Andiko langu litakuwa katika sehemu kuu tatu. Sehemu ya kwanza itakuwa ni utangulizi hapa nitaelezea maana ya mikataba na faida ya mikataba, sehemu ya pili nitaelezea mikataba iliyoleta migogoro...
Ukipitia taarifa mbalimbali za vyombo vya habari kama redio, runinga, magazeti na mitandao ya kijamii utakutana na maneno 'mabadiliko' au 'kawaida mpya', yawe yamesemwa moja kwa moja au kwa meneno...
HILI NI ANDIKO KUTOKA KWA : VALENTIN ERNEST KAVISHE
YAHUSU KILIMO, UFUGAJI, AFYA SANAA NA MICHEZO, NA TECHNOLOGY KWA KILA WILAYA , hivo kwa kufupisha andiko kila wilaya itaanzisha TAASISI...
Dawa na vifaa tiba ni nyenzo muhimu katika kuhakikisha utoaji wa huduma bora za afya kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini na kuhakikisha kuwa jamii inakuwa na afya bora. Pamoja na umuhimu huo...
Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka mfano miti,mito,miamba,hewa safi.
Utunzaji wa mazingira ni kitendo kinachohusisha uhifadhi wa mazingira asilia,kuyalinda yasiharibike kutokana na shughuli...
SoC 2022 Kilimo kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa jamii.
Kwa mda mrefu Sasa watanzania tunaendelea kukumbana na matatizo ya upungufu wa baadhi ya bidhaa Kama vile mafuta ya kupikia, Jambo ambalo...
Yapata majira ya jioni siku ambayo bibi yangu alirejea toka kazini akiwa na malalamiko sana na akiwa mwenye kuwaza mambo mengi yanayosumbua akilini mwake pasipo kupata ufumbuzi. Ndipo niliamua...
Afya ya akili na mitandao ya kijamii haiwezi kutengenishwa kwa karne ya 21, na ni jambo muhimu ambalo linapaswa kupewa uzito unaostahiki na watu na wataalamu wa afya ya akili.
Katika nchi...
UTANGULIZI
Teknolojia ni moja ya tawi ambalo hutumia njia za kiufundi au kisayansi kutatua changamoto zituzungukazo katika mazingira yetu. Sekta ya sayansi na teknolojia imeleta mapinduzi makubwa...
Mchezo wa kuhamisha Kigoda kumpatia mwenzako ni rahisi sana wengi wetu tuliucheza utotoni na tuliibuka washindi wa kukaa muda mrefu na kigoda bila ya kutetereka au kukosea na hii ilitupa ujasiri...
Mwaka 2011 nilipewa kazi ya kutafuta almasi na kumtumia mfanyabiashara mmoja wa Ulaya. Katika harakati za kutimiza jukumu hilo nikajikuta nalazimika kwenda nchini Namibia ambako kuna wauzaji wa...
Serikali inaweza kupunguza lawama za ajira.
Na Kiepo Benedicto.
Huzuni inatanda kadri siku zinavyozidi kwenda. Vijana wengi wanahitimu masomo yao ya elimu ya juu na hawajui hatima zao. Imekuwa...
Tunaishi katika ulimwengu ambao kila mahali utakapofika au utakapodhuru kuna utaratibu maalum uliowekwa na wahusika wa eneo hilo ili kuepusha sintofahamu yoyote inayoweza kujitokeza, inayoweza...
Na; Mashaka Siwingwa
Visingizio ni tabia ambayo wengi wetu sana tumejijengea na tunaendelea kujijengea siku hadi siku. Visingizio ni ile hali ya kutaka kutafuta pingamizi linalokufanya usifanye...
Hii ni kwa faida ya afya yako na kila anaekuzunguka. Wahenga waliwahi kusema "Mazoea hujenga tabia" nayo tabia hukua kulingana na wakati bila kujali athari zake.
Leo hii naomba niseme nanyi juu...
Tanzania ni nchi ya Uchumi wa kati kama sijakosea kwa mujibu wa Vyanzo vya Taarifa vya Kiuchumi Uwajibikaji ndio nguzo pekee itayotupigisha hatua kwenda kwenye Maendeleo jumuishi.
Uwajibikaji ni...
Emmanuel Olumide mwandishi wa vitabu kutoka Nigeria aliandika kitabu cha “50 common money mistakes” kitabu ambacho ameelezea makosa hamsini (50) ambayo watu wengi hufanya kwa kujua au kutojua na...
Mtaji mkubwa wa mtu ni watu kwa maana hiyo unahitaji kuwa na ujuzi wa kuishi vizuri na watu “Interpersonal skill” pasipo kujali upo wapi na unafanya nini; lakini kupitia makala hii utaenda kuwa...
HAKI NA WAJIBU
Kuwajibika ni haki
Haki na wajibu ni maneno ambayo huenda tumeyasikia mara kwa mara katika harakati za kutafuta maslahi katika sehemu za kazi na vibarua au jina lolote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.