ELIMU YA UPILI TANZANIA
Elimu ni ujuzi na maarifa juu ya jambo fulani,inayomwezesha binadamu kupata uelewa juu ya dhana tofauti. Elimu ziko za aina mbalimbali,ila hugawanywa katika aina kuu mbili...
Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Moja utangulizi ambao utelezea maana ya sheria. Mbili, hapa nitaonesha baadhi ya maamuzi ya kisheria yenye kuleta utata katika jamii zetu, ya kiuchumi...
Umeme ukikatika tunasubiri kwa dakika 5 tu labda utarudi sababu ni kawaida ya nchi yetu, na baada ya dakika 5 umeme haujawaka, tunajaribu kutafuta taarifa kama shirika la umeme lilitoa tangazo juu...
Utangulizi
Uzalendo ni hali ya mtu kulipenda na kulitumikia taifa lake kwa moyo wa dhati. Uzalendo ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote kwa kuwa ndicho kichocheo cha ndani kabisa kwa...
Uchafu ni maudhui, matendo au mata inayopatikana mahali pasipotakiwa kwa wakati usiotakiwa.
Hatuwezi kutenganisha maendeleo na usafi au mpangilio wa kila kitu, kila siku katika mambo yote...
Tatizo hili la kuzuia maiti ya mtu mara baada ya ndugu kushindwa kulipa pesa ni tatizo linalowatesa watu wengi sana hususan watu wenye kipato cha chini, Si kwamba watu wanafanya makusudi...
HUDUMA YA VYOO VYA KULIPIA KWENYE VITUO VYA DALADALA
UTANGULIZI:
Tukichukulia maisha ya mjini hasa miji mikubwa kama Dar es Salaam suala zima la mahitaji ya choo ni muhimu kwa jamii. Na karibu...
Kumaliza tatizo la ajira na kulialia ni lazima uwe mbunifu wa kutumia vyema nafasi na elimu uliyopata kuzalisha kwa namna tofauti.Ni rahisi kutumia ulichosomea kwa utofauti kwa kusoma at least...
Tafiti zilizofanywa mwaka 2020 zinaonyesha uchumi wa nchi hautegemei tu jumla ya bidhaa na huduma zinazotolewa kwenye nchi kwa mwaka huo yaani 'Gross Domestic product' bali mfumo wa elimu pia...
Ukiongelea haya mambo utajua ni utani,ila ukosefu wa hivi vitu ndio sababu namba 1 ya vifo vingi kwenye mkanyagano katika mikusanyiko na vifo kupitia magonjwa ya ghafla majumbani
[emoji117]Kwa...
Habari wanajamvi.
Nimekaa na kutafakari ongezeko la àjali za baràbarani ambalo limeikumba nchi yetu. Ajali ambazo zinagharimu maisha ya watu, uharibifu wa Mali na miundombinu, huku zikiacha...
Jina la Shairi: Undugu Wetu Matatani
Jina la Mtunzi: Anna Meleiya Mbise
1.Waungwana nauliza, twaishije duniani,
Wanadamu twashangaza, zaniwasha zangu mboni,
Undugu tunapoteza, tumekuwa hayawani...
Jina la Shairi: Mwanafamilia Mpya
Jina la Mwandishi: Anna Meleiya Mbise
1.Wanaita digitali, zama zimebadilika,
Na wala si ajali, ndio pilikapilika,
Twazipata kihalali, kutunza tunachemka,
Simu...
Siku zote inaaminika kuwa mteja ni mfalme. Je ni kweli? Wakati mwingine mteja anaamua kwenda kutafuta huduma sehemu nyingine. Yote ni kwasababu amekutana na maswaibu mengi pindi alipohitaji kupata...
Nikianza kwa kutaka kujua kama ni sheria ambayo siyo thabiti juu ya matumizi ya dawa za binadamu au wasimamizi wa sheria ya matumizi ya dawa za binadamu ndiyo hawazisimamii inavyotakiwa au tatizo...
(Mwanzo) Hadithi Fupi
“Mamu, Mamu, we Mariamu si nakuita ina maana hunisikii?”, ilisikika sauti ya Mama Ibra kama ilivyo kila siku mida ya saa kumi na moja na nusu akiwa anamuamsha mwanaye. “Amka...
UTANGULIZI
Injini yoyote ili ifanye kazi inahitaji mafuta ya kuiendesha na kuirainisha, hii ni sawasa na mahitaji ya mwili. Mwili ili ufanye kazi unahitaji upate chakula kwa matumizi mbalimbali...
Kwa miaka ya karibuni kumekuwa na migogoro mingi sana ya ndoa tofauti na ilivyokuwa zamani. Changamoto ni nyingi sana,labda sababu ya kipato, wengine ubize wa kazi, wengine mgongano wa mawazo na...
Nakala hii nitazungumzia KIRUSI CHA NHIF kimaana TATIZO LA MFUKO WA BIMA YA AFYA LINALOPELEKEA KUFA KWA NHIF. Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kukizungumzia KIRUSI CHA NHIF lakini kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.