Ninachukua wasaa huu kuzungumza na nyinyi ndugu zangu kupitia andiko hili, suala la kupima uelewa wa mtu katika elimu isiwe kwa mitihani hasa kwa elimu ya msingi ambayo Watoto bado wanakuwa na...
Maisha ya binadamu ni kama safari katika msitu mnene wenye miti mingi sana.Wapo wanaovuka salama hadi ukingoni mwa msitu, na hukutana na ziwa kubwa lenye kina kirefu ambalo hakuna ajuaye siri...
Tanzania ni nchi moja yenye serikali mbili tofauti…!!!Serikali hizi hutofautiana kwa lugha,muongozo na hata wananchi wake ila cha ajabu wote ni Watanzania na Rais wao ni mmoja. Serikali A hutumia...
Kilimo nchini Tanzania huleta tija kwa wanajamii waliopo pembezoni na wao wakifaidika.
Kilimo ni moja ya shughuli za kila siku kwenye maisha ya binadamu na hutegemeana na maeneo husika Kikilimo...
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo gani?
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo ambalo linahusisha kukosa uwezo wa kusimamisha uume au kushindwa kudumisha uume ukiwa umesimama wakati wa kushiriki...
Teknolojia inazidi kukimbia sana ,na hivyo maendeleo katika sayansi na teknolojia yanaweza kutumika zaidi katika kutatua changamoto zilizopo ndani ya jamii zetu za kitanzania ,mfano teknolojia ya...
Uwepo wa magonjwa katika jamii zetu si jambo la kushangaza. Bali ni hatari sana kugundua baadhi ya magonjwa hayo yakiwa ni tishio zaidi katika miaka ya sasa kutopewa kipaumbele.
Magonjwa ya akili...
ELIMU YA JUU TANZANIA
Elimu ni ujuzi, uelewa na maarifa kuhusu jambo au mambo Fulani. Elimu hupatikana sio tu kwa kufundisha bali hata kwa kujadiliana na kuuliza maswali. Elimu ni ufunguo wa...
Faith Athanas
Elimu inasababu ya kutoa ujinga na kuingiza uelewa na maarifa kwa binadamu. Lakini je elimu hiii je inatoa ujinga kama inavyotakiwa katika taifa letu?
Binti huyu wa miaka 24...
UTAWALA BORA
Ni vizuri tukaanza kwa kuangazia maana ya utawala bora, japo sio kwa tafsiri rasmi. Utawala bora ni dhana inayohusisha ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi yanagusa maisha au...
“Baba, usiniache, tafadhali!?” nilikumbuka maneno yangu siku ile baba alipofariki. Kifo chake kilikua cha kusikitisha, ngozi yake dhaifu ili babuka kwa joto, siku zile za jua kali. Sikua na jinsi...
Kwanini wanaume?
Ni kwa sababu wanaume ndiyo wanunuaji (Wateja)
Kwa kawaida biashara ikikosa wateja muuzaji hubadili bidhaa au kuachana na biashara hiyo kabisa.
Kwenye jamii wanaume ukiwakuta...
Shikamoni wakubwa na wadogo zangu habarini za mda huu.
Naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu kuwa "kijana mwenzangu wa kitanzania usisubiri kutafutiwa maarifa zaidi bila mwenyewe kuweka bidii...
Taarifa hizo ni kama ajali, mwendokasi wa chombo cha moto na kadhalika. Hii itasaidia sana watu katika kufuatilia usalama wao. Pia endapo programu hii itawezeshwa kwa gprs, zitawekwa sehemu muhimu...
MFAWIDHI
Ilikuwa Usiku wa saa nane wenye giza pasi na mwanga wa mwezi, mvua za upepo mkali zilifanikiwa kuvuja mpaka ndani. Hali iliyomuamsha binti mrembo mweusi macho yake meupe makubwa ya...
Story hii inahusu changamoto ya elimu Tanzania(ubora na masomo ya ziada).Nimeambatanisha Nakala ya somo husika
-
MASOMO YA ZIADA NA UBORA WA ELIMU
Katika maisha yangu ya elimu suala la masomo...
Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya...
Afya ni inajumuisha utimamu wa kiakili, kimwili na ustawi wa jamii, na ni nyenzo muhimu kuhakikisha uwepo wa nguvu kazi itakayosaidia katika maendeleo au mapinduzi ta kiuchumi. Nchini Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.