SI KWELI Threads

  • Article Article
Siku za karibuni kuliibuka picha mnato na mjongeo zikimuonesha mwanamke anayedaiwa kuwa ni Celine Dion akiwa kwenye kiti cha magurudumu ikiwdaiwa ni siku ya ndoa ya mwanaye wa kiume. Picha zile...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Article Article
Kuna taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa Nipeni Maua yangu wa Roma Mkatoliki. Je, taarifa hizi zina ukweli...
4 Reactions
21 Replies
7K Views
  • Article Article
Sweden imepitisha ngono kama sehemu ya Michezo na itaandaa na kuwa mwenyeji wa Mashindano ya kusimamia kucha Huku Ulaya.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Article Article
Mdau wa Jamiiforums.com amechapisha maudhui yanayodai kuwa kula mihogo mibichi kunakufanya kuwa zezeta. Akitetea hoja yake amesema mihogo mibichi ina sumu inayoitwa cyanide ambayo ipo kwa wingi...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
  • Article Article
Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video fupi ikionesha Rais wa TFF Wallace Karia akisema kwamba itakuwa si vizuri kwa Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo. Je, kuna ukweli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Salaam Ndugu zangu, Nimekutana na video kupitia mtandao wa Tiktok ikimuonesha Mwanajeshi wa Texas akiwavusha Wakimbizi kimagendo. Je, kuna ukweli wowote kwenye hili? Picha haihusiani na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Article Article
Vidonda vya tumbo ni tatizo linalosumbua watu wengi. Husababisha maumivu makali sana, kiasi cha kufanya liwe tatizo lisilovumilika kirahisi. Katika kutafuta tiba, baadhi ya watu hutumia dawa za...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
  • Article Article
Wakuu, Kuna taarifa inayosambaa kwenye Makundi sogozi na Mitandao ya kijamii ikieleza kuwa TAMISEMI imetoa waraka unaopendelea wasichana kwenye upangaji wa nafasi Shule za kidato cha 5 tofauti na...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
  • Article Article
Peace be upon ya' all, Hili swala limezua mjadala wa mda mrefu sana baina ya madaktari wao kwa wao wakivutana kwa hoja kuntu kabisa. Je ni kweli UKIMWI hausababishwi na HIV kwamba agenda nzima...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
  • Article Article
Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Article Article
Kumezuka tabia ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro kujihusisha na utapeli kwa kuchukua fedha za watu (wadau) wakidai ni gharama za kutuma habari lakini kinachotokea ni wizi mtupu. Juzi...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Article Article
Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Article Article
Kwa muda mrefu sasa yamekuwepo madai yanayosema kuwa Mtoto mchanga ukimtazamisha kwenye kioo au Mwanga wa jua kabla ya siku 40 hupata Makengeza. Naomba kufahamu ukweli kuhusu jambo hili.
3 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Article Article
Hivi ni kweli kuwa mtu anapomeza vidonge kwa maji ya baridi sana ya friji, vidonge hivyo haviwezi kufanya kazi?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Article Article
Hivi ni kweli kuwa kidonge kikianguka chini i.e sakafuni kinakuwa hakina uwezo tena wa kufanya kazi yake mwilini pale kinapomezwa?
6 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Article Article
Hivi ni kweli kuwa punyeto iliyokithiri hupelekea tatizo la kukauka na kusinyaa kwa ngozi?
2 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Article Article
Kumekuwepo na taarifa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia gazeti la Mwananchi limeandika kuwa Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo wanasiasa wanne wa Kenya pamoja na familia zao akiwemo Naibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Article Article
Kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa wanaume waliyofayiwa tohara hupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokua, na ni kundi ambalo lipo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU kwa...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Article Article
Nimeona mtandaoni barua ikizunguka kuwa BAKITA wameonya kuhusu matumizi ya maneno kama Famasiala, Famchezo, Fautani nk
3 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Article Article
Hivi ni kweli kuwa vinywaji vya kutia mwili nishati (energy drinks) hupelekea upungufu wa nguvu za kiume?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom