Tanzania tunahitaji kufanya mapinduzi makubwa katika sekta kadhaa ili kuiifikia nchi ya ahadi tunayoitamani.
Kuna mambo kama matano kwa mtazamo wangu ikiwa tutachukua hatua kubadilisha nadhani...
Utangulizi
Tanzania ni nchi isiyokuwa na dini, lakini watu wake wana dini. Hili ni jambo zuri kwani katika ulimwengu huu wa Sayansi na Teknolojia wapo wengi ambao hawaoni tena umuhimu wa dini...
MAPAMBO YANAYOISHI
UTANGULIZI
Katika dunia inayobadilika na uchumi unaoanza kutengamaa baada ya pigo la ugonjwa wa UVIKO-19, ni vizuri kuwaza nje ya njia za kawaida za uzalishaji mali ili...
Ni ukweli kabisa usiopingika kwamba serikali na mashirika ya siyo ya kiserikali yamejikita mno katika kuongeza fursa za wanawake ili waweze kujikwamua kiuchumi. Jambo hili ni faida kubwa kwa nchi...
Nchi yetu ina pesa yake ambayo ni shilingi ya Tanzania yaani TSH, na hi pesa imegawanyika kwenye kwenye thamani mbalimbali, na hizo thamani ni kama zifuatazo;
50/, 100/
200/, 500/
1,000/...
vita vimepigwa kwa mabomu na siraha nzito ili kujenga ngome na kasili lenye kuwafanya watumwa na watwana kuishi katika hali ya usawa, pia mapambano hayo yamechochea umoja na mshikamano katika...
MUHTASARI
1. Marekebisho ya sera za uchumi (SAPs) yaliyoanzishwa na Shirika la Fedha (IMF) na Benki ya Dunia (WB) kwa nchi maskini, na hasa Afrika katika miaka ya 80 na 90, kutokana na matatizo ya...
UTANGULIZI.
Kila mmoja wetu anafahamu umuhimu wa elimu katika jamii hasa kwenye maendeleo ya nchi na mtu mmoja mmoja. Kulingana na uchumi wa Nchi yetu, ni vigumu moja kwa moja kujenga mabweni kwa...
MCHAWI WA VIPAJI VYA MTU MWEUSI
Kipaji, ni uwezo wa asili wa kutenda mambo makubwa na yenye matokeo bora, kwa kutumia nguvu na rasilimali ndogo ukilinganisha na watu wengine. (tafsiri kwa mujibu...
FIKRA
Asili ya neno fikra au fikira ni kutoka katika lugha ya kiarabu.
Ni wazo au ujumbe uliojengeka katika ubongo wa mwanadamu ambao hupelekea utendaji wa Jambo fulani. Mfano fikra za ukombozi...
Habari Tanzania, leo nina habari njema sana, lakini kabla haujajua nini hasa nataka kukueleza ni muhimu ukajua kwamba habari hii huenda unaifahamu , unaishi nayo, unaiona kwa watu wengine ama...
(Kijana)
Jioni ya leo siwezi kulala na njaa tena.Nitafanya kila namna nipate chakula. Nguvu nazo zimeanza kuniishia, sijui kama nitafanikiwa kutoka salama lakini siwezi kulala njaa na leo. Kuomba...
Maana ya Vitabu.
Neno kitabu/vitabu huweza kumaanisha maandishi yaliyoandikwa kwa mkono au mashine au kupigwa chapa katika kitu chochote na yakafunganishwa au kuwekwa kwa taratibu Fulani. Kitabu...
Habari,
Afya ni sekta nyeti sana ambayo sekta hiii ikiyumba ,sekta zingine zote zimeyumba.Tujiulize tuna matabibu wanaotegemea nadharia au tunamatabibu wanafanya kazi kwa moyo.?
Mwaka 2003 mama...
Nakumbuka Julai mwaka 2021 katika mashindano ya Olimpiki yaliyofanyika Tokyo, Japan mwanadada Simone Ariane Biles kutoka Marekani alizua gumzo bada ya kuamua kujitoa katika timu yake iliyokua...
Dhana ya uongozi katika nchi nyingi za Afrika,imekuwa ikitafsiriwa na kumaanishwa tofauti na dhana halisi. Uongozi umekuwa ukichukuliwa kama daraja la kujitwalia ukwasi(utajiri),utukufu(umungu...
Kutokana na kupungua kwa rutuba kwenye udongo imesababisha upotevu wa madini mbalimbali ambayo ni muhimu katika ukuaji na afya ya mmea mfano wa madini hayo ni fosfeti, naitrojeni, chuma...
Mimi ni nibinti wa miaka 25 niliye aliwa mkoani Kilimanjaro wilaya ya Hai, ni wa pili katika familia ya bwana Festo familia ambayo ilikuwa na hali duni kiasi kwamba tulikuwa tukipewa mavazi...
MAGEUZI YA SAYANSI NA TENKNOLOJIA NI FURSA KWA VIJANA
Kijana anawezaje kunufaika na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia?
Mwandishi wa maarufu wa vitabu huko Marekani, Alvin Toffler katika kitabu...
UTANGULIZI
Nifaraja kwangu na Waswahili wote katika mwambao wa Afrika Mashariki hata wale wapenzi wa Kiswahili ambao watasoma andiko hili tena kwa kutumia hicho hicho Kiswahili.kwa sasa Kiswahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.