Habari JamiiCheck,
Mimi ni mjamzito, nimekuwa nasikia kuwa ulaji wa pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu.
Nisaidieni kuhakiki hii maana napenda sana kula...
Nimeona barua inasambaa Mtandaoni ikisema NECTA inaratibu zoezi la Kurekebisha Makosa ya majina kwenye vyeti vya Mwaka 2000-2023 kwa Malipo.
Barua hii inanipa mashaka sana, JamiiCheck nisaidieni...
Habari,
Ninanukuu kutoka kwenye meseji iiyotummwa kwenye kundi moja la Telegram ambalo mimi pia nimo.
Huku mitaani kuna taarifa kuwa kuwa uvunaji wa damu unaifanyika maeneo mbalimbali nchi huwa...
Wakuu,
Nimekuja na swali hili baada ya jamaa mmoja kusema jambo hili sio la kweli, lakini mimi pia nimeshawahi sikia hii, bi mkubwa alituhadisia kuna ndugu yao mmoja aling'atwa na mbwa mwishowe...
Hii nimekutana nayo kwenye mitandao ya kijamii kuwa Serikali nchini Senegal inaachana na lugha ya Kifaransa ambayo ilikuwa lugha rasmi na sasa itatumia Kiarabu kama lugha rasmi ya shughuli za...
Salaam,
Nimesikia mtaani wanawake wanaambiana kuwa Kunywa maji ya Baridi wakati wa Ujauzito husababisha kupata mtoto mwenye matatizo ya kifua. Nimeogopa kidogo maana mdogo wangu ana mimba na...
Habari Jamiichek
Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda...
Mzee Mwinyi alijiuzulu Uwaziri Mambo ya Ndani mwaka 1977 na Nafasi yake kuchukuliwa na Mzee Natepe. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri Mzee Mwinyi kutoka katika nyumba ya Waziri arudi...
Wakuu mko salama?
Nimekuwa nikisia stori nyingi kuhusu nanasi, kuwa ukila unafanya uke kuwa na harufu nzuri, wengine wanasema unaongeza "ladha", yaani ute/maji maji yanakuwa na utamu kama vile...
Wakuu,
Nimekutana na taarifa imepostiwa na Times FM ikiwa na maneno yanayodaiwa kutamkwa na Kiongozi Mkuu wa Korea Kaskazini Kim kuwa anashangaa jinsi wazungu walivyofaulu kuwaaminisha Waafrika...
Katika mitandao ya kijamii nimeona video inayohusishwa na Rais Mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, akikemea Ufaransa kuwa ni wakati wa kuondoka bara la Afrika.
Video hiyo inamuonesha Rais...
Kumekuwa na dhana ya kwamba ukijikata na jeraha kuanza kutoka damu basi ukipulizia Pafyumu damu inakataa na kidonda kukauka.
Je, kuna uhalisia wowote? Na kwa upande mwengine kuna madhara yeyote...
Picha hii inadaiwa kuwa ya Rais Mteule wa Senegal, Diomaye Faye akiwa na mke wake.
JamiiCheck naombeni ufafanuzi maana nimewahi kuiona sehemu fulani sikumbuki ni wapi, lakini ilikuwa...
CAF wamethibitisha kuwa kwenye michuano ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE hakuna kanuni ya goli la ugenini (away goal rule) hivyo mechi ya Simba na Al Ahly ni mpya kabisa kule Cairo, yani lazima timu...
Nimeona taarifa hiyo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mwanaye huyo ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda.
Wengi wamehusisha uteuzi huo kuwa ni kuimarisha familia yake ambapo...
Mtumiaji wa Mtandao wa Twitter anayejulikana kwa jina la MchiziMox Juni 8, 2023 amechapisha andiko linalosema kuwa aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefariki dunia kwa kupigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.