Ni giza nene sana limetanda mbele ya macho ya wataalamu tulio nao katika nchi yetu. Wataalamu hawa wamebaki na taaluma zao bila ya kujua mahali gani wazipeleke taaluma hizo ili ziweze kuwanufaisha...
MAFANIKIO Nikuweza kuyafanya malengo(Maono), mikakati au mawazo kuwa halisi katika Maisha, lakini WAJIBU Ni jumla ya majukumu yanayo mpasa mtukuyatimiza baada ya kupokea haki fulani Mfano Katika...
Huduma ya kwanza inamaanisha huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo...
KUDHIBITI USUGU WA DAWA ZA KUTIBU MAGONJWA YANAYOSABABISHWA NA BAKTERIA NA KUVU (FANGASI) TANZANIA.
Usugu(Upinzani) wa dawa ni hali ambayo vijidudu kama bakteria na fangasi kuzishinda dawa ambazo...
Nikiwa Form Six Sumbawanga Sec, Ilikuwa ni siku ya Ijumaa,Siku ambayo tulikuwa tunawahi kutoka Darasani kwani ilikuwa ni siku special kwa ajili ya Michezo.
Basi bwana me nkiwa na kibaiskeli...
Kwanza natoa shukurani zangu nyingi sana kwa kupata nafursa ya kutoa mawazo yangu kuhusu kilimo Tanzania.
Wakulima wamelima kwa muda mrefu sana kwa lengo la kuuza mazao yao na kupata chakula na...
Sisi sote ni zao la malezi tuliyoyapata kwenye familia na jamii zetu. Wataalamu wengi wa makuzi ya watoto hukubaliana kwamba miaka sita ya kwanza ya malezi ndiyo hujenga haiba, tabia, na...
SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Katika karne za sasa sayansi na teknolojia zimeweza kutawala, vitu vingi vimeweza kurahisishwa kupitia sayansi na teknolojia tunaona katika nchi mbalimbali jinsi gani...
Habari za usiku huu Wana Jamiiforums,
Leo nataka kuongelea malezi ya mtoto wa kiume kwani kuna mahali naona jamii ya Tanzania pamoja na Africa kwa ujumla imepotoka au imejisahau sana katika...
Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua...
Mabinti wawili,mtu na dada yake walikwenda kutembea kijijini kwao pamoja na wazazi wao. Baada ya kuwasili kijijini pale waliamua kwenda kusalimu ndugu, jamaa na marafiki ambao walikua hawajawaona...
"NIWEZESHE NIKUWEZESHE " ni kauli mbiu ambayo inafaa sana katika kuhimizana sisi kwa sisi watanzania hasa zaidi ikiwa ni kwa upande wa wafanya biashara na wajasiriamali ikiwa ni pamoja na wateja...
Creative Monster
Baraza la wazee liliwahi kuomba vijana wawe na heshima kwa wazee hususani kwenye daladala pale wazee wanapokosa viti basi vijana wasimame kuwapisha wazee wakae. Ni kweli na ni...
KILIMO FURSA KUBWA.
Chanzo cha binadamu ni uumbaji wa Mungu. ‘’Mungu akasema , Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na...
UTANGULIZI
Katika Dunia ya sasa tekinolojia na ubunifu vimekuwa vyanzo vya maendeleo katika nchi mbalimbali, Leo hii Marekani, China, Urusi, India na nchi mbalimbali Duniani zimepiga hatua...
Kwa kadiri kumbukumbu inanifikia, najikuta ni msafiri ambaye amepita maishani, niligonga milango yake mlango kwa mlango, na nikavuka nchi zake nchi kavu, na nikachukuliwa kutoka hapo na kushoto...
MAZINGIRA YETU, AFYA YETU,WAJIBU WETU:
Afya zetu ni muhimu sana kwa ajili ya kesho yetu,kwani afya bora ndiyo chanzo cha uhai bora,tabasamu na bashasha njema kwa familia,ndugu na marafiki zetu...
Usawa wa kijinsia ni lengo la jitihada za kuleta usawa katika jinsia zote,kutokana na dhulma mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine.Usawa wa kijinsia unahusiana na haki za binadamu, hasa haki...
Habari mkuu,
Kwenye uzi wetu tuongelea vitu vichache:
1. Utangulizi(maana ya supplementary)
2. Hatua za kuchukua unapopata supplementary
3. Hitimisho
1. Maana ya supplementary
Supplementary ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.