SI KWELI Threads

  • Article Article
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amewataka Watumishi wa Umma kuacha kuweka picha yake kwenye ofisi zao akisema kuwa yeye sio Mungu anayetaka kusujudiwa badala yake amewataka watumishi hao...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Article Article
Kwenye hii video Manara anadai kuna Fact ambayo haisemwi kuwa Simba ilianza kuuza jezi na tiketi wiki 5 nyuma. Yanga wametumia wiki 1 tu kuuza tiketi na jezi na zimeisha, huku akisema kuna...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Article Article
Naomba msaada wa kuhakiki video hii kama ni ya kweli au imetengenezwa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Article Article
Kuna taarifa zinasambaa Mtandaoni zikidai kuwa tembe za Paracetamol zenye jina la P-500 siyo salama kwa afya. Taarifa hii inawataka watu kutukutumia dawa hii kutokana na uwepo wa virusi vya...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
  • Article Article
Kupitia ukurasa wake wa X amesema "Kiukweli sijapendezwa na hizi jezi mpya za 2024/2025 maana zinafanana na vijora kwa hali hii nawaahidi wananchi hadi kufikia siku ya Mwananchi tutabadili hizi...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
  • Article Article
Kwa mara yakwanza Raisi wa heshima wa Simba Mo Dewji akubali yaishe kwenye suala la ku print Jezi Kali hapa Africa. Kwenye post yake huko mjini Twitter Mo amepost "hakika mtani (Yanga) kwenye...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
  • Article Article
Thomas Lungu Sweswe ni mchezaji wa zamani wa Zimbabwe, beki wa kati anadaiwa kushikiria rekodi ya kucheza dakika 90 dhidi ya Keiza Chiefs bila kugusa mpira Soma (hapa).
7 Reactions
19 Replies
9K Views
  • Article Article
Picha hii inadaiwa kuchukuliwa maeneo ya Ubungo, Dar es Salaam. Inadaiwa kuwa twiga hawa wanasafirishwa kinyume cha utaratibu hivyo mamlaka za Serikali ikiwemo Polisi zifuatilie kwa undani suala hili.
4 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Article Article
Inadaiwa kuwa picha hii inamuonesha Mbunge wa Kaunti ya Tongaren Kenya, John Murumba Chikati akiwa amevamiwa na kushambuliwa na wananchi baada ya kupigia kura ya ndiyo Muswada mpya wa Sheria ya fedha.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Article Article
Mei 29, 2023 kwenye Mtandao wa Twitter, Mtumiaji mmoja alichapisha andiko linalosomeka kuwa Mwaka 2016 Serikali Ilikataa kumpokea Balozi Mpya wa Zambia Nchini Tanzania Bwana Musenge Mukuma kwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
  • Article Article
Nimeshangazwa na baadhi ya video ambayo inasambaa WhatsApp na group zingine ikionesha robot akiwa shambani analima kama mtu vile, saa nikajiulza hii ni edit au reality nakosa majibu. Hivo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Article Article
Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania Bonny Mwaitege amefariki dunia katika ajali ya barabarani. Bony alifariki katika ajali hiyo baada ya kutoka katika tamasha. Ni mmoja wa...
10 Reactions
64 Replies
11K Views
  • Article Article
Ninahitaji kufahamu ukweli kuhusu hawa watu wa UNICEF kutoa fedha kwa watu kupitia humanitarian Foundation kutoka kenya ni kweli au matapeli, maana wanakupa maelekezo kisha kukwambia ili upate...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Article Article
Klabu ya Simba ambayo ipo nchini Misri katika maandalizi ya msimu mpya 2024/25, leo Julai 14, 2024 imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Tersana FC inayoshiriki ligi daraja la pili Misri na...
21 Reactions
77 Replies
31K Views
  • Article Article
Salaam Wakuu, Nimekutana na taarifa inayodai kuwa Mchezaji Kinda wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Uhispania Lamine Yamal ana mtoto wa miaka mitatu. Taarifa hii imenistua sababu Kinda huyu...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Article Article
Nimesikia mtu akingatwa na mbwa mwenye kichaa anachombwa sindano saba kwenye kitovu, ikiwa ni njia ya kuzuia yeye asipate kichaa. Je, Hii ni kweli?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Article Article
Dolphin had baby with a Cow Wakuu nimekutana nayo hii mtandaoni ni ya kweli? Je huyu ni mnyama gani
2 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Article Article
Kumekuwa na Madai ya kwamba matumizi ya mboga za majani aina ya chainizi yamekua na madhara katika ufanisi wa tendo la ndoa kwa wanaume. Kuna ukweli gani katika hilo suala? Naomba nijibiwe...
6 Reactions
82 Replies
23K Views
  • Article Article
Inadaiwa Mwendokasi mpya zimefika leo kwenye roro. Je, zitadumu?
15 Reactions
102 Replies
9K Views
  • Article Article
Nimesikia Tundu Lissu amekimbizwa Ulaya kulikoni jamani. Anaumwa nini tuambieni kilichomfanya kuacha mikutano na haraka haraka akakimbizwa nje ya nchi.
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom