Habari za wakati huu msimamizi(moderator), habari za wakti huu washiriki na wanachama wenzangu wa jamii forum,Madada,Wakaka,Vijana,Wazee,Marafiki na Maadui.
Leo napenda kuzungumzia MABADILIKO...
Katika nakala hii nta jaribu kuelezea nini siri kubwa ya kiuchumi iliyo jificha nyuma ya mabadiriko ya mifumo ya kiutendaji kazi yaani teknolojia. Dunia yetu ya leo ime kua na mabadailiko makubwa...
UTANGULIZI
Tatizo la ajira limekua mtambuka duniani Kwa sasa, nchi nyingi duniani zimekua zikikutana na changamoto hii hususani katika kipindi hiki ambacho dunia inashuhudua anguko la uchumi...
“Kweli natafuta na napata… lakini fedha hazitoshi kabisa…”. Hizo ni kawaida kuzisikia kauli hizi katika maisha ya kila siku ya watanzania wengi hususan huku uswahilini kwetu ambapo wengi tunafanya...
UTUMWA WA INTANETI NA MITANDAO YA KIJAMII
Matumizi ya intaneti yanazidi kukua kila kukicha kulingana na jinsi Sayansi na Teknolojia vinavyozidi kuboreshwa. Kutokana na maendeleo hayo mitandao ya...
IWE USIKU, IWE KUCHWA USIPOTEZE TUMAINI LAKO.
Karibu katika Makala/Andiko hili ambalo kwa ukubwa limejikita kwa Wapambanaji, wanaonza kufikiri kuanza kupambana na wale waliopo kwenye mapambano na...
UTANGULIZI.
Utawala Bora ni nini?
Ni utaratibu wa kutumia madaraka ya Umma,kusimamia haki za binadamu, rasilimali na kuzitumia kuboresha Maisha ya wananchi. Utawala Bora huzingatia sheria na...
NI MUDA MUAFAKA WA KUINUA VILIVYO VYETU.
Utangulizi.
Mpaka sasa, kumekuwa na imani hafifu kwa watanzania hasa linapokuja suala la kukubali vitu mbalimbali vinavyotengenezwa au kuzalishwa na raia...
MADA; UCHUMI NA UTAWALA BORA TANZANIA.
UTANGULIZI
nchi yeyote ile Ili ikue kiuchumi inahitaji serikali iliyo bora na imara, Kwa maana ya kwamba serikali ambayo misingi ya democrasia na haki za...
MBINU ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA TABIA YA NCHI.
Mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi ni tatizo linalokumba maendeleo ya katika nyanja zote kama inavyolipotiwa na vyombo...
Kulingana na mada kama jinsi nilivyo itambulisha hapo juu "VYA KALE VYA DUMISHA VYA SASA VYA DHOOFIDHA", hapa nazungumzia juu ya suala la "Afya".
Baadhi yetu wapo ambao wamekuwa wakiamini kuwa...
Mara nyingi ni ngumu kwa binadamu wengi kuchukua hatua mpaka jambo zito linapotokea aidha kwao au kwa watu wao wa karibu. Tena katika wakati tuliopo ambao wengi wetu tunaongozwa na hisia kuliko...
Kutatua mapengo ya kijinsia katika TEHAMA ni muhimu kwa mustakabali endelevu
"Kuwawezesha wasichana kuchagua taaluma za TEHAMA sio tu nzuri kwa wasichana na familia zao, inaweza kuwa kichocheo...
Ikisiri
Lengo la makala haya ni kudhihirisha kwa uwazi vikwazo mbalimbali ambazo hukabiliana nazo wanafunzi hususani wa maeneo ya vijijini katika kupata elimu iliyo bora. Wapo waandishi wengi...
Kila jambo linaanza panapokuwa na chanzo, mambo kama maisha, ndoa, mafanikio, umasikini, magonjwa n.k.
Wanadamu tuna fursa ya kubadili hasi kwenda chanya, kila mmoja wetu anatamani kubadili...
UTANGULIZI
SAYANSI ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo,kutazama na kujaribu. Na TEKNOLOJIA ni vifaa na mashine zinazotumika katika matengenezo au uzalishaji wa vitu. SAYANSI na...
Mabadiliko katika nyanja za kielimu, utawala,uchumi, afya,kilimo sayansi na teknolojia yanaweza kuchochewa na sababu zifuatazo.
Uzalendo. Uzalendo ni miongoni mwa sababu kubwa sana inayoweza...
Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi...
Kuna mambo kama matano kwa mtazamo wangu ikiwa tutachukua hatua kubadilisha nadhani kila kitu kitabadilika kwenye nchi hii
(1)Mapinduzi katika Sekta ya Elimu
(a)Kubadilisha Mfumo wa Elimu.
Kutoka...
Sanaa inaweza kutumika kuwasilisha fikra au mawazo yaliyo ndani ya akili ya mtu. Wasanii hutumia ufundi na ujuzi mbalimbali kubadili fikra na mawazo yao kuwa vitu vinavyovutia kwa hadhira zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.