BAJETI,USTAWI WA JAMII
Na Emmanuel Ndaki
0747093133
DIRA na mwelekeo wa nchi inahusisha makadirio,mapato na matumizi,yaani tunategemea kusanya kiasi gani, tunatumia kiasi gani kujenga miundombinu...
Katika Kijiji cha ntakuja kulikuwa na familia ya mzee chales ambaye alikuwa na watoto wawili wakike na wakiume mzee chales alikuwa na fikra mbaya na tamaduni zakizamani kwamba mtoto wa kike...
Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa?
Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana...
Septemba 7,2022 waziri wa kilimo Husein Bashe aliweka ujumbe kwenye ukurasa wake wa mtandao wa twita,ujumbe huo ulikuwa na maneno yafuatayo,ninanukuu:Ukiwa na muda tafadhali nipe mawazo yako...
CHUKI ISIYO SHABAHA.
Makala hii inalenga jamii kwa ujumla kutengeneza chuki zisizo na lengo/dira visababisi, madhara, na namna ya kuondokana na Chuki isiyo Shabaha, Fuatana nami SamNah.
Chuki kwa...
Kumbuka ili uweze kufanikiwa katika mambo yote kwenye maisha yako, yaani; Kiuchumi, Kijamii, Kisiasa, Kiutamaduni, Kiteknolojia, Kiafya, Kidini na Kielimu kwa namna yoyote ile lazima uwe na...
Naandika kwa kujiamini kwasababu ni mzima wa afya, na natumai hata msomaji wangu u mzima.
Pamoja na changamoto nyingi za maisha, lakini yatupasa kumshukuru M /Mungu maana yeye ndiye atupaye akili...
TANZANIA NA CHANGAMOTO ZA AFYA YA AKILI
Utangulizi
Afya ya akili kwa lugha rahisi tunaweza kusema kuwa ni ustawi wa mtu kisaikolojia na kihisia. Mara nyingi miili yetu huwa na afya njema...
UTANGULIZI
Ninayasoma maneno ya utangulizi yaliyo katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, maneno yaliyobainisha misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Utangulizi
Uchumi, kwa maana fupi ni msingi muhimu wa maendeleo ya taifa. Tanzania inakadiriwa kuwa uchumi wake kwa mwaka 2022 utaongezeka hadi kufikia asilimia 5.5 % kutoka 4.9% ya mwaka 2021...
Suala la ajira kwa vijana ni shida inayotusumbua nchi yetu kwa muda mrefu sasa. Moja ya masuluhisho ambayo yamekuwa yakipendekezwa ni vijana kujiajiri kupitia teknolojia, hasa mifumo ya...
Utangulizi
Kilimo ni kitendo cha kuzalisha mazao shambani. Ni mojawapo ya shughuli za mwanadamu zinazomsaidia kupata mazao kwaajili ya chakula na biashara ili kukidhi mahitaji yake ya kila siku...
Afya ni msingi wa kila binadamu katika maendeleo ya kila siku hvyo bas tunatakiwa kulilinda kwa nguvu zote.
Lakini ni ngumu kuilinda kutokana na mazingira na maisha ya kila siku kwamaa vyakula...
Kama ilivyo asili yetu Watanzania kupumzika majira ya jioni baada ya shughuli mbalimbali za hapa na pale za kutupatia mlo, kupata wasaa wa kujumiaka na ndugu, jamaa na marafiki zetu (vijiweni)...
Wakuu nimerudi Tena katika Story of change,
Naomba Leo niwashirikishe mbinu nzuri za kuwalea watoto katika kipindi hiki Cha utandawazi!
Kwanza nikiri wazi Mimi ni mzazi na mwalimu pia, kwahiyo...
UBORESHAJI WA ELIMU TANZANIA
Elimu nchini Tanzania ilianzia enzi za kabla na baada ya ukoloni. Elimu kabla ya mkoloni ilikua unapewa kazi za jamii kutokana na umri kuna waliolioma, kufuga...
Naitwa Emmanuel ni kijana wa miaka 28,nilizaliwa na tatizo la ngiri maji mawasiliano.Ni ugonjwa ambao ungetibika nikiwa bado mtoto mdogo,lakini kutokana na kutopata elimu sahihi,Wazazi wangu...
Kulingana na tafiti za kisayansi zinasema, jinsi wanadamu tunavyoonekana ni kwa sababu ya chakula tunachokula kila siku.
Tangu kuwepo kwa dunia mwanadamu amekuwa anategemea chakula ili aweze...
Kabla hata sijamaliza kusoma shahada yangu ya kilimo (general agriculture) pale chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine, swali ambalo nilikuwa najiuliza mara kwa mara je hivi nikimaliza kusoma hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.