Taarifa kutoka TUCTA
Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30.
Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap...
Tangu Juni 18, 2024 nchi ya Kenya imetawala vyombo vya habari baada ya Wananchi wake kufanya maandamano wakipinga mswaada wa fedha (Soma hapa). Kufuatilia tukio hilo kumekuwa na picha mbalimbali...
Salaam Wakuu,
Kumekuwa na video inasambaa siku hache zilizopita zikidai kuwa Waandamanaji Kenya wameiba farasi wa polisi na kukimbia nao.
Video hiyo inamuonesha mwananchi anayedaiwa amepora...
Habari ndugu wananchi,
Kuna uzushi uliozoeleka hapa Tanzania kuwa "kinachosababisa NYOKA wa kijani kuanguka chini kutoka juu ya mti ambao chini yake Kuna watu wanapiga stori NI umbea, kwamba...
Salaam Wakuu,
Jana kupitia mitandao ya kijamii kumezunguka nukuu mbalimbali za Mwenyekiti wa sasa wa Simba Sports Club Murtaza Mangungu.
Miongoni mwa nukuu iliyonipa mashaka na kutaka kujua...
Kumetokea uvumi unaosambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na uwepo wa ugonjwa hatari nchini CONGO DRC.
Ugonjwa huo unasemekana kuenea na kuambukizwa zaidi kwa njia ya ngono.
Pia...
Salaam Wakuu,
Nimekutana na picha ya ndege iliyopata ajali kwenye mtandao wa X ikidai ni ndege iiyopotea iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa Rais wa Malawi.
Je ni kweli picha na taarifa hiyo ni...
Wakuu,
Nimeona mtandaoni kuwa simba imemfuta kazi kocha wake wa Makipa Dani Cadena alizotoa kwenye vyombo vya habari akidai kuingiliwa kwenye majukumu yake.
JamiiCheck tusaidieni kuihakiki maana...
Leo nimeona video ambao imewekewa sauti ya mtu akisema wametumiwa video hiyo kwenye group la shule ya Themihill, video hiyo inaonesha mtu akifungua kitu kinachoonekana kama pen (kalamu) ambacho...
Habari Wakuu!
Nimekutana na picha ya habari toka Voice of Amerika Swahili (VoA Swahili) ikidai kuwa Tundu Lissu amethibitisha kupokea vitisho kutokea kwa Freeman Mbowe.
Je ni kweli? Picha hii...
Waziri wa fedha alisema hakuna wizi serikalini ndio maana maendeleo yanaonekana.
Je, ni kweli hakuna wizi Serikalini?
Kauli yake ina ukweli kiasi gani? Jamiicheck tunaomba mhakiki suala hili.
Alhamisi ya pili ya Mwezi Machi kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Figo Duniani ili kutoa ufahamu na kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa afya ya figo na magonjwa yanayohusiana na figo. Kupitia...
Imezoeleka kuona watoto wachanga wakiwa wamefunikwa manguo mengi sana, hii sio shida iwapo hali ya hewa inaruhusu yaani ya ubaridi au ya kawaida.
IIa kunaweza kuwa na hali ya joto kali watu...
Kuna video inasambaa twiter na Instagram ikimuonesha mwanaume akiruka dirisha na kukimbia huku akiwa mtu kabisa bila nguo, watu hao wamekuwa wakishare video hiyo na kuweka ujumbe wa MKE WA MTU...
Salaam Wakuu,
Ikiwa Ligi Kuu ya NBC imeisha leo 28/05/2024 huku Yanga akiwa Bingwa Azam nafasi ya pili na Simba nafasi ya tatu. Kuna tetesi kuwa Simba Sports Club na Yanga SC zitacheza African...
Nimewahi kusikia mtu akikung'ata akiwa na hasira anaweza kukuachia sumu ambayo inaweza kukuathiri, athari hutegemeana na kiwango cha hasira atakachokua nacho.
Je, kuna ukweli wowote?
Mara nyingi nikiwa na stress na kupelekea kukosa usingizi, huwa navuta sigara ili kupunguza stress hizo. Hata iwe usiku wa manane nitajitahidi niende kwenye Club zinazokesha nikafuate sigara...
Mwanafalsafa, mchumi na mwanasiasa wa India ya kale, Chanakya aliwahi kusema, “There is some self-interest behind every friendship. There is no friendship without self-interests. This is a bitter...
Nimeona picha inasambaa mtandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa Tume Huru ya uchaguzi na Mipaka ya kenya, Wafula Chebukati akiwa anaumwa, na maelezo mengine yanadai amesafirishwa kwenda Ujerumani...
Habari,
Nimeona tangazo Mtandaoni linadaiwa kutolewa na NEC, kwamba wametangaza nafasi za kazi ya uandishi wa daftari la kudumu la wapiga kura Mwaka 2024. Kinachonipa wasiwasi naona kama tovuti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.