UOVU WA ODEMBA WAMBAINIKA!
Anatumika na Ubalozi wa Marekani nchini kutaka kuchafua taswira ya Viongozi wa CCM.
Odemba ameweka mapenzi ya upinzani mbele kuliko kazi yake!
Wachambuzi wadai odemba...
Nimeona kipande cha video kikimuonesha Rais wa Kenya William Ruto akiwa katika katika zoezi la upandaji miti akimtambulisha Waziri wa Mazingira Bibi Soipan Tuya kuwa alikuwa girlfriend wake...
Wakuu kumekuwa na hii dhana miongoni mwa watu wengi kuwa mtu akinywa vidonge mfano Panado kisha akaenda kupima UKIMWI atakuwa negative hata kama anao.
Je, ni kweli?
Kumekuwepo na taarifa zinazosambaa mtandaoni zikiihusisha Kampuni ya DP World kudhamini Ligi Kuu ya Soka la Wanaume Nchini Tanzania.
Taarifa hizi zililipotiwa pia Juni 24, 2023 kwenye Jukwaa la...
Mbona mmekaa nayo kina John Mrema au hamtaki watanzania wajue...? Pole sana kamanda Mnyika ila nakupongeza kwa uamuzi huu muhimu na Mkubwa uliochokiamua ni ishara Tosha kuwa hukubaliani na wizi...
Wakuu, joto la Uchaguzi mkuu limeanza kupamba moto. Tundu Lissu amefungua akaunti rasmi yenye jina la 'Tundu Lissu 2025' kwa ajili ya Kampeni za Urais.
Naona yupo tayari kukabiliana na Samia...
Godbles Lema awachana wamasai, amesema ana taarifa kuwa wanatumiwa na wafanyabiashara wa Kenya. Nimependa sana ujasiri wa Lema, kuwa mpinzani siyo kukataa kila kitu.
Suala la Ngorongoro limeileta...
Baada ya Rais wa zamani na mgombea urais kwa tiketi ya Republic bwana Trump kukoswa koswa na risasi kuna video nyingine nimeiona akipigwa kofi akihutubia.
Nimepita kwenye baadhi ya mitandao...
Nimekutana nahii post kwenye mitandao ya kijamii kwenye akaunti yenye jina la mbunge wa Mtama ikitahadharisha watu kufanya siasa za kijinga akidai zitagharimu roho za watu na damu.
Je post hii ni...
Nimeona barua ya Mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizitaka. Hii ni baaada ya balozi hizo kuanza kuingilia masuala ya ndani ya nchi kufuatia sakata la kukamatwa kwa viongozi...
Habari,
Kumekuwa na hoja mtaani inadai kwamba ikitokea upo porini na ukahisi harufu ya wali au mchele unapaswa kuchukua tahadhari kwani ni ishara kuwa chatu yupo karibu na anatoa harufu hiyo...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ametoa kauli yenye utata kuhusu Afrika, akisema, “Afrika ni makaburi kwa Waafrika. Inawezekanaje makaburi yakastawi?”
Putin ameeleza kuwa Waafrika waliofanikiwa...
Wadau je ni kweli Ali Kamwe alizuiwa kuingia uwanjani siku ya wiki ya Mwananchi kwa shinikizo la watu kadhaa ndani ya Yanga?
Maana ishu hii imekuwa kubwa sana ikizungumzwa naomba tuizungumze...
Mdau kutoka PM
Hello Jukwaa la JamiiForums na Jamii Check kwa ujumla. Mimi nina habari inanitatiza ambayo inaenea mitaani, na kila mtu anaamini hivyo,
Kwamba ukila samaki pamoja na maziwa basi...
Nimena video inasambaa mtandaoni ikionesha waandamanaji Nigeria wakisitisha maandamano yao baada ya kupewa mchele. Nadhani kwa Afrika ni Kenya pekee ndiyo vijana wake wanajielewa vizuri kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.