Na Mwita Mwija
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ameeleza kuwa kutokana na uhaba wa fedha, kwa sasa wagombea wote ngazo za mitaa, vijiji na vitongoji lazima wachangie kukiwezesha chama...
Baada ya mipango yao ya kuandikisha watoto kufeli leo Chama cha Mapinduzi kimesema kinahujumiwa na viongozi na mawakala wao na watendaji wa serikali za mitaa.
Kumekuwepo na taarifa ikieleza kuwa Katibu mwenezi wa BAWACHA taifa aliyetekwa huko kibiti kkuwa sababu ya kuofanyiwa hivyo ni kutokana na kutembea na wanaume wa watu, Je ni kweli?
Wakuu leo mapema nimekutana na hii barua nimepata mashaka kama imetolewa kweli na BAVICHA tafadhali naomba msaada wa kujua uhalisia wa barua hiyo kwa umma.
Katika Uchunguzi uliotajwa na Jarida la MailOnline, unasema kuwa UBER wamekuwa na tuhuma hizo za kuchaji wateja bei kubwa kama simu zao ziko low Battery.
kwasababu wanajua unaharaka, na huna...
Wakuu Salaam,
Nimekutana na na barua ambayo inasambaa mtandaoni ambayo inaonekana kama imeandikwa na Naibu wa Rais wa Kenya ikiwa na dhumuni la kujiudhulu, je kuna uhalisia wowote juu ya suala hili?
Nimekuwa nikisia mara nyingi kuwa kunguru akifa haozi, bali hukauka tu na kadiri siku zinavyozidi kwenda hupukutika mpaka kuisha ila huwezi kuta kaoza wala kutoa harufu.
Badhi ya watu huwa...
Wakuu nimekutana na video inayosambaa kwa kasi sana mtandaoni ambapo wanaonekana John Mrema na John Mnyika, na Mrema akisikika kuwa atatoa maoni juu ya usafiri huo mara baada ya safari kukamilika...
Wakuu habari,
Leo katika pita pita zangu nikakutana na uvumi kuwa mtu akila Tango na Asali anaweza kufa.
Je kuna ukweli wowote juu ya hilo? Na kama kuna ukweli chanzo kitakuwa nini?
Salaam Wakuu,
Nimekutana na Barua hii mtandaoni, nasikia CHADEMA wametema bungo wanataka kujitoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa. Kuna ukweli hapa?
Wakuu Salaamu, naomba msaada kufahamu uhalisia wa hii picha niliyokutana nayo mtandaoni ikidaiwa kuwa Mwaka 1973 viwanja vya mnazi mmoja zilikusanywa Land Rover takribani 350, na Baba wa taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.