Huyu ni mnyama mkali sana, mkorofi, na mwenye nguvu katika jamii ya paka.
Akiingia bandani, anondoka na kuku mzima na anaenda kula kichwa mpaka shingoni. Kama ni kifaranga, anakula chote au...
Chadema imewapiga marufuku maelfu ya watanzania ambao wana elimu ya msingi na kidato cha nne wasigombee uongozi wowote katila chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa...
Wakuu Salaam nimekutana na taarifa mtandaoni ikisema kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, Ndugu Terry Kilugala, na Katibu wake wa Wilaya ya Itilima, Ndugu Gershom Migasa...
Wakuu salaam, Naomba msaada juu ya uhalisia wa taarifa hii inayosambaa mtandaoni kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ni mahututi na amepelekwa Afrika kusini...
Nimekutana na taarifa mtandao wa X juu ya kuahirishwa kwa kongamano la kitaifa juu matukio ya kupotea kwa raia lilioandaliwa na TLS ambalo lilipangwa kufanyika katika ukumbi wa Ubungo plaza, je...
Tangu nikiwa mdogo nilisikia na kuamini kwamba ute/ mapovu yanayokuwa kwenye mimea ni mate ya nyoka. Mpaka kufika wakati huu bado sijajua kama suala hili lina ukweli ama la.
Naomba wataalamu...
Nimekutana na picha hii mtandaoni ikimuonesha naibu wa Rais nchini Kenya Gachagua akiwa anawatazama kupitia dirisha Rais wa nchi hito William Ruto akiwa na King Charles III alipotembelea nchi...
Nimeona taarifa inayosema klabu ya Yanga imetuma barua Azam Media ili kuomba kubadilishwa kwa mtangazaji aliyetumika kumuhoji Gamondi siku ya mechi ya tarehe 29.09.2024 dhidi ya KMC pale Azam...
Wakuu kuna wimbo nakutana nao TikTok na X ukiwa na sauti ya Justine Bieber akieleza namna alivyonynyaswa na P. Diddy alipoenda kwenye party ikamgharimu.
Kuna ukweli hapa. Wimbo huu hapa chini:
Nimeona mtandaoni Mkuu wa kitengo cha Digital, Crown Fm ameandika kuwa Mara ya mwisho Yanga SC kufungwa kwenye Ligi Kuu ni Oktoba 4, 2023 bado siku 3 itimize mwaka mmoja pasipo kupoteza mchezo...
Nimekutana na post katika mtandao wa X ikisema Wimbo wa Nay wa Mitego alioutuoa hivi karibuni umefutwa na yeye hajulikani alipo, je kuna ukweli wowote?
Salama wakubwa wa JamiiCheck?
Katika pitapita zangu mitandaoni kuna mtu nimeona akishauri kuwa ni vizuri kumnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo ili mtoto akue vizuri.
Amedai kuwa mtoto...
Wakati Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kikitangaza kufanya Maandamano ya amani leo Jijini Dar Es salaam chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian...
Je, Kuna ukweli kuwa unywaji wa Bia kwa wingi kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa homoni za kike, na mwisho kupelekea mwanaume kupata ugumba?
Video inayozungumziwa (Chanzo: Times FM)
Picha...
Nimeona video ikizunguka kwenye mitandao ya Kijamii ikonesha kuwa jioni ya leo, mwenyekiti wa CHADEMA amesitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.