Ndipo nilipokaa chini pembezoni kidogo na ukingo wa kitanda changu nikiwa nimegubikwa na shauku kubwa ya mafanikio. Kama Kijana mdogo nijuaye kwa hakika na dhairi shairi kua Maisha haya ni...
Katika pitapita zangu mtandaoni wiki hii. nilikutana na habari moja ambayo haikuvuma sana, labda kwa sababu ya mambo chungu nzima ya umbea na vituko yavumao kila uchwao katika mitandao ya kijamii...
Temeke ni moja ya wilaya ya dar es salaam mara nyingi imekuwa ikishika nafasi ya mwisho kimkoa .Jambo ambalo tunaweza jiuliza kwanini temeke kila mara inakuwa ya mwisho lakini jibu ni kwamba...
Mambo yamekuwa tofauti sana yombo imekuwa na makundi maarufu sana ya kiharifu ambayo dar es salaam nzima yanajulikana mfano mkubwa panya road ambalo kundi hili linaundwa na vijana ambao asilimia...
Kila kitu kimewekwa katika jamii yetu kwaajili ya kitu Fulani. Unatembea barabarani, unatupa chupa, muda huo huo Kuna mtu Kama wewe anategemea chupa iyo iyo unayoangusha kwa kudhamiria au kwa...
Uwajibikaji ni kitendo cha kutimiza majukumu uliyopangiwa kiasili(kama mzazi katika familia) na mahala pako pa kazi na muajiri wako. Uwajibikaji ni neno linalotokana na neno wajibu linalomaanisha...
MADALALI WA VYUMBA MAJUKUMU YAO KUSIMAMIWA NA MWENYEKITI WA MTAA ILI KUPATA SULUHISHO LA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA MADALALI PAMOJA NA WATEJA WAO KATIKA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU.
Madalali...
Tafakari juu ya kijiji chenye mashine ya kusaga moja, bomba ya maji moja, duka la kijiji ni moja, hospitali au zahanati ni moja, basi linalounganisha miji na kijiji ni moja na pengine vyote hivyo...
Mikoa ya kusini imekuwa kwa kiasi kikubwa ikijishughulisha na kilimo. Lakini aina ya kilimo wanachofanya si aina ya kilimo ambacho kimekuwa kikiwanufaisha kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na...
Awali ya yote yatupasa kufahamu nini maana ya maneno:- i, Sanduku
ii, Jamii
iii, Sanduku la jamii
SANDUKU
Ni kifaa au kasha lililo tengenezwa kwa mbao, chuma au karatasi gumu ambalo hutumika...
Habari wana Jamii Forum.
Naitwa Suzana, fani yangu ni uandishi wa habari mbali na hilo, ni mtunzi wa kazi za fasihi na zisizo za kifasihi. Moja kati ya changamoto zinazonikumba ni suala la kupata...
Leo nimeona ni vyema niwaletee uzi huu hasa kwa wakulima wadogowadogo wa mikoa yote Tanzania.
Lengo ni kuonesha changamoto zilipo kwenye sekta hii. Mifano yangu mingi itagusa mikoa ya kanda ya...
Najua huenda hujaendesha gari la umeme au hata hujawazia kununua gari hilo, Unaambiwa Ufunguo wa Mafanikio Ni kuanza Mapema, kabla ya Muda kufika. Kuna Wakati Sisi hapa Tanzania, Vituo vyote vya...
SABABU ZA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA NA KUDUMAA NCHINI
Kiswahili ni Lugha inayozidi kukua barani Afrika na duniani kote kadri siku zinavyozidi kusogea hili likidhihirishwa na...
Wengi tunawafahamu na kuwapita njiani, ni ndugu zetu ila hatuwajali, niwanetu ila tunawaficha, tunawafungia, hatuwapi elimu. Wengine hukufuru na kusema watasoma nini ili wawe nani? wengine pia...
Elimu ni uwezo wa mtu kumudu mazingira yake, elimu isiyomsaidia mtu kufanya hivyo ni mufilisi, sawa na ngombe anayepeleka ulimi wake puani kisha kuurudisha tena kinywani. Shaban Robert aliandika...
Kama ilivyo katika mikakati ya kimaendeleo ya taifa letu kuwa kijana ndio nguvu kazi ya taifa na ndio taifa tegemewa la kesho, lakini kijana huyo huyo anaezungumziwa na taifa lake bado haelewi...
Je, unahitaji kujua kwa undani nini kifanyike Ili kukuza sayansi na teknolojia nchini usipitwe ndugu mwana JF naomba pia unisaidie kunipigia kura mwishon mwa andiko hili, Mungu akubariki 🙏🏼...
UTANGULIZI
Uchumi ni nini?
Uchumi ni hali ya ukuaji au udororaji wa kiwango cha hali za kimaisha kwa jamii husika , au tunaweza kusema kuwa uchumi ni msingi mkuu wa maendeleo kwa taifa...
MTINDO WA MAISHA YAKO NDIYO AFYA YAKO
Habari wanajukwaa ,mimi kama kijana wa kitanzania mwenye uchu wa mapinduzi chanya ya kiafya kwa watanzania nawaletea kwenu ujumbe huu unaogusia zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.