MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII.
Mada kuu; je ipi matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa vijana wa kitanzania (miaka 10 -45) hivi leo?
Maana halisi ya dhana kuu; mitandao ya kijamii ni nini...
Habari za wakati huu wana JamiiForums.
Leo napenda kuongea na waandaaji wa filamu Tanzania.
Kwanza niwapongeze kwa kazi kubwa mfanyayo ya kuielimisha na kuiburudisha jamii. Pia, niwapongeze kwa...
Hata kulalamika kwamba umeme unakatika kila siku wakati hata ule kidogo uliopo unautumia kuchajia simu ni kufikiri ndani ya kasha. Wachina wanautumia umeme kubadili usiku kuwa mchana ili wafanye...
VIJANA TUNAWEKA AKILINI SANA MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA KITANDANI TU ILA TUKUMBUKE MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA NJE YA KITANDA NI MAKUBWA NA YANAHITAJI MUDA MREFU ZAIDI KULIKO YA KITANDANI...
NYUMBANI
Ilikuwa saa saba mchana , jumatatu ya tarehe kumi mwezi wa kumi na mbili mwaka elfu mbili na arobaini na tano, Ilisomeka hivyo kwenye saa ya kidigitali iliyotoa mwanga ulioelea hewani...
FAIDA ZA KUWA WAZALENDO
UTANGULIZI
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake na kuweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma. Na mara nyingi...
1) Wabunge 20 wataalamu waongezwe
Tofauti na wabunge wa majimbo.
-Hawa watakuwepo bungeni kuwakilisha taaluma au fani mojawapo muhimu katika maisha ya watanzania. Mifano ya fani hizo ni Elimu...
LEO MWISHO
“ Hivi Jacob lini utaelewa Kwamba maisha sio kitu cha mchezo, leo mimi nipo kesho na keshokutwa nitakufa , hivi utakuwa mgeni wa nani?”
kama kawaida Martin alirudia wimbo ule ule kwa...
SIKIA HII
Tanzania ni nchi ya pili kwa mifugo mingi barani Afrika nyuma ya Ethiopia.Uwepo wa mifugo mingi ni fursa kubwa ya kuwekeza na kukuza biashara ya ngozi. Tuko wapi? ,Licha ya kuwa na...
Utawala ni Hali inayoakisi sifa nyingi zilizopo kwenye Matabaka Makuu Mawili ambayo yanaunganishwa na Tabaka liitwalo Mifumo/Mfumo. Sifa kama Utii,Uzalendo,Ukarimu,Ubunifu,Kujitoa,Misimamo...
Ufaulu wa mwanafunzi unategemea vitu vingi ikiwemo nyenzo za kusomea mfano vitabu, marudio ya mitihani nk
Walimu bora, mazingira mazuri ya kujisomea nk
Lakini kumekuwa na tatizo kubwa la...
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa hili la Tanzania.Sekta ya kilimo huchangia asilimia sitini katika kutoa ajira kwa vijana.Wizara ya kilimo huchangia asilimia ishirini na tano katika pato la taifa...
Stories of change; Aplikesheni mkombozi.
Ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana wengi wa Kitanzania ni moja kati ya matatizo ambayo mpaka sasa halijaweza kutatuliwa kikamilifu. Sio tu Tanzania...
UTANGULIZI
Uzalendo ni neno lenye maana pana inayohusisha mapenzi ya dhati na uwajibikaji kwa nchi yako. Tanzania ni moja kati ya nchi kubwa barani Africa yenye mtaji wa watu zaidi ya milioni...
Unaweza kujikwamua au kujiajiri katika ujasiriamali kwa kutumia mtaji kidogo lakini kwq manufaa makubwa
Mfano: Mimi nina bachelor ya masuala ya jinsia katika maendeleo ila bado sijapata ajira...
Kwa mujibu wa shirika la watu duniani UNFPA, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto ni moja ya majanga makubwa ya ukandamizaji wa haki za binaadamu duniani ikiwemo Tanzania. Inakadiriwa...
Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania.
Utangulizi;
Ukosefu wa ajira imekuwa tatizo kubwa Sana kwa nchi zinazoendelea na nchi yetu Tanzania ikiwa miongoni. Tatizo linaanzia kwa mfumo wa elimu...
Kijana kama unataka kufanikiwa maishani, epuka tabia zifuatazo:
1: KUKOSA UAMINIFU KAZINI
Vijana wengi sio waaminifu kabisa, wengi wana tamaa ya mali nyingi ndani ya muda mfupi, hata kama ni kwa...
Maji na uchumi wa Tanzania
Maji ni unyevunyevu usio na rangi wala harufu, Na Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao, Maji yana nafasi kubwa katika...
Kazi za binadamu au human labour ni kazi zimekuwepo miongo na miongo mingi sana hapa Duniani. Ila kuna dalili kwamba zinaelekea kufikia mwisho muda si mrefu sana kutoka sasa.
Katika mkutano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.