ILI KULETA TIJA YA VYAMA VINGI VYAMA VIFANYE HAYA.
Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya kisiasa, tokea tuache mfumo wa chama kimoja mwaka 1992 na 1995 rasmi katika uchaguzi hadi leo 2022, vyama...
Jioni ya leo tu nilikuwa natembea kwenye njia nyembamba ya kichaka, ghafla nikakosea nikakanyaga Mchwa 🐜 mkubwa ... Mara nikaondoa mguu wangu, nikagundua nimemuua, lilikuwa kosa ingawa nikaendelea...
ELIMU WAKATI TULIONAO NA TUENDAPO
Kwa nchi nyingi za Afrika, elimi ni kurithisha maarifa, stadi na ujuzi kwa mwanafunzi katika eneo maalumu. Hata katika jadi ilikuwa ni hivyo hivyo ambapo...
SEKTA YA KILIMO HASA CHA TANGAWIZI KUKOMBOA UCHUMI WETU
Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa hata baba wa Taifa Mwl JULIUS NYERERE alishawahi pata kusema na ndio tumaini kubwa katika kuinua maisha...
Andiko hili lina sehemu kuu nne; Utangulizi, Mada, Mapendekezo na Hitimisho.
SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi Amina J. Mohamed kwenye Maadhimisho ya Siku ya...
Ni takribani miaka 39 tangu dunia ikumbwe na Janga hatari la kirusi cha UKIMWI. Hatua mbali mbali zimechukuliwa na wataalamu pamoja na mashirika ili kuhakikisha janga hili linatomezwa ulimwenguni...
Na; Mashaka Siwingwa
Watu wengi sana wamekuwa wakiamua kufanya au kuanzisha biashara na kupanga malengo kwa biashara hizo. Hata hivyo, biashara hizo huanguka na kupotea kabisa kwa mtaji pasipo na...
Kubuni na Kutengeneza Kifaa Kinachotatua Changamoto ya Malipo ya Bili za Umeme Kwenye Wapangaji Wengi.
Imeandikwa na: K. Masanja
UTANGULIZI
Sayansi na teknolojia katika Dunia ni dhana muhimu...
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Afya ni hali ya kuwa sawa kimwili, kiakili na kijamii na sio tuu kutokuwa na magonjwa.
Ili kuwa na afya njema ni muhimu kujikinga na vitu...
MTOTO NDANI YA GIZA JEUSI.
Mimi ndio taifa la kesho kweli kwa haya uliyonitendea?
Nikifiwa na wazazi wangu sina amani tena ya kesho, wazazi wakinipeleka shule za hosteli nikiwa bado mdogo sina...
Abeid Abubakar
Namuuliza mtoto wangu anayesoma darasa la sita katika shule binafsi moja ya mchepuo wa Kiingereza kama wanafundishwa kompyuta.
Jibu lake la hapana linaninyong’onyesha.
Pengine...
Ningependa kutumia fursa hii kueleza umuhimu wa kipimo cha Ultrasound kwa mama mjamzito na jinsi ambavyo teknolojia hii mpya inayozidi kuboreshwa kila iitwapo leo inavyoweza kuleta manufaa bora...
“Saa saba juu ya alama saa nikiitazama, nimeshaachana na Jackie sasa namfata salama, saa kumi na mbili nina appointment na mademu Wawili, achana na lily ambae tutakutana saa mbili.”
Hapo sasa...
KAZI ni mojawapo kati ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu. Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni matokeo ya kazi. Unapokatiza mitaani, katika mitandao ya kijamii, majarida na wavuti...
Utangulizi
Zoezi la sensa ya watu na makazi linaloendea nchini limenikutanisha tena na swali ambalo kwa miaka mingi limekuwa likizitamausha fikara zangu. “Unajishughulisha na nini?” ni ‘swali la...
Hadi lini tutaendelea kubaki chini? mpaka lini tutaendelea kushuhudia mataifa mengine yakipiga hatua ya kimaendeleleo, ikiwemo, uchumi, viwanda, sayansi na teknolojia, diplomasia, afya, elimu...
Awali ya yote, nipende kumshukuru Mungu mwenyezi atupae uhai na uzima bure, pamoja na afya kwa wana jamii forum wote. Afya njema iko juu ya mali na utajiri. Afya bora ni zaidi ya umaridadi au...
Tanzania ni nchi yenye eneo kubwa sana kulinganisha na nchi nyingi afrika na duniani lakini ni nchi
ambayo inatumia sehemu ndogo sana yae neo lake kwaajili ya kilimo cha chakula na kibiashara...
Ni ukweli usiopingika kuwa tokea mapinduzi ya kumkomboa mwanamke kiuchumi, kisiasa na kijamii wanawake wengi wamekuwa na nguvu sana katika nyanja zote za siasa, uchumi na jamii na kuwaacha wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.