Kwa jina naitwa Marina, ni kijana mwenye miaka 30, mzaliwa na mkaazi wa Zanzibar.
Nimemaliza elimu yangu ya chuo kikuu nchini China mwaka 2020, ambapo nilisomea udaktari wa binaadam, na nimefanyia...
Mnamo mwaka 1865, kwa mujibu wa vitabu vya historia. Biashara ya utumwa ilifikia tamati ulimwenguni kote. Mimi najua, na wewe unajua Afrika utumwa haukukomeshwa mwaka tajwa.
Ni mwaka 1961 Disemba...
TANZANIA IWE NA VYAMA VYA SIASA VICHACHE ILI KUIMARISHA TAIFA.
Mfumo wa vyama vingi vya siasa unaboresha demokrasia ya nchi kwa kuifanya Serikali chini ya chama tawala iliyopo madarakani kutimiza...
Utangulizi.
Nimekuwa maarufu sana katika karne hii ya ishirini na moja(21). Kila mahali napokelewa kwa shangwe na walio wengi, sio vijana tu bali watu wa kila umri wananikubali na Kunipenda...
Mwalimu T, Rafiki yangu kipenzi wa enzi na tena mhitimu wa ndaki ya Ruaha. Kwa sasa ninafanya naye kazi. Alidumbukia ndoani miaka miwili iliyopita. Bwanaye ni mshehereshaji, mwembamba wa mwili na...
Tuanze na mwanzilishi na mgunduzi wa tamaduni hii ya sanaa tingatinga. Edward Said Tinga Tinga mwenyewe, bila shaka unamfahamu! Kama la basi muulize babu yako vizuri maana huyu jamaa ndio habari...
Utangulizi
Ni ukweli kwamba wanafunzi wengi wanaomaliza kidato cha sita na wale wanaosomea fani vyuo vya kati na vyuo vya ufundi wamekuwa na ndoto kubwa za kufika elimu ya juu yaani chuo kikuu...
UTANGULIZI.
Mnamo mwaka 1980 katika jiji la MOSCOW nchini URUSI, historia isiyoweza kusahaulika na Watanzania iliandikwa. Pale mwanariadha wa kitanzania FILBERT BAYI SANKA aliposhinda medali ya...
Kamusi ya kiswahili ina eleza neno "Utajiri" kama neno la kiarabu likimaanisha wingi wa vitu vya thamani na wa vyanzo vya mapato ambayo nchi au mtu anamiliki. Katika karne hii ya 21 ambayo...
Chanzo picha:TechCrunch
Habari yako, mimi ni Hadija Mlacha, Karibu katika makala haya yanayoangazia umuhimu wa sayansi na teknolojia katika afya ya binadamu, yapo mengi ya kujifunza.
Maendeleo...
DONDOO KUHUSU FOREX KWA WASIOIJUA KABISA.
Katika andiko hili, kwanza kabisa inabidi tujue maana ya Forex. Je, Forex ni nini?
Forex ni biashara ya ubadilishaji wa fedha za kigeni. Neno ‘FOREX’ ni...
PATA MAWAZO YA BIASHARA HAPA(HASA KWA WAJASILIAMALI).
Andiko la leo, nitaongelea kuhusu biashara mbalimbali ambazo mtu mwenye mtaji uwe mkubwa au mdogo anaweza kuwekeza. Hivyo jongea katika huu...
" KILA NAFSI ITAUONJA UMAUTI, ndivyo yasemavyo maandiko.Lakini, moja kati ya habari ambazo hazinaga utamu kwenye ngoma za masikio ya wanadamu ni habari kuhusiana na KUFA / KIFO
Lakini...
Namna ya uwezeshwaji kwa vijana ili kujikwamua kiuchumi na kijamii.
Kwanza nitoe pole kwa wasomaji wenzangu hasa vijana hivyo nami nitakuwa miongoni mwa watoa makala za mashindano ya mabadiliko...
Hello
Kwa majina naitwa Innocent Kirumbuyo.
Ilo ndilo jina langu nililopewa na baba yangu mzazi mwalimu wilifred kirumbuyo na mama yangu Benedetha Beda masawe
Elimu yangu ni kidato cha nne...
Salaam kwenu wapenda maendeleo. Najua Kuna wakati tunawachosha kwa makala nyingi za mfululizo , tusichoke kushiriki Hanna kwasababu kupitia platform hii, Kuna watu wanabadili mitazamo. Kuna...
Jiepushe na Maambukizi katika njia ya mkojo kitaalamu – UTI (Urinary Tract Infections)
Anaandika Dr MSANGY. 0752591744/0682080069
UTI – Ni maambukizi ya vimelea vya magonjwa katika mfumo wa...
Habari wanajukwaa wenzangu.Ni matumaini yangu kila mmoja yu buheri wa Afya.
Mimi ni kijana niliyemaliza kidato Cha nne miaka kadhaa iliyopita lakini isivyobahati sikufaulu yaani nilifeli kidato...
Naam, moja ongeza moja ni tatu. Katika juhudi (effort) huwa ipo hivi; zikiunganishwa jitihada zaidi ya moja, matokeo yake huwa ni makubwa kuliko ile jumla yake ya kihesabu tu.
Uliwahi kutokea...
‘KURUTI!, UHAKIKA WA VITENDO!’ kwa sauti kali ya kuamrisha mara ya kwanza naisikia ilikuwa ni jeshini. Ilipenya na kueleweka haraka kwa sababu mbili; Mosi, kile nilichokijua tangu mwanzo kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.