Taarifa zinadai kuwa kuna zoezi la ukusanyaji wa kodi ya mifugo linaendelea wilayani Ukerewe. Inadaiwa kuwa Mbuzi na Ng'ombe sasa wanalipiwa kodi. Yaonekana, kuna kodi nyingi zinarudishwa.
Ajali imetokea muda huu katikati ya Kimara Stop over na Suka eneo la Garage. Ni kwamba bus linatokea Dodoma na lory la cement vimegongana uso kwa uso na magari yote yameungua moto na vichwa vya...
Yameibuka madai kwamba Simba SC imefikia uamuzi wa kuvunja mkataba na kocha wake msaidizi Selemani Matola.
Madai hayo yamechochewa na barua inayodaiwa kuandaliwa na Simba kusambaa mitandaoni.
MADAI
Kiongozi mmoja wa Nchi jirani anatajwa kuwa miongoni mwa wafadhili wa ACT Wazalendo na kuwezesha kupatikana kwa ofisi ya kisasa inayomilikiwa na chama hicho ambapo kuna ukumbi wa mikutano wa...
Kuna tetesi zimeibuka leo 25/10/2022 zinadai kuwa Yanga imeachana na kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi. Tetesi hizi zimeshika kasi baada ya kuchapishwa na Gazeti la Mwanaspoti pamoja na kutumwa...
Barua inayosemekana ya CHADEMA ikieleza malalamiko ya Baraza la vijana la Chadema (BAVICHA) kutoridhishwa kwao na maagizo yanayotolewa nje ya vikao rasmi vya katiba ya chama chao.
Barua...
Ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland umekuwa ukisambaa mitandaoni ukiwa na kichwa kinachosema "Rais Samia aongeza matumaini mapya kwa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Scotland na...
Video moja iliyowekwa kwenye mtandao wa Facebook inadai kuwa Naibu Rais wa Kenya William Ruto "ameichochea" jamii yake ya Wakalenjin dhidi ya Wakikuyu wakati wa mkutano wa kampeni kabla ya...
Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio...
Kumekuwa na malalamiko ya watu kadhaa kwamba Kondomu za Kampuni ya Bull Zinapasuka sana. Baadhi ya wadau wanaona Kondomu hizo si salama ni laini sana kiasi kwamba hupasuka kirahisi wakati wa tendo...
MADAI
Yapo madai kuwa Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020-2022. Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza...
Najiuliza hiv inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hivi anadhani mikataba inaweza kuvunjwa kirahisi tu na BASATA. Afate masharti ya...
Kila siku Serikali kupitia vitengo vyake mbalimbali wanabuni njia za kuongeza mapato.
Tozo mpya ya shilingi milioni moja kwa magari yanayokodishwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo ya...
Picha hii inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikibainisha kuwa huu ni uwanja wa ndege ya Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam.
Jamii Check tusaidieni kufuatilia hili.
Picha...
Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe...
Hivi karibu kumekuwepo na taarifa ya kuwataka watu kutokula vitafunwa kama vile mikate n.k kwa ajili ya kuepuka maambukizi ya CoronaVirus
Taarifa hiyo ili kupewa uhalali wake, iliambatanishwa na...
Juni 14, 2021 mitandao mbali mbali ya kijamii ilirindima kwa uvumi kuwa kuna mayai ya kuku kutoka nje ya Tanzania ambayo yamefanya mayai nchini yauzwe kwa Tsh. 4000 kwa trei la mayai 30, hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.