SI KWELI William Ruto awachochea Wakalenjin dhidi ya Wakikuyu

SI KWELI William Ruto awachochea Wakalenjin dhidi ya Wakikuyu

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
<div class="bbWrapper"></div>
 
Tunachokijua
Ukiitazama video nzima hakuna ushahidi wa kuwa Ruto anachochea Wakalenjin dhidi ya Wakikuyu.

Katika video hiyo, Ruto anawasihi watu wasigawanywe na wale wanaopenda kutumia uadui wa kihistoria wa kikabila kati ya jamii hizo mbili.

Hivyo basi, kichwa cha video hiyo kinaonekana kulenga kupotosha muktadha wa video.
Back
Top Bottom