa Tanzania Bara akichapwa viboko na Raia wa Zanzibar kwa kosa la kula mchana wa Ramadhani. Je...
Kuna picha nimeona Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama akizindua uidhinishaji wake wa mwisho wa mgombea urais 2022 nchini Kenya ambapo alionesha wazi kumuunga mkono Naibu Rais Ndugu William...
Kumekuwepo na barua inayiosambaa Mtandaoni ikionesha kuandikwa na Mfalme Mswati III ametoa tangazo linalodai kuwa kutokana na uhaba wa Wanaume kwenye nchi yake, amewaomba wananchi wanaoishi Kusini...
Katika pitapita mitandaoni nimekutana na huyu chawa wa Mtoto wa Rais Museveni, Kainerugaba Muhoozi akimtuhumu Kakwenza Rukira kuingia makubaliano ya siri na umoja wa Ulaya nchini Uganda katika...
Video hii kwenye Facebook imeeleza kuwa Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amesema kuwa Rais William Ruto alimsaliti kwa kukutana na kinara wa upinzani Raila Odinga nchini Uganda.
Video hiyo...
Mimi ni mmoja wa watoto waliotungwa mimba wakati mzazi bado ananyonyesha, bahati mbaya aliyenitangulia alifariki dunia kabla sijazaliwa. Hivyo wakati nakua niliambiwa na majirani kuwa kutungwa...
Habari wakuu,
Nimeona taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetambulisha noti yake itakayotumika katika nchi wanachama, iliyopewa jina la SHEAFRA (SHF). Wengi...
Habari Wadau,
Nimekutana na tangazo la kazi likionesha kuwa Kampuni ya usafirishaji ya Tilisho inahitaji Wafanyakazi kwa nafasi ya Wakatisha Tiketi na wahudumu wa ndani ya Mabasi.
Nimepata...
Salaam ndugu zangu,
Mtaani kwetu nimezungukwa na ndugu na marafiki wanaovuta sigara. Baadhi Yao hupendelea kula matango baada ya kuvuta sigara wakidai wanapunguza sumu itokanayo na sigara...
Mdau wa JamiiForums anaomba kufahamu kama kitendo cha mwanamke kujisaia wakati wa kujifungua huhusishwa na kushiriki tendo la ndoa kinyume cha maumbile.
Ameuliza swali hii baada ya kuwepo wa...
Kukoma hedhi ni wakati ambapo mzunguko wa hedhi wa mwanamke hukata. Ki kawaida hutokea mwanamke anapokaribia umri wa miaka hamsini.
Wakati hedhi inapokaribia kukata, wanawake hupitia dalili...
Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi.
Taarifa hii ina ukweli...
Nimeona ujumbe wa WhatsApp unaotaka watu watume majina ya Wagonjwa wa Saratani ya Matiti kabla ya Machi 7 ili watibiwe bure.
Nina ndugu yangu ni mgonjwa. Naomba kufahamu kama tangazo hili lina...
Wakuu habari,
Hii habari ya Asec Mimosas kuomba kutumia uwanja wa Mkapa kwenye mechi yao ya marudiano dhidi ya Simba kwenye ligi ya mabingwa Afrika ina ukweli wowote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.