SI KWELI Threads

  • Article Article
Tulianza na shopping mall Dodoma, sasa tena ni kiwanda cha Tumbaku. Yasemekama wahusika ni wale wale! Ukiingia mjini Morogoro, umbali kidogo kutoka mzunguko wa Msamvu kuelekea Iringa, unakutana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Salaam ndugu zangu, Nimeona picha inasambaa ikieleza kuwa Kampuni ya Israeli ya PEPSI imebadilisha muundo wake na kuandika Palestina ili kuepuka kufungiwa na Palestina.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Article Article
Licha ya kufanya makubwa kwa muda mfupi ndani ya Mhula wa Kwanza, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ametangaza hataomba muhula wa pili kwenye uchaguzi mkuu wa baadae 2026. Hapa Tanzania hakuna...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Article Article
Habari, Nimekutana na picha zinazodaiwa kuwa ni kiwanda cha mayai Goba ambacho kinadaiwa kimekaa karibuni. Pia kuna video inasambaa ikionesha mtu akiuza mayai yenye viini viwili. Video...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
  • Article Article
Kuna imani au tuseme maneno mtaani kwamba ukitoa Damu (kuchangia Damu) mara moja basi itabidi uwe unatoa kila mara ili kudhibiti ongezeko kubwa linalotokea baada ya hapo. Wengine wanasema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Article Article
Baada ya Singida Fountain Gate FC kupoteza mchezo wao wa Ligi ya NBC Premier League wakiwa nyumbani dhidi ya Simba, kupitia mitandao ya kijamii walitoa malalamiko yao wakiituhumu TFF na Ligi ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Article Article
Salaaam Wakuu, Nimeona katika sehemu mbalimbali picha zikisambaa zikionesha nembo inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia haina bibi na bwana kama ambayo alikuwa anaitumia Rais Magufuli. Hili...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Article Article
Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na...
42 Reactions
224 Replies
20K Views
  • Article Article
Kuna ujumbe unasambazwa WhatsApp, una kichwa kinachosema Maswali Sita kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) je, ni wa kweli?
9 Reactions
63 Replies
10K Views
  • Article Article
Picha hii inasambaa mtandaoni. Inadaiwa kuwa magari haya yapo Bandari ya Dar es Salaam, yameingizwa nchini na kampuni ya DP World tayari kwa kuanza kazi zake.
4 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Article Article
Tangu zamani nasikia stori za mwanamke akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza (kutolewa bikra kama wanavyoita) lazima atoke damu. Japo kumekuwa na baadhi ya wanawake wanasema hawakuwahi kutokwa damu...
8 Reactions
22 Replies
25K Views
  • Article Article
Hii habari ya rais wa Burundi kutaka kupinduliwa nimeiona Twitter!! baada ya speech yake alivotoka UN. Je ina ukweli wowote?
1 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Article Article
Wakuu, Habari hii imesambaa kwenye mitandao ya kijamii, kwamba huyu Daktari baada ya kumkosoa Rais wa Burkina Faso Kpt. Ibrahim Traore kuhusu kushindwa kupambana na magaidi, alikamatwa, akavishwa...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
  • Article Article
Video ya Kushtua ya Wanajeshi imetolewa ikimuonesha Jonas, wa Kamandi Kuu ya Ideal Zimbabwe, anapinga moja kwa moja serikali ya Zimbabwe na Kuomba msaada wa silaha zaidi katika video yake...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Article Article
Wakuu kuna ukweli hapa?
13 Reactions
52 Replies
9K Views
  • Article Article
Kwa kawaida inafahamika kwamba ikitokea Waziri Mkuu amejiuzulu, na Baraza zima la Mawaziri linavunjwa. Swali langu ni kwamba, Ikiwa Waziri Mkuu atajiuzulu na wakati huo pakiwa na Naibu Waziri...
5 Reactions
53 Replies
7K Views
  • Article Article
Habari Wakuu, Hata hivyo kumekuwa na dhana kuwa mtu anayejichora tattoo hawezi kumchagia mtu damu na sababu za kutokufanya hivyo hazijawekwa bayana zikaeleweka Je, ni kweli kwamba mtu aliyechora...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
  • Article Article
Wakuu kwema? Katika pitapita zangu mtaani nimesikia barabara ya Njombe - Songea imejengwa na Malkia wa Uingereza na kwamba Hayati Queen Elizabeth II ndiye mmiliki wa mashamba ya chai maeneo hayo...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
  • Article Article
Huyu ni Spika wa Bunge la Gabon alipokuwa anataka kutoroka leo hii asubuhi, Agosti 31, 2023. Ukiona viongozi tuliowaamini wanasaini mkataba mbovu kama DPW ujue nyuma yake kuna mambo kama haya...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
  • Article Article
Salaam ndugu zangu, Nimepata taarifa kwamba Shirikisho la soka nchini Zanzibari limeweka ugumu kwa wachezaji wa Tanzania Bara na itawasajili kama Wageni. Taarifa hii imeandikwa: Bodi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom