Nimekutana na post inasambaa mtandaoni Tundu Lissu akisema anaunga mkono ushoga na video ina maneno yanayosema "Lissu akiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja" je post hii ina ukweli wowote?
kuna ujumbe unasambazwa kwenye makundi ya whatsapp ukidai kuwa kuna namba ikikupigia ama kutuma ujumbe na ukijibu unapoteza maisha kwani mtumiji wa namba hiyo anatafuta damu za watu ni kweli?
Naomba msaada kujua uhalisia wa swala hili upoje juu ya makubaliano yaliyosainiwa kati ya serikali ya Kenya na Ujerumani kubadilishana wafanyakazi 250,000 kutoka Kenya.
Baadhi ya jamii huamini kuwa ulaji wa limao na ndimu husababisha upungufu wa damu mwilini.
Uvumi huu uliosambaa kwenye maeneo mengi hutoa maonyo makali hasa kwa watoto na wanawake wenye...
Nimeona poster ya The Chanzo yenye picha ya Freeman Mbowe ikiwa na maelezo ya kwamba Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA Kuomboleza msiba wa mzee Kibao, je...
Nimeona video ikisambaa toka jana ikimuonesha Tundu Lissu akiwa anazomewa na watu waliokuwepo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana tarehe 11/09/2024 wakimzomea na kumuita YUDA je...
Kumekuwa na akaunti yenye jina la Luaga Mpina inachapisha taarifa mbali mbali kuhusu mambo yanayoendea nchini na kujibu hoja za Mbunge Luaga Joelson Mpina wa jimbo la Kisesa ndani ya mtandao wa X...
Salaam Wadau wa Michezo,
Kuna taarifa nimeiona inadai kuwa Willy Esomba Onana aliyekuwa mchezaji wa Simba SC msimu uliopita ameibuka shujaa kwa kufunga mabao matatu katika mchezo wake wa kwanza...
Habari wakuu, nimeshangaa sana kuona WASAFI TV ikitumia lugha ya kihuni tena yenye maudhi katika uwasilishaji wa taarifa.
Chombo mahili hakiwezi kutumia neno 'usela mavi' katika kufikisha...
Salaam ndugu zangu,
Nimekutana na picha ya JamiiForums ikienea ikionesha ujumbe wa Prof. Mkenda unaodai kuwa kwa sasa vigezo vya kupata kazi kwa Wanafuzni ni kuwa na GPA 3.8. Jambo hili...
Fatuma Karume asema CHADEMA wanahusika na mauaji yanayoendelea, hatuwezi kulilaumu Jeshi la Polisi kila siku wakati viongozi wa CHADEMA wenyewe wakishutumiw na wapo kimya!
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, amesema Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amemzuia kwenda katika ofisi kutokana na yeye kueleza ubadhirifu...
Wakuu salaam,
Kuna mdudu anaitwa Mjusi kafiri, kumekuwa na hoja mbalimbali kwamba mdudu huyo ni hatari na ana sumu kali ikiwa atadondokea kwenye chakula na ukakila.
Je kuna ukweli kuhusu hoja hii?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.