Picha hii na maandiko yamekuwa yakisambaa mtandaoni, yakielezea dhana ya kwamba watu wa zamani walikuwa wakiishi duniani, na kwamba baadhi ya mabaki ya silaha zao kubwa ambazo zilikuwa zinatumika...
Wakuu salaam,
Nimekutana na posti hii ikielezea kuwa Anna Henga wa LHRC wamesema kuwa CCM kuuawa ni haki yako huku ikiwa na picha ya yule Mama wa CCM aliyeuawa hivi karibuni.
Post hii hapa Chini:
Nimeona huko walimwengu wakijadili kuhusu vile vipele vinavyozunguka kichwa cha uume, sasa baadhi wanadai kuwa mwanaume mwenye hivyo vipele ana asilimia ndogo sana ya kuambukizwa UKIMWI hasa akiwa...
Mbunge wa Kawe (CCM), Josephat Gwajima amesema mojawapo ya sehemu zinazopatikana kwenye Jimbo lake inayoitwa Mikocheni wamefanikiwa kusambaza mabomba ya gesi kwenye nyumba 480.
Uhalisia wa kauli...
"HOTUBA YA DONALD TRUMP KUHUSU KWA NINI ANAWACHUKIA WAAFRIKA NA WAARABU".
Hatulazimiki, hata kwa sekunde moja, kujaribu kuthibitisha kwa mtu yeyote na hasa kwa weusi na Waarabu kwamba sisi ni...
Nimekutana na hii taarifa iliyotolewa na The Chanzo ikidai kuwa Padri Dkt. Kitima kupitia taasisi yake ya CK ana mradi wa kugawa bidhaa tajwa hapo juu,
Wasiwasi wangu isije kuwa wanamchafua Padri...
Kwenye hizo audio mbili yasemekana Serikali inaidai kampuni ya Vodacom "tozo" au "kodi" kutokana na fedha zinazowekwa na wateja wake kwenye AKAUNTI ya M-Koba.
Kuna hatari Akaunti hii inaweza...
Nmeona tangazo kwenye baadhi ya makundi huko mtandaoni kuwa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza nafasi za kazi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Wakuu nimekuwa nikiona watangaza bidhaa za dawa za tiba asili wanadai dawa zao hazina kemikali kabisa na kusisitiza watu kutumia hizo badala ya za hospitali ambazo huwa na kemikali.
Nimekumbuka...
Wakuu,
Kuna ujumbe huu umekuwa ukisambaa sana kwenye magroup za Whatsapp na nyingine zikitumwa na watu unaowafahamu.
Kuna mtu nimemwambia huu ni utapeli anabisha anaona kama namnyime fursa...
Katika pitapita zangu nimekutana na hii situation ikijadiliwa kuwa wakati wa mawio hadi kufikia mida ya saa 2 na pia mida ya kuanzia saa 12 kasoro mpaka jua linapochwaa, hilo jua tunaloliona si...
Nakumbuka shule niliyosoma tulikuwa tunawekewa mafuta ya taa kwenye chakula,
Katika kudadisi kwa nini watuwekee mafuta hayo niliambiwa kuwa wanatuwekea ili kutufanya tusiwe na hamu au kupunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.