Kuku ni moja ya ndege wanaopatikana kwa idadi kubwa sana hapa nchini kwetu na hata duniani kote kwa ujumla,watu wengi wamekua wakifuga kuku kwa mazoea na sio kama biashara,hii imepelekea watu...
Utangulizi
Mkopo ni fedha zipatikanazo kwa makubaliano ya kuzirudisha (maana kutoka kamusi ya Kiswahili sanifu, toleo la tatu-2014). Lakini kuna mikopo ya thamani kama vile nyumba, magari na...
1. Kuingia kwenye uraibu
Madawa ya kulevya,ulevi,ngono,bangi na uvutaji wa sigara ni moja ya mashimo hatari yanayonasa vijana.Uraibu ni njia tu ya kufanya maisha kuwa magumu zaidi. Yatachukua...
Kuna mambo mengine mtu unaweza kufanya hapa duniani halafu baadaye ukigeuka ilikotoka ukajiuliza, hivi mi mimi kweli?
Unaweza kutenda kitu ukiwa unajua kabisa kwamba umeikosea nafsi yako...
Tanzania Na Uwekezaji Kutoka Nje
Katika kipindi cha zaidi ya mwaka cha Serikali ya awamu ya sita, Raisi Samia Suluhu Hassan amekuwa akifanya ziara katika baadhi ya mataifa mbalimbali barani...
'Mama Kibandiko Unajua kupika kila kitu!'-" Pishi la Leo Maharagwe tena yame changanywa na Tui la Nazi!!'. ..."Basi Shibe yangu imekua Balaa".
"Huwa nahisi raha Sana, pia najisikia Amani kula...
UTANGULIZI
Awali ya yote nipende kumshukuru Mwenyezimungu Aliyenipa afya na fikra za kuchangia story of change ambayo inaweza kuibua mijadala mbalimbali yenye kuleta mchango kwa jamii na taifa kwa...
Baada ya kuhitimu Shahada ya Sanaa (BA)2011 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), nilitafuta kazi bila mafanikio. Nikaona nisome Stashahada ya Uzamili katika Elimu nikamaliza 2014 ili nipate ajira...
Kutokana na maendeleo ya dunia ya leo ya sayansi na teknolojia vijana wengi wanatamani kupata mafanikio ya haraka pasipo kufanya kazi kwa bidii hii hupelekea ongezeko kubwa la vijana kutegemea...
Unene ni hali ya mkusanyiko au ongezeko la mafuta mwilini.Hii ni hali ambayo mtu anakuwa na uzito mkubwa kuliko uzito ambao mtu anatakiwa awe nao kulingana na urefu wake.
Tatizo hili miaka ya...
Kama ilivyo jadi ya Watanzania wengi, baada ya kuhitimu elimu ya Secondary nilijiunga na Chuo Kikuu kuchukua Degree ya Business Adiministration ambayo nilisoma kwa miaka mitatu hadi mwaka 2015...
"Je nisomee kazi gani itakayonipa ajira kwa haraka?" Limekuwa ni swali ambalo linaleta changamoto sana kwa wanafunzi waliowengi kwani halina majibu ya moja kwa moja. Kutokana na hali ya maisha...
“Hakuna mantiki hata kidogo kuruhusu matumizi na umiliki wa pombe na tumbaku na kufanya kanabisi jinai.”-Hukumu ya kanabisi / “Cannabis Judgement,” 18 September, 2018. Mahakama ya Upeo, Afrika...
BANGI IHALALISHWE.
Kwa ulimwengu wa sasa siyo vyema kuendelea kudanganyana , baahi ya masuala hayawekwi wazi siyo kwa sababu gani? Hakuna cha maana zaidi ya danganya toto.
Sheria na kanuni...
BLOCK CHAIN TECHNOLOGY
UTANGULIZI
Block chain technology ilianzishwa 1991 na ikaanza kufanya kazi baada ya anguko la uchumi
lililoikubwa dunia , Satoshi Nakamoto ni mtu wa mwanzo aliyeingiza...
Kipele kinaweza kuwa dalili ya awali ya VVU, Lakini kirusi cha UKIMWI kinaweza kikasababisha aina mbalimbali ya vipele hivyo ni lazima ufahamu haya ambayo leo tunaenda kukufahamisha. Watu...
MIMI ni NANI
Ni asubuhi niliyokua naisubiria kwa hamu sana na mwili wangu hauwezi kuvumilia kuonyesha shauku niliyokuwa nayo. Nahisi kama moyo wangu unadunda kwa kasi sana huku viganja vya mikono...
Afya ni kitengo cha mtu kujisikia vizuri kimwili,kiakili ,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Mtu hasipokuwa na afya hawezi kufanya kazi vizuri na kufanya mwili wake kutofanya...
UTANGULIZI
Katika Dunia nzima, nchi zote hufanya chaguzi zake ili kupata viongozi wake wa ngazi tofauti tofauti kupitia mfumo wa kupiga kura za mficho. Njia inayotumika kwa sasa nyingi huwa...
Wabunge ni viongozi wenye nguvu kubwa ya mtaji wa watu nchini, nafasi yao katika maeneo yao ni viongozi wanaobeba shida za jamii, mapendekezo kwa serikali na shukrani za wananchi kwa serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.